RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Relax brodah vitu vya gvt ya tz havitaki harakaBasi napaswa kurelax
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Relax brodah vitu vya gvt ya tz havitaki harakaBasi napaswa kurelax
Halafu wakichambua hawakulist wanakuambia hukuCertify Cheti. Wakati interview ukiitwa unaenda na Vyeti Original.Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara!
Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini?
Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa?
Hili li taasisi waje tu walifumue huduma zero kila kitu kibovu.
kwanzia mchakato wa kutuma maombi li mfumo la hovyo sana, sielewi hata waziri husika anajifikiria nini
Ovyo kabisa.
Sasa unategemea matokeo gani.Huna haja ya kuomba kazi bs.Mi nimeshaitwa 4 toka mwaka uanze na sijawahi kwenda hata moja 😂😂😂
Kila nikiwaza ile laki na nusu ya kuitupa kwenye nauli na malazi kwa siku 2 au 3 naona "Furaha ni kunywa na marafiki tu"
Mkuu, japo Mimi sio mfuatiliaji sana wa Matangazo ya Ajira utumishi Ila Ajira zilizotoka mwezi May mwishoni ni zile za MDA's & LGA's deedline ilikuwa June 7.. Sasa hzo za mwezi May na wameitwa interview ni zipi..?Kuna ajira walitangaza mwezi wa 5 mwishoni nafikiri,wameitwa tayari watu kwa ajili ya usaili lakini mie kada yangu haipo ila kada zote zipo....mpaka hapo nishachoka naona kuna kaigizo cha kaole sanaa group wamekicheza hao utumishi
Matokeo ni haya haya tu hata ningeenda Dodoma, nitahudhuria wakianza kufanya usahili kwa Zones.Sasa unategemea matokeo gani.Huna haja ya kuomba kazi bs.
sorry ni mwezi wa 6 ndio ilikuwa deadline ya mwisho kutuma maombi mwajiri ni Mocu,mkeka wao wametoa juzi ila mfano wa kada kama Artisan hazijatokaMkuu, japo Mimi sio mfuatiliaji sana wa Matangazo ya Ajira utumishi Ila Ajira zilizotoka mwezi May mwishoni ni zile za MDA's & LGA's deedline ilikuwa June 7.. Sasa hzo za mwezi May na wameitwa interview ni zipi..?
Huwezi kuwa serious mkuu unasoma nini Notes au ?Tumesoma ili kujiandaa na interview mpaka tumechoka, nimeweka elf 20, kwa ajili ya nauli ya kwenda, maana kulala( sina ela ya gesti), nitalala stendi, ela ya nauli nimekula hari tete. Naomba wasiite kabisa hizo interview, maana sielewi.
Tanzania, kujiajiri kulima shida, kutafuta kazi shida.
Wale walioitwa ni Malecturer na watafanyiwa Usaili na chuo husika yaan Mocu.. Hyo kada yako wewe lazima wakuite dodoma ukamalizane nao.sorry ni mwezi wa 6 ndio ilikuwa deadline ya mwisho kutuma maombi mwajiri ni Mocu,mkeka wao wametoa juzi ila mfano wa kada kama Artisan hazijatoka
Suala ambalo wadau wanalalamikia ni lini ?Tulieni wanaandaa mpango wa kufanya usaili kwa kanda
Kuna sensa na hii inaigharimu serekali hela nyingi sanaHahahahaha, tulieni vijna mtawaelewa tu utumishi Hadi Maji muite MMA mwaka huu... Just image Ajira zote mpya zilizotoka from April Hadi leo hawajaitwa interview unategemea wewe wa June uitwe leo kweli. Kuna jamaa angu mmoja nilicheck his "My Application" ana Received zaidi ya 10 kwa hizi kazi zote mpya, yaan Kila taasisi kaomba, Nadhani muda wakianza kuita atamaliza hadi Laki 5 za nauli kwenda na kurudi Dom Basi Nenda
Kunguru wa Manzese
mkuu kufuatiliiia muhimu, usije jifanya hamna halafu unajikuta unapata news siku moja kbla na maandaliz hukuwekaaaHuu ni uzi wa vijana wasio na ajira
Ukiomba unatakiwa ufanye kama hakuna ulichoomba,tatizo wengi mnaomba alafu ndo mchongo huo huo pekee mnasikilizia.
Fanyeni mambo yenu.