Mimi mwez wa 5Niliomba kazi mwezi wa 6 tarehe 3, mpaka leo kimya
Unamkomoa nani na huna kituCha kufanya hapo ni kuwasusia ajira zao tuu, wakitangaza tunaomba halafu hatuendi kwenye usaili [emoji41]
Unaikomoa Sekretariet ya ajiraUnamkomoa nani na huna kitu
Mimi nina mbili zote za mwezi wa tanoHahahahaha, tulieni vijna mtawaelewa tu utumishi Hadi Maji muite MMA mwaka huu... Just image Ajira zote mpya zilizotoka from April Hadi leo hawajaitwa interview unategemea wewe wa June uitwe leo kweli. Kuna jamaa angu mmoja nilicheck his "My Application" ana Received zaidi ya 10 kwa hizi kazi zote mpya, yaan Kila taasisi kaomba, Nadhani muda wakianza kuita atamaliza hadi Laki 5 za nauli kwenda na kurudi Dom Basi Nenda
Kunguru wa Manzese
Kuna kazi tuliapply mwezi wa 4 za TRA hadi leo bado hatujaitwa😀😀Niliomba kazi mwezi wa 6 tarehe 3, mpaka leo kimya
Mi nimeshaitwa 4 toka mwaka uanze na sijawahi kwenda hata moja 😂😂😂Hahahahaha, tulieni vijna mtawaelewa tu utumishi Hadi Maji muite MMA mwaka huu... Just image Ajira zote mpya zilizotoka from April Hadi leo hawajaitwa interview unategemea wewe wa June uitwe leo kweli. Kuna jamaa angu mmoja nilicheck his "My Application" ana Received zaidi ya 10 kwa hizi kazi zote mpya, yaan Kila taasisi kaomba, Nadhani muda wakianza kuita atamaliza hadi Laki 5 za nauli kwenda na kurudi Dom Basi Nenda
Kunguru wa Manzese
Akapange chumba dodoma😀😀zikianza kuitwa tutageuka travellersHahahahaha, tulieni vijna mtawaelewa tu utumishi Hadi Maji muite MMA mwaka huu... Just image Ajira zote mpya zilizotoka from April Hadi leo hawajaitwa interview unategemea wewe wa June uitwe leo kweli. Kuna jamaa angu mmoja nilicheck his "My Application" ana Received zaidi ya 10 kwa hizi kazi zote mpya, yaan Kila taasisi kaomba, Nadhani muda wakianza kuita atamaliza hadi Laki 5 za nauli kwenda na kurudi Dom Basi Nenda
Kunguru wa Manzese
Hujui mchakato wake ngoja tu nikuacheTaifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara!
Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini?
Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa?
Hili li taasisi waje tu walifumue huduma zero kila kitu kibovu.
kwanzia mchakato wa kutuma maombi li mfumo la hovyo sana, sielewi hata waziri husika anajifikiria nini
Ovyo kabisa.
Sio mbaya ww unayejua ukaelezaHujui mchakato wake ngoja tu
Absolutely true, yaan huo mfumo wa kufanya kwa Kanda inabidi uanze mapema utaokoa pesa sanaMi nimeshaitwa 4 toka mwaka uanze na sijawahi kwenda hata moja 😂😂😂
Kila nikiwaza ile laki na nusu ya kuitupa kwenye nauli na malazi kwa siku 2 au 3 naona "Furaha ni kunywa na marafiki tu"
Mkuu kwenye interview unasoma hvyo msuli mrefu unasoma kitu gani..!!! Yaan from pool of notes/lectures za miaka kadhaa utamaliza kweli.. Huwa wanadonoa vitu muhimu tu usijichoshe kama ipoipo tu Boss wanguTumesoma ili kujiandaa na interview mpaka tumechoka, nimeweka elf 20, kwa ajili ya nauli ya kwenda, maana kulala( sina ela ya gesti), nitalala stendi, ela ya nauli nimekula hari tete. Naomba wasiite kabisa hizo interview, maana sielewi.
Tanzania, kujiajiri kulima shida, kutafuta kazi shida.
Basi napaswa kurelaxKuna kazi tuliapply mwezi wa 4 za TRA hadi leo bado hatujaitwa😀😀
Tuambie ndugu mtaalamHujui mchakato wake ngoja tu nikuache