comred
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 1,867
- 1,604
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unahitaji msaada kujua tofauti kati ya UOGA na UMAKINI. Nimetoa truth from the historical background with a living experience sasa sijui hapa wewe mwenzangu unabisha, unashauri, unagomba au?Inasikitisha una umri wa kushuhudia marais wote watano ila nado mwoga, hiki kizazi chenu asilimia kubwa ndo gundu kwa hili taifa!
Sijaelewa 'Retro-Respectively'
Haina...Simu/pc yako haina Google.?
Haina...
Aisee...Basii..tafsiri yake ni..
sawasawa nawewe kumrudia yule Ex wako..kwa maamuzi mapya uliyoyatengeneza
inatakiwa kuwa 'RETROSPECTIVELY'Haina...
Shukran kwa ufafanuzi...inatakiwa kuwa 'RETROSPECTIVELY'
ikimaanisha sheria inayorekebishwa au kutungwa upya je inaweza kutumika kwa makubaliano yaliyokuwepo kabla ya sheria hiyo mpya/marekebisho ya sheria? (sheria kufanya kazi kinyume nyume; pia mfano waweza kuwa labda kwa sasa hatuna sheria inayowaadhibu wale wanaowaambukiza wengine virusi kwa makusudi, je kesho ikitungwa sheria hiyo leo itawaadhibu walioambukiza wengine ukimwi kwa makusudi jana, mwaka jana/siku za nyuma/)
Natumaii nimesaidia japo kidogo
Hii umeanza kujua lini?Paskali Mayala umethibitisha pasipo shaka that you are not only great thinker but also have shown you are critical minded. Tunapambana na mabeberu yaliyokubuhu katika unyonyaji. we need as a country to be smart enough.
Mineral RightWanabodi,
Kwanza naunga mkono marekebisho ya sheria hizi kufanyika, japo sio kwa hati ya dharura.
Tayari pongezi zimeishaanza kumiminika kwa Rais Magufuli na Prof. Kabudi, huu sio uzi wa pongezi, bali ni uzi wa maswali ya kujiuliza, Je, sheria hizi mpya Zita Act Retro Respectively?.
Kama yes, then Tanzania tutakuwa tumevunja mikataba yote ya kinyonyaji kuhusu rasilimali zetu, na wanyonyaji hawa, watakuwa hawana uwezo wa kutushitaki popote zaidi ya Tanzania!. Swali kuu la msingi ni jee Tanzania, can we stand by sheria zetu?, je, do we have the guts to stand by the laws kwa mabadiliko haya?. Isije ikawa tunashangilia sasa, kisha tunakuja kushikishwa adabu na mabeberu hawa na kujutishwa?.
Nakiri kupandisha uzi huu baada ya kumsoma mwana jf huyu
View attachment 532796
Mkuu Msemakweli, asante kwa hii. Kwanza naunga mkono hoja ila sio kwa haraka na udharura huu wa bunge letu, bila kupata muda wa kutafakari na kupima the consequences.
Miswada hii ikipita hivi hivi ilivyo, na kama itakuwa applicable retro respectively kwa mikataba hii ya kinyonyaji iliyopo sasa, then Tanzania tutakuwa automatically tumevunja mikataba yote ya uwekezaji kwenye maliasili zetu, hakuna tena kutishiwa kushitakiwa popote nje ya Tanzania, hakuna cha IICD wala cha MIGA, mambo yote sasa ni Sheria za Tanzania!, huu ndio uzalendo, huu ndio uanamume, na kama hawataki, wafungashe, wakwende zao!, but can we stand?. Do we have the guts?.
Lakini kama sheria hizi mpya, zitaanza kutumika kwa mikataba mipya itakayoingiwa kuanzia sasa, baada ya kuwepo kwa vipengele hivi, then Watanzania wenzangu, wala tusishangilea saana kivile, kwa sababu, kwa mikataba iliyopo mpaka imalizike, wawekezaji wanyonyaji hawa, wanaweza kabisa kuwa wame extract madini yetu yote, na gesi yote na Tanzania tukaachiwa tuu mashimo!.
Ili sheria hii iwe na maana ni lazima ianza kutumika kuanzia sasa ilipopitishwa, ila wa vile sheria huwa hazi act retro respectively, kwa mikataba iliyofungwa kabla ya sheria hii, inakuwa haifungwi na mabadiliko haya, wanasheria mliopo humu tusaidieni, jee vipengele hivi vipya, havivunji mikataba iliyopo inayotaka usuluhishi kwanye vyombo vya kimataifa?.
Jee nini hatma ya Tanzania kwenye mikataba ya kimataifa tulioridhia ikiwemo MIGA?.
