Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Simuoni Paul schoolesAlikuwa ni moto wa kuotea mbalii...ndio maana yupo ktk list ya maLejendari wa kabumbu.![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simuoni Paul schoolesAlikuwa ni moto wa kuotea mbalii...ndio maana yupo ktk list ya maLejendari wa kabumbu.![]()
Narekebisha kidoogo kuna sehemu umepitosga umma.
1.Pele
2. Maradona
3.5 Cr 7,
3.5 Messi
5 na kuendelea hao wengine woote.
mkuu hii reference yako umeitoa wapi !!??Narekebisha kidoogo kuna sehemu umepotosha umma.
1.Pele
2. Maradona
3.5 Cr 7,
3.5 Messi
5 na kuendelea hao wengine woote.
Hebu nioneahe hiyo mist ya UEFA bro. Pia waseme walitumia vigezo gani?mkuu hii reference yako umeitoa wapi !!??
maana huyo cr7 ktika top 100 yawachezaji bora wa uefa tu waliowahi kutamba karne 1..anashika kwenye top 3 akiwa nyuma ya yohan cryf na Michele puttin ...then katika hiyo list yako nashangaa kuona akiwa amewapita hata hao waliompita kina yohan cryf "" tena mbaya zaidi kampita mpaka messi ambaye amewapita kina yohan cryf na Michele platin waliompita cr7,..,,,
uko serious kweli mkuu """ isijekuwa umetoa hiyo content huku unapiga vyombo ...maana weekend hii """" haha haaa
mkuu CR7 mimi simpendi "" kwa sbabu anapnda kujiweka level 1 na messi kiumbe ambaye ni invisible"" ila naamini kuwa CR7 Mpira anaujua tena kawaacha mbali mnooo hao uliowataja ...tatizo wamtazama cr7 huyu wa hii misimu mi3 ..mtazame cr7 wa misismu mi3 iliyopita ""
Jamaa anajua mnoo tu tena sana ''' kumpa challenge messi co jambo Dogo mkuu "" na Jamaa ana akili mnooo anajua fika hawezi kufnya battle ya kudrible na messi .hawezi kufnya battle ya kupiga faulo na kutoa assist kama messi ..anajua fika kuwa hawezi kuwa na skilis na mchezeshaji. team kama messi "" anajuwa wazi hawezi kuwa na kasi kwa sasa kama messi ...so anachokifnya nikuhakikisha anashinda tu "" ili aweze kujibalance Nate ktika upnde huo....na inapotokea akashinda kwa kuwa dunia inamashabiki maandazi wasio angalia quantity za mtu basiii wanao msaport watasimama nakuanza kushangilia ..pasipo kuangalia mapungufu yake ..
halafu nataka nikwambie kitu UEFA wanamtambua CR7 KAMA MCHEZAJI BORA NAMBA TATU KUWAHI KUTOKEA KTIKA SOKA LA ULAYA ..AKIWA NYUMA YA YOHAN CRYF MICHELE PLATIN THEN CR7 ..ZIDANE ANAFUATIA KATIKA NAFASI YA 5. """ HADI HAPO UTAKUWA UMESHAELEWA SOMO
CR7 Kabeba ndoo ya Dunia mara ngapi?Ingawa cr7 simpendi lakini unafanya mistake kumfananisha na de lima...kitu gani cha ajabu alichofanya uwanjani cr7 hakufanya? Tim yake kailetea mafanikio makubwa kuliko uyo de lima, ballon de ana 5, fifa best player 5 times makombe mengi tu,, Huoni kuwa humtendei haki?
All in All Messi is from another planet...
