Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

Sifa za zao.
Wana heshima na utiii kwa wanaume wao na akikupenda yupo tayari hata umuue lakini kukuacha ni ngumu, Kingine katka Jamii yetu ya kikurya tunaamini Binti akisha olewa tayari amenda kutengeneza familia yake kwahiyo ya nyumbani kwao hayamhusu, ndo maana ikitokea hata amerudi nyumbani hufukuzwa na kuambiwa arudi kwa mmewe wake, kwani tunaamini ndoa ni uvumilivu.

Kingine ni wavumilivu, Binti wa kikurya ni wavumilivu kwa Kila Hali na hii inatokana na Hali halisi ya maisha wanayo yaishie katka Jamii zao.

Ni wachapakazi, kule ukuryani ukipata Binti wa kuoa utaulizwa huyo Binti anaweza kulima, kufanya kazi nk, so hii kitu imetengeneza wazazi wengi kuwalea Mabinti zao katka wajibikaji wa kazi za ndani na za nje.

Kuhusu ubabe ni Uongo , ubabe upo kwa wanaume kuwatesa na kuwanyanyasa Hawa Binti za kikurya lakini kwa wanawake ni Uongo hamna ubabe, wao huishi kwa kutii na kuheshimu.

Uzuri, kama unataka urembo wa sura Ukuryani Asilimia kubwa Binti zetu siyo wazuri wa sura lakini kiroho na kimwili Wana urembo wa tabia.

ZINGATIA: Ijapokua asili Ina nguvu sana katka kum' determine mtu kitabia, lakini hiyo haikupi guarantee ya kutoa judgement kwamba wote wapo hivyo hapana, so kama unataka kuoa nadhani angalia mwenendo wa huo unayetoka kumuoa kama mnaendana, chukua weka ndani. Mengine mtarekebishana
 
wana heshima sana kwa wanaume hasa wa kwao. pia si wa kujiweka chini sana. ukiliamsha analiamsha pia
kabila zingine ni second class kwani wakurya tunaamini kabila zingine hawatahiriwi. hivo kunakuwa ni dharau kiasi kwa kaBILA zingine
hakuoni kama mwanaume kamili. 😆 😆 😆
Ipo sahihi in nature wanapenda. Ugomvi sana, alf niwanyenyekevu sana wanajua kumaliza ugomvi walio uanzisha
 
Mkalimani wa lugha zisizo rasmi nimewafikia

Mkalimani :

Hapo anasema hawana antenna za Azam TV anamaanisha wengi wamekeketwa

Ni Mimi wako Mkalimani wako wa lugha zisizo rasmi Lethergo

Hilo Jina la ID linatamkwa le-tha-go sio let-her-go mfano Lethago Mwakajumba
😂 mkalimani kama upo karibu na ukweli
 
1.Wachapa kazi/ Kujituma
2.Wababe/ vitisho/ mikwara uchwara
3.Hasira kilo miambiliiii
4. Baadhi hawana antenna.
5. Wanapenda miti🍆 balaa yani the hard fck
6.Wivu sasa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
7. Some Wana maadili ile sanaaa
8........................

Cc Smart911
 
duh kumbe adi muheshimiwa amekufa uko bila shaka watakuwa bulbul
Oa mkuu wapo vizuri kimaadili hasa ukibahatika kumpata alielelewa vyema na anaejitambua. Kwa experience yangu ya mahusiano so far sijawahi kuwa na kipindi kizuri na mahusiano bora kama kipindi nipo na mkurya. Amekamilika ni mtu na nusu.
 
Back
Top Bottom