Zinedine Zidane Zizzou alikuwa vipi enzi zake?

Narekebisha kidoogo kuna sehemu umepotosha umma.
1.Pele
2. Maradona
3.5 Cr 7,
3.5 Messi

5 na kuendelea hao wengine woote.
mkuu hii reference yako umeitoa wapi !!??

maana huyo cr7 ktika top 100 yawachezaji bora wa uefa tu waliowahi kutamba karne 1..anashika kwenye top 3 akiwa nyuma ya yohan cryf na Michele platin ...then katika hiyo list yako nashangaa kuona akiwa amewapita hata hao waliompita kina yohan cryf "" tena mbaya zaidi kampita mpaka messi ambaye amewapita kina yohan cryf na Michele platin waliompita cr7,..,,,

uko serious kweli mkuu """ isijekuwa umetoa hiyo content huku unapiga vyombo ...maana weekend hii """" haha haaa
 
Hebu nioneahe hiyo mist ya UEFA bro. Pia waseme walitumia vigezo gani?

Halaf Messi kama kawapita kina Cryuff Cr 7 ana anzaje kushindwa kuwapita?
Huyo Messi kafanya nn cha zaidi?

Niko fit braza [emoji1]
 

Masuala ya kushindanishwa ni mambo ya media ili wapate kuendesha kazi zao. Hata Matheus alikua akishindanishwa na Maradona. ninachotaka kukijua kutoka kwako ni uwezo wa CR unaomfanya awe among top 3 greatest unayozungumza.
Hivi ndani ya akili yako unaamini kabisa kama Ronaldo anawazidi Xavi na Iniesta kwa uwezo?
Ulimtizama vizuri Zidane wakati anacheza football? Ronaldo ameshindwa hata kuidoment PL kama walivofanya Henry na Cantona. Kinachomdifine Ronaldo ni magoli aliyoyafunga real madrid. na kama ni magoli tu hata Gard muller alifunga hundreads of goals lakini kwanini nayeye husemi greatest?
Ikiwa umeweza kukubali kuwa Cruyf na Platini wamemzidi Ronaldo basi huna budi kukubali kuwa Zidane na Laudraup nao wamemfunika. kwani hao kina platini na Cruyf wananini cha kumzidi ronaldo? Tunzo? Magoli? mataji? vote kawazidi na bado umekubali kama wao ni bora. sasa kamtizame Zidane, Iniesta, Futre, Laudrap halafu utafakari vizuri.
 
CR7 Kabeba ndoo ya Dunia mara ngapi?
 
Zidane alikua akifunga siku za mechi muhimu tuu hembu tafakari kiungo anawezaje kupata balln dor??pia zidane amebeba makombe yote makubwa muhimu wakati messi hajabeba world cup
 
Messi kama ni wa Sayari nyingine afanye ile Kitu Maradona alifanya 1986 kuifanya Argentina ichukue Kombe la Dunia
 
Zidane alikua akifunga siku za mechi muhimu tuu hembu tafakari kiungo anawezaje kupata balln dor??pia zidane amebeba makombe yote makubwa muhimu wakati messi hajabeba world cup
Messi na Ronaldo watastafu mpira Bila kombe la Dunia.
 
Messi kama ni wa Sayari nyingine afanye ile Kitu Maradona alifanya 1986 kuifanya Argentina ichukue Kombe la Dunia

Chuki zingine bwana,,,Messi anawanyima usingizi nyie watu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hao mnaowatajataja wanamjua la pulga ni nani!
 

Umeongea facts mkuu. Yani mtu mpaka imefikia Messi anamcompare na gaucho kweli hii ni haki!!! πŸ˜€ gaucho huyu huyu tunaemjua aliyewika 2 or 3 years ago akatepeta na kukuza matako na kupenda wanawake!! mwenye balon 1 halafu anakuja mtu hapa anamsifia bila facts wala evidence yoyote ukimuomba anaescape. Ni hivi mkuu acha wajipe moyo tu. Watu wenyewe wanaompinga Messi hawafiki hata 10 humu.

Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe.na wabongo ndio kazi yetu
 
hahahaaa baelezeeeee
 
usimsahau kisiki Gennaro Gatuso.
 
Ni mtazamo tu. Enzi hizo za akina Pele filimbi za faul zilikuwa chache. Siku hizi hao washambuliaji wenu wanalindwa kama mayai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…