Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
- Thread starter
-
- #21
Ujazo sawaNa chupa zote zina ujazo sawa?
KAMA zina ujaxo SAWA, UWEZEKANO MKUBWA NI kwamba Chupa zilizotumika kuhifadhi MAJI, zinatofautiana unene wa kuta zake, assuming plastic material iliyotumika kuzitengeneza NI ILE ile
Asante kwa maelezo mazuri ila maji ya "mo" sio maisha nadhani ni haya apaMuuza vinywaji mzoefu hapa, sababu zinaweza kuwa kadhaa lakini kubwa ni aina ya chupa. Vimiminika yenye chupa nyepesi mara nyingi huwahi kuganda na chupa ngumu hufuatia, hapa ongezea soda kampuni ya Coca(Plastic bottle) zinawahi kuganda kuliko pepsi.
Mbili ni viambata, japo yote ni maji lakini hivyo vitu wanaweka humo hutofautisha hapo ongezea na ujazo, vyenye ujazo mdogo vinawahi kuliko vyenye ujazo mkubwa. Hapa kuna maji ya Mo(Maisha) pamoja na ugumu wa chupa, hata ukiyatikisa yakishakuwa baridi sana yanaganda kama soda zinapotikiswa.
Mwisho ni sehemu unapoweka ndani ya friji/freezer. Japo lote ni moja, kitu kinachokaa ubavuni huwa kinawahi kuganda, kuna mafreezer baridi inaanzia chini mengine juu etc. Pia pale pipe inapoanzia au karibu yake ikitoka kwenye compressor ya freezer ndio patapowahi kugandisha.
Maji yake hayauzwi Hotel za kimataifaMzee Bakhressa amenyooka sana.
Tumpongeze!
Maji yenye madini mengi "huchelewa" kuganda.Viwango vya madini vinatofautiana. Kilimanjaro ni maji yanayotoka mlimani.
Uhai ni visima.
👍Muuza vinywaji mzoefu hapa, sababu zinaweza kuwa kadhaa lakini kubwa ni aina ya chupa. Vimiminika yenye chupa nyepesi mara nyingi huwahi kuganda na chupa ngumu hufuatia, hapa ongezea soda kampuni ya Coca(Plastic bottle) zinawahi kuganda kuliko pepsi.
Mbili ni viambata, japo yote ni maji lakini hivyo vitu wanaweka humo hutofautisha hapo ongezea na ujazo, vyenye ujazo mdogo vinawahi kuliko vyenye ujazo mkubwa. Hapa kuna maji ya Mo(Maisha) pamoja na ugumu wa chupa, hata ukiyatikisa yakishakuwa baridi sana yanaganda kama soda zinapotikiswa.
Mwisho ni sehemu unapoweka ndani ya friji/freezer. Japo lote ni moja, kitu kinachokaa ubavuni huwa kinawahi kuganda, kuna mafreezer baridi inaanzia chini mengine juu etc. Pia pale pipe inapoanzia au karibu yake ikitoka kwenye compressor ya freezer ndio patapowahi kugandisha.
Asante kwa maelezo mazuri ila maji ya "mo" sio maisha nadhani ni haya apa
Basi itakuwa ana brand name zaidi ya moja
Jibu ni wingi wa chumvi kwenye maji ya hizo chupa mbili.Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai
Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda
Mazingira yapo sawa ikiwemo temperature kwa chupa zote 3 kwanini chupa 1 igande haraka kuliko nyingine
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya kemia
Good analysis. Well doneMuuza vinywaji mzoefu hapa, sababu zinaweza kuwa kadhaa lakini kubwa ni aina ya chupa. Vimiminika yenye chupa nyepesi mara nyingi huwahi kuganda na chupa ngumu hufuatia, hapa ongezea soda kampuni ya Coca(Plastic bottle) zinawahi kuganda kuliko pepsi.
Mbili ni viambata, japo yote ni maji lakini hivyo vitu wanaweka humo hutofautisha hapo ongezea na ujazo, vyenye ujazo mdogo vinawahi kuliko vyenye ujazo mkubwa. Hapa kuna maji ya Mo(Maisha) pamoja na ugumu wa chupa, hata ukiyatikisa yakishakuwa baridi sana yanaganda kama soda zinapotikiswa.
Mwisho ni sehemu unapoweka ndani ya friji/freezer. Japo lote ni moja, kitu kinachokaa ubavuni huwa kinawahi kuganda, kuna mafreezer baridi inaanzia chini mengine juu etc. Pia pale pipe inapoanzia au karibu yake ikitoka kwenye compressor ya freezer ndio patapowahi kugandisha.
Mkuu angalia uimara wa hizo chupa! mbili kati ya ulizotaja chupa zake ni nyepesi utadhani maji ya Kandoro. Chupa nyepesi na nzito kuganda kwake nitofauti.Wadau hamjamboni nyote?