Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara!

Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini?

Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa?

Hili li taasisi waje tu walifumue huduma zero kila kitu kibovu.

kwanzia mchakato wa kutuma maombi li mfumo la hovyo sana, sielewi hata waziri husika anajifikiria nini

Ovyo kabisa.
 
Hahahahaha, tulieni vijna mtawaelewa tu utumishi Hadi Maji muite MMA mwaka huu... Just image Ajira zote mpya zilizotoka from April Hadi leo hawajaitwa interview unategemea wewe wa June uitwe leo kweli. Kuna jamaa angu mmoja nilicheck his "My Application" ana Received zaidi ya 10 kwa hizi kazi zote mpya, yaan Kila taasisi kaomba, Nadhani muda wakianza kuita atamaliza hadi Laki 5 za nauli kwenda na kurudi Dom Basi Nenda
Kunguru wa Manzese
 
Mimi nina mbili zote za mwezi wa tano
 
Mi nimeshaitwa 4 toka mwaka uanze na sijawahi kwenda hata moja 😂😂😂
Kila nikiwaza ile laki na nusu ya kuitupa kwenye nauli na malazi kwa siku 2 au 3 naona "Furaha ni kunywa na marafiki tu"
 
Hahahahaha, tulieni vijna mtawaelewa tu utumishi Hadi Maji muite MMA mwaka huu... Just image Ajira zote mpya zilizotoka from April Hadi leo hawajaitwa interview unategemea wewe wa June uitwe leo kweli. Kuna jamaa angu mmoja nilicheck his "My Application" ana Received zaidi ya 10 kwa hizi kazi zote mpya, yaan Kila taasisi kaomba, Nadhani muda wakianza kuita atamaliza hadi Laki 5 za nauli kwenda na kurudi Dom Basi Nenda
Kunguru wa Manzese
Akapange chumba dodoma😀😀zikianza kuitwa tutageuka travellers
 
Tumesoma ili kujiandaa na interview mpaka tumechoka, nimeweka elf 20, kwa ajili ya nauli ya kwenda, maana kulala( sina ela ya gesti), nitalala stendi, ela ya nauli nimekula hari tete. Naomba wasiite kabisa hizo interview, maana sielewi.
Tanzania, kujiajiri kulima shida, kutafuta kazi shida.
 
Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara!

Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini?

Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa?

Hili li taasisi waje tu walifumue huduma zero kila kitu kibovu.

kwanzia mchakato wa kutuma maombi li mfumo la hovyo sana, sielewi hata waziri husika anajifikiria nini

Ovyo kabisa.
Hujui mchakato wake ngoja tu nikuache
 
Tumesoma ili kujiandaa na interview mpaka tumechoka, nimeweka elf 20, kwa ajili ya nauli ya kwenda, maana kulala( sina ela ya gesti), nitalala stendi, ela ya nauli nimekula hari tete. Naomba wasiite kabisa hizo interview, maana sielewi.
Tanzania, kujiajiri kulima shida, kutafuta kazi shida.
Mkuu kwenye interview unasoma hvyo msuli mrefu unasoma kitu gani..!!! Yaan from pool of notes/lectures za miaka kadhaa utamaliza kweli.. Huwa wanadonoa vitu muhimu tu usijichoshe kama ipoipo tu Boss wangu
 
Tamisemi wametangaza ajira za kada ya afya, wakaajiri, nafasi nyingine zikakosa watu, wakatangaza tena... wao sekretarieti ya ajira wapo tu (in Makongoro Nyerere's voice)
 
Back
Top Bottom