Akina De Lima ndio definition ya Forward Hawa wengine mbwembwe tueti eti eti beki mwenyewe smallingiiii,delima angefunga hata goli 1000
Zidane alikua akifunga siku za mechi muhimu tuu hembu tafakari kiungo anawezaje kupata balln dor??pia zidane amebeba makombe yote makubwa muhimu wakati messi hajabeba world cupSio kweli
Hao akina zizzou wasingenusa wala kuchukua ballon dor hata moja
Messi anafunga magoli 60 kwa msimu Ronaldo anakupa magoli 50 kwa msimu
Wanachukua viatu za dhahabu kila kukicha uefa na ligi wao tena kwa margin kubwa ya magoli
Halafu miaka hii wanatizama idadi ya magoli na assists
De Lima ,zizzou wangekuwa enzi hizi ballon dor wangesikia kwenye bomba bahati yao hawapo enzi za hawa mabwana
Messi na Ronaldo watastafu mpira Bila kombe la Dunia.Zidane alikua akifunga siku za mechi muhimu tuu hembu tafakari kiungo anawezaje kupata balln dor??pia zidane amebeba makombe yote makubwa muhimu wakati messi hajabeba world cup
Asante brazaAkina De Lima ndio definition ya Forward Hawa wengine mbwembwe tu
Messi kama ni wa Sayari nyingine afanye ile Kitu Maradona alifanya 1986 kuifanya Argentina ichukue Kombe la Dunia
UNAAAKILI SANA ..NIKIWAAMBIAGA WATU HIVI HUWA WANAPINGA ...NAKUMBUKA NILIWAHI KUTOA SOMO KAMA HILI LAKO KATIKA UZI FULANI HUMU HUMU WATU WALIBISHAA BUT MWISHO WASIKU WALIKIMBIA ....
MESSI NA CR7 NI WACHEZAJI AMBAO WANA LEVEL YA U GENIUS HALAFU HAO WENGINE NI WACHEZAJI WENYE VIWANGO VIKUBWA "" SO IMEKUWA NI NGUMU HAWA WACHEZAJI WENYE LEVEL YA VIWANGO VIKUBWA KUWASHINDA HAO MA GENIUS KWA SABABU MA GENIUS UWEZO WAO UMEJITENGA PEKEE "" NDIO MAANA TUNAONA HAO MA GENIUS KILA SIKU WAMEKUWA WAKITAMBA WAO TU ...HATA HAO MALEGEND WANGEKUWAPO KATIKA MPIRA WA USHINDANI MPKA HII LEO WANGE KUWA WANATOKA KAPA SANA TU "" KWA SABABU WALIKUWA WANA LEVEL YA VIWANGO VIKUBWA NA SIO U GENIUS
Kempes
Mkuu hawa Malegend unawafahamu vizuri lakini? Me naona mpira umeanza kufuatilia majuzi tu.
hahahaaa baelezeeeeeUmeongea facts mkuu. Yani mtu mpaka imefikia Messi anamcompare na gaucho kweli hii ni haki!!! 😀 gaucho huyu huyu tunaemjua aliyewika 2 or 3 years ago akatepeta na kukuza matako na kupenda wanawake!! mwenye balon 1 halafu anakuja mtu hapa anamsifia bila facts wala evidence yoyote ukimuomba anaescape. Ni hivi mkuu acha wajipe moyo tu. Watu wenyewe wanaompinga Messi hawafiki hata 10 humu.
Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe.na wabongo ndio kazi yetu
Kwenye hii orodha ningeanza na RonaldinhoKipindi hicho
- Zidane
- Requelme
- De lima
- Gaucho
- Batistuta
- Okocha
Bila kumsahau Eric Cantona japo hakuwa akichaguliwa kuchezea timu yao ya Taifa kwa ugomvi na kochaKipindi hicho
- Zidane
- Requelme
- De lima
- Gaucho
- Batistuta
- Okocha
usimsahau kisiki Gennaro Gatuso.nitajie beki mmoja wa sasa ambaye angalau anaweza kaa na malegend wa zamani kama Nesta, Beckenbeur, Malidini etc.
level ya ukabaji imeshuka Sana. wachezaji kibao kama Harry kane, Ibrahimovic, Suarez, Cavani, wanafikisha Goli 40 au 50 zama hizi. hivyo usishangae watu kufunga magoli mengi.
Ni mtazamo tu. Enzi hizo za akina Pele filimbi za faul zilikuwa chache. Siku hizi hao washambuliaji wenu wanalindwa kama mayai.Mpira wa sasa ni mgumu ukilinganisha na wa zamani bwana. Msipende kubadilisha vitu,, nikikuuliza pele alizipataje zile goli 1000 utanijibu nini?
Kwa sasa hata goli 500 asingefikisha ukweli ndio huo, na ukizingatia sheria zilivyo ngumu kipindi hiki acha kabisa