Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

Kuna ajira walitangaza mwezi wa 5 mwishoni nafikiri,wameitwa tayari watu kwa ajili ya usaili lakini mie kada yangu haipo ila kada zote zipo....mpaka hapo nishachoka naona kuna kaigizo cha kaole sanaa group wamekicheza hao utumishi
 
Halafu wakichambua hawakulist wanakuambia hukuCertify Cheti. Wakati interview ukiitwa unaenda na Vyeti Original.
 
Mi nimeshaitwa 4 toka mwaka uanze na sijawahi kwenda hata moja 😂😂😂
Kila nikiwaza ile laki na nusu ya kuitupa kwenye nauli na malazi kwa siku 2 au 3 naona "Furaha ni kunywa na marafiki tu"
Sasa unategemea matokeo gani.Huna haja ya kuomba kazi bs.
 
Kuna ajira walitangaza mwezi wa 5 mwishoni nafikiri,wameitwa tayari watu kwa ajili ya usaili lakini mie kada yangu haipo ila kada zote zipo....mpaka hapo nishachoka naona kuna kaigizo cha kaole sanaa group wamekicheza hao utumishi
Mkuu, japo Mimi sio mfuatiliaji sana wa Matangazo ya Ajira utumishi Ila Ajira zilizotoka mwezi May mwishoni ni zile za MDA's & LGA's deedline ilikuwa June 7.. Sasa hzo za mwezi May na wameitwa interview ni zipi..?
 
sorry ni mwezi wa 6 ndio ilikuwa deadline ya mwisho kutuma maombi mwajiri ni Mocu,mkeka wao wametoa juzi ila mfano wa kada kama Artisan hazijatoka
 
Huwezi kuwa serious mkuu unasoma nini Notes au ?

Tafuta possible questions za interview
 
sorry ni mwezi wa 6 ndio ilikuwa deadline ya mwisho kutuma maombi mwajiri ni Mocu,mkeka wao wametoa juzi ila mfano wa kada kama Artisan hazijatoka
Wale walioitwa ni Malecturer na watafanyiwa Usaili na chuo husika yaan Mocu.. Hyo kada yako wewe lazima wakuite dodoma ukamalizane nao.
 
Kuna sensa na hii inaigharimu serekali hela nyingi sana
 
Kwenye My Applications kuna Received 3 za mwezi May.
Mimi hua nasema siku zote PSRS sijawahi waelewa kabisa.
 
Huu ni uzi wa vijana wasio na ajira

Ukiomba unatakiwa ufanye kama hakuna ulichoomba,tatizo wengi mnaomba alafu ndo mchongo huo huo pekee mnasikilizia.

Fanyeni mambo yenu.
 
Huu ni uzi wa vijana wasio na ajira

Ukiomba unatakiwa ufanye kama hakuna ulichoomba,tatizo wengi mnaomba alafu ndo mchongo huo huo pekee mnasikilizia.

Fanyeni mambo yenu.
mkuu kufuatiliiia muhimu, usije jifanya hamna halafu unajikuta unapata news siku moja kbla na maandaliz hukuwekaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…