Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

Sifa za zao.
Wana heshima na utiii kwa wanaume wao na akikupenda yupo tayari hata umuue lakini kukuacha ni ngumu, Kingine katka Jamii yetu ya kikurya tunaamini Binti akisha olewa tayari amenda kutengeneza familia yake kwahiyo ya nyumbani kwao hayamhusu, ndo maana ikitokea hata amerudi nyumbani hufukuzwa na kuambiwa arudi kwa mmewe wake, kwani tunaamini ndoa ni uvumilivu.

Kingine ni wavumilivu, Binti wa kikurya ni wavumilivu kwa Kila Hali na hii inatokana na Hali halisi ya maisha wanayo yaishie katka Jamii zao.

Ni wachapakazi, kule ukuryani ukipata Binti wa kuoa utaulizwa huyo Binti anaweza kulima, kufanya kazi nk, so hii kitu imetengeneza wazazi wengi kuwalea Mabinti zao katka wajibikaji wa kazi za ndani na za nje.

Kuhusu ubabe ni Uongo , ubabe upo kwa wanaume kuwatesa na kuwanyanyasa Hawa Binti za kikurya lakini kwa wanawake ni Uongo hamna ubabe, wao huishi kwa kutii na kuheshimu.

Uzuri, kama unataka urembo wa sura Ukuryani Asilimia kubwa Binti zetu siyo wazuri wa sura lakini kiroho na kimwili Wana urembo wa tabia.

ZINGATIA: Ijapokua asili Ina nguvu sana katka kum' determine mtu kitabia, lakini hiyo haikupi guarantee ya kutoa judgement kwamba wote wapo hivyo hapana, so kama unataka kuoa nadhani angalia mwenendo wa huo unayetoka kumuoa kama mnaendana, chukua weka ndani. Mengine mtarekebishana
 
Ipo sahihi in nature wanapenda. Ugomvi sana, alf niwanyenyekevu sana wanajua kumaliza ugomvi walio uanzisha
 
πŸ˜‚ mkalimani kama upo karibu na ukweli
 
1.Wachapa kazi/ Kujituma
2.Wababe/ vitisho/ mikwara uchwara
3.Hasira kilo miambiliiii
4. Baadhi hawana antenna.
5. Wanapenda mitiπŸ† balaa yani the hard fck
6.Wivu sasaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
7. Some Wana maadili ile sanaaa
8........................

Cc Smart911
 
duh kumbe adi muheshimiwa amekufa uko bila shaka watakuwa bulbul
Oa mkuu wapo vizuri kimaadili hasa ukibahatika kumpata alielelewa vyema na anaejitambua. Kwa experience yangu ya mahusiano so far sijawahi kuwa na kipindi kizuri na mahusiano bora kama kipindi nipo na mkurya. Amekamilika ni mtu na nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…