Nini hatima ya Tanzania katika uwekezaji kupitia FDI?, wenye fedha zao kweli watakuwa tayari to take such risks?.
Jee tushangilie tuu, au pia tujiulize na the consequences, jee Tanzania tuna guts to stand the international pressures za mabeberu hawa, ama tunapitisha tuu kwa mbwembwe, lakini kibano kikitufika, tutaufyata na kuheshimu mikataba ya kinyonyaji iliyopo?.
Paskali
Pascal unashangaza lakini..wewe unatilia shaka kile kimeandaliwa na Mwl wako Prof. Kabudi, sijui kwa nini huoni mashaka kwa mashaka uliyo nayo, hayo uliyoyaeleza, kuuliza au kuyabaini yule aliyeandika miswaada hii ambaye kila siku anadeal na sheria unadhani hajayaona ila wewe uliyesoma bachelor ya sheria ambayo hata huitumii kwa sababu si wakili unafanya kitu kingine ndiye umeona..hili linawezekana?? hufikirii kwamba mashaka yako yaweza kuwa ynaonyesha kiwango cha ujinga ulichonacho???Wanabodi,
Kwanza naunga mkono marekebisho ya sheria hizi kufanyika, japo sio kwa hati ya dharura.
Tayari pongezi zimeishaanza kumiminika kwa Rais Magufuli na Prof. Kabudi, huu sio uzi wa pongezi, bali ni uzi wa maswali ya kujiuliza, Je, sheria hizi mpya Zita Act Retro Respectively?.
Kama yes, then Tanzania tutakuwa tumevunja mikataba yote ya kinyonyaji kuhusu rasilimali zetu, na wanyonyaji hawa, watakuwa hawana uwezo wa kutushitaki popote zaidi ya Tanzania!. Swali kuu la msingi ni jee Tanzania, can we stand by sheria zetu?, je, do we have the guts to stand by the laws kwa mabadiliko haya?. Isije ikawa tunashangilia sasa, kisha tunakuja kushikishwa adabu na mabeberu hawa na kujutishwa?.
Nakiri kupandisha uzi huu baada ya kumsoma mwana jf huyu
View attachment 532796
Mkuu Msemakweli, asante kwa hii. Kwanza naunga mkono hoja ila sio kwa haraka na udharura huu wa bunge letu, bila kupata muda wa kutafakari na kupima the consequences.
Miswada hii ikipita hivi hivi ilivyo, na kama itakuwa applicable retro respectively kwa mikataba hii ya kinyonyaji iliyopo sasa, then Tanzania tutakuwa automatically tumevunja mikataba yote ya uwekezaji kwenye maliasili zetu, hakuna tena kutishiwa kushitakiwa popote nje ya Tanzania, hakuna cha IICD wala cha MIGA, mambo yote sasa ni Sheria za Tanzania!, huu ndio uzalendo, huu ndio uanamume, na kama hawataki, wafungashe, wakwende zao!, but can we stand?. Do we have the guts?.
Lakini kama sheria hizi mpya, zitaanza kutumika kwa mikataba mipya itakayoingiwa kuanzia sasa, baada ya kuwepo kwa vipengele hivi, then Watanzania wenzangu, wala tusishangilea saana kivile, kwa sababu, kwa mikataba iliyopo mpaka imalizike, wawekezaji wanyonyaji hawa, wanaweza kabisa kuwa wame extract madini yetu yote, na gesi yote na Tanzania tukaachiwa tuu mashimo!.
Ili sheria hii iwe na maana ni lazima ianza kutumika kuanzia sasa ilipopitishwa, ila wa vile sheria huwa hazi act retro respectively, kwa mikataba iliyofungwa kabla ya sheria hii, inakuwa haifungwi na mabadiliko haya, wanasheria mliopo humu tusaidieni, jee vipengele hivi vipya, havivunji mikataba iliyopo inayotaka usuluhishi kwanye vyombo vya kimataifa?.
Jee nini hatma ya Tanzania kwenye mikataba ya kimataifa tulioridhia ikiwemo MIGA?.
Nini hatima ya Tanzania katika uwekezaji kupitia FDI?, wenye fedha zao kweli watakuwa tayari to take such risks?.
Jee tushangilie tuu, au pia tujiulize na the consequences, jee Tanzania tuna guts to stand the international pressures za mabeberu hawa, ama tunapitisha tuu kwa mbwembwe, lakini kibano kikitufika, tutaufyata na kuheshimu mikataba ya kinyonyaji iliyopo?.
Paskali
What about if the contract by itself is void what's is the implication of the said laws