Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

Kuna ajira walitangaza mwezi wa 5 mwishoni nafikiri,wameitwa tayari watu kwa ajili ya usaili lakini mie kada yangu haipo ila kada zote zipo....mpaka hapo nishachoka naona kuna kaigizo cha kaole sanaa group wamekicheza hao utumishi
 
Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara!

Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini?

Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa?

Hili li taasisi waje tu walifumue huduma zero kila kitu kibovu.

kwanzia mchakato wa kutuma maombi li mfumo la hovyo sana, sielewi hata waziri husika anajifikiria nini

Ovyo kabisa.
Halafu wakichambua hawakulist wanakuambia hukuCertify Cheti. Wakati interview ukiitwa unaenda na Vyeti Original.
 
Kuna ajira walitangaza mwezi wa 5 mwishoni nafikiri,wameitwa tayari watu kwa ajili ya usaili lakini mie kada yangu haipo ila kada zote zipo....mpaka hapo nishachoka naona kuna kaigizo cha kaole sanaa group wamekicheza hao utumishi
Mkuu, japo Mimi sio mfuatiliaji sana wa Matangazo ya Ajira utumishi Ila Ajira zilizotoka mwezi May mwishoni ni zile za MDA's & LGA's deedline ilikuwa June 7.. Sasa hzo za mwezi May na wameitwa interview ni zipi..?
 
sorry ni mwezi wa 6 ndio ilikuwa deadline ya mwisho kutuma maombi mwajiri ni Mocu,mkeka wao wametoa juzi ila mfano wa kada kama Artisan hazijatoka
 
Tumesoma ili kujiandaa na interview mpaka tumechoka, nimeweka elf 20, kwa ajili ya nauli ya kwenda, maana kulala( sina ela ya gesti), nitalala stendi, ela ya nauli nimekula hari tete. Naomba wasiite kabisa hizo interview, maana sielewi.
Tanzania, kujiajiri kulima shida, kutafuta kazi shida.
Huwezi kuwa serious mkuu unasoma nini Notes au ?

Tafuta possible questions za interview
 
sorry ni mwezi wa 6 ndio ilikuwa deadline ya mwisho kutuma maombi mwajiri ni Mocu,mkeka wao wametoa juzi ila mfano wa kada kama Artisan hazijatoka
Wale walioitwa ni Malecturer na watafanyiwa Usaili na chuo husika yaan Mocu.. Hyo kada yako wewe lazima wakuite dodoma ukamalizane nao.
 
Hahahahaha, tulieni vijna mtawaelewa tu utumishi Hadi Maji muite MMA mwaka huu... Just image Ajira zote mpya zilizotoka from April Hadi leo hawajaitwa interview unategemea wewe wa June uitwe leo kweli. Kuna jamaa angu mmoja nilicheck his "My Application" ana Received zaidi ya 10 kwa hizi kazi zote mpya, yaan Kila taasisi kaomba, Nadhani muda wakianza kuita atamaliza hadi Laki 5 za nauli kwenda na kurudi Dom Basi Nenda
Kunguru wa Manzese
Kuna sensa na hii inaigharimu serekali hela nyingi sana
 
Kwenye My Applications kuna Received 3 za mwezi May.
Mimi hua nasema siku zote PSRS sijawahi waelewa kabisa.
 
Huu ni uzi wa vijana wasio na ajira

Ukiomba unatakiwa ufanye kama hakuna ulichoomba,tatizo wengi mnaomba alafu ndo mchongo huo huo pekee mnasikilizia.

Fanyeni mambo yenu.
 
Huu ni uzi wa vijana wasio na ajira

Ukiomba unatakiwa ufanye kama hakuna ulichoomba,tatizo wengi mnaomba alafu ndo mchongo huo huo pekee mnasikilizia.

Fanyeni mambo yenu.
mkuu kufuatiliiia muhimu, usije jifanya hamna halafu unajikuta unapata news siku moja kbla na maandaliz hukuwekaaa
 
Back
Top Bottom