barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ni waziri wa sera, bunge, .............Hii siyo sehemu ya kupeana ma home work
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni waziri wa sera, bunge, .............Hii siyo sehemu ya kupeana ma home work
Na awamu zile wakati wanasaini reasoning ya hao wasomi nani alikuwa amewa intimidate? Maana siamini kama JPM amewa intimidate all the way long since mikataba ya mwadui miaka 50 sasa.mkuu, kwenye awamu hii reasoning ya wasomi wa Kitanzania waliomo serekalini na chamani imekuwa paralysed na JPM intimidation.
utadhani wamerogwa vile.
misukule.
hakuna wa kusema fyoko hata kama wanajua kinachofanywa na kusemwa si sahihi!
sijasoma yote bado, lakini:
canons of statutory interpretation do not allow retrospective application of the law.
mikataba yote iliyotengenezwa kabla ya kupitishwa kwa sheria tajwa haiwezi kushughulikiwa na sheria hiyo tajwa.
kama tumeumizwa tumeumizwa tu, let's call a spade a spade.
Same kwa Beberu.hatufanyi kitu kumlidhisha beberu tunafanya kitu kwa maslahi ya watanzania na si mabeberu, sisi ndio wenye rasilimali
Kwanza naunga mkono hoja ila sio kwa haraka na udharura huu wa bunge letu, bila kupata muda wa kutafakari na kupima the consequences.
What about if the contract by itself is void what's is the implication of the said lawsMkuu PASKALI nimeupenda huu uzi kwa kuwa given the understanding ya wabunge wetu hasa kwa mihemko wanayokuwaga nayo, si ajabu kuwa na matokeo mabaya hapo mbeleni!
Kwa kifupi tu, A "retrospective law" au pia huitwa "retroactive law" is a law that imposes a new obligation on past things or a law that starts from a date in the past.
Unaweza pia ukasema "is one that is to take effect, in point of time, before it was passed".
That is to say, such a law can legalise the illegality and vise versa, it can punish the used to be unpunishable acts or omissions and vise versa, but it can also rectify the past defects in the law.
However it should be noted with diligent care, that whenever a law of this kind impairs the obligation of contracts, it is VOID. But laws which only vary the remedies, divest no right, but merely cure a defect in proceedings otherwise fair, are valid.
Hili liwe angalizo tu kwa watunga sheria wetu.
Nakumbuka ile ya Lissu na Chenge, Mama makinda alikuwa anahoji kuhusu sheria fulani, alimpa Lissu nafasi akatoa maoni yake, CCM wakaona hayafai wapiga kelele lakini alipopewa Chenge akasema mimi naona alivyosema Lissu ni sahihi. hakuongeza neno.
Tuwaache baada ya Miaka 20 watajua wamekosea wapi.