Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Habarini wandugu... Kuna jamaa anakaa mbali sana na anapo fanyia shughuli zake.
Yule jamaa kapanga Kivule halafu shughuli zake anafanyia Bunju(kwa wenyeji wa DSM wanaelewa shughuli yake ulovyo huo umbali) nadhani 23 km na kidogo inaweza fika.
Sasa nikashindwa mshauri maana sababu yake kubwa kutoka na changamoto ya shughuli zake hata si salama KUKAA karibu na anapo fanyia hizo shughuli pia anapokaa usalama upo hata akisafiri makazi yakua salama asilimia zote.
Hebu wadau nipeni FAIDA na HASARA nyingine kama zipo.