imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 #1 Hawa watu hupatikana katika nchi ya Myanmar zamani Burma,wanawake wa kikayan huanza huzivaa bangili za shingoni,wakiwa bado wadogo sana Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba wakizivua kichwa huangukia begani na kuwasababishia kifo. Mpaka sasa hakuna mtu amaejua utamaduni huu ulianza lini na kwasanabu gani. Wanaume wa Kikayan wao hawaoi mwanamke asiye na bangili shingoni. Mwanamke wa Kikayan akiwa amevalia bangi za shingoni
Hawa watu hupatikana katika nchi ya Myanmar zamani Burma,wanawake wa kikayan huanza huzivaa bangili za shingoni,wakiwa bado wadogo sana Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba wakizivua kichwa huangukia begani na kuwasababishia kifo. Mpaka sasa hakuna mtu amaejua utamaduni huu ulianza lini na kwasanabu gani. Wanaume wa Kikayan wao hawaoi mwanamke asiye na bangili shingoni. Mwanamke wa Kikayan akiwa amevalia bangi za shingoni
Mdomo bakuli JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 3,442 Reaction score 7,007 Sep 9, 2018 #2 Ina maana wanaoga nazo?
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,073 Reaction score 858,551 Sep 9, 2018 #3 Mtumeee, jamani ni kutesena tu walahi!
kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,109 Reaction score 1,171 Sep 9, 2018 #4 kumbe bangili zinaongeza urefu wa shingo?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 Thread starter #5 Mdomo bakuli said: Ina maana wanaoga nazo? Click to expand... Lazima waoge nazo kwasababu wakizivua inabidi wakishikilie kichwa laa sivyo kutokana na misuli ya shingo kusinyaa kanakosa hewa na kufa.
Mdomo bakuli said: Ina maana wanaoga nazo? Click to expand... Lazima waoge nazo kwasababu wakizivua inabidi wakishikilie kichwa laa sivyo kutokana na misuli ya shingo kusinyaa kanakosa hewa na kufa.
Dr Rutagwerera Sr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 5,809 Reaction score 11,462 Sep 9, 2018 #6 Ukistaajabu ya waafrika kuna ya waasia wa Mynamar
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Sep 9, 2018 #7 Sasa hapo ungekuta Dada kama Hamisa Mobeto kazaliwa huko kisha wakavute shingo aisee angekuwa kama Kirungu.
Sasa hapo ungekuta Dada kama Hamisa Mobeto kazaliwa huko kisha wakavute shingo aisee angekuwa kama Kirungu.
K kinyama nje JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 1,839 Reaction score 2,475 Sep 9, 2018 #8 kama sisi mwanamke used unarudishiwa hella yako na mg'ombe ulizotoa
last king of uscoch JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 2,728 Reaction score 3,980 Sep 9, 2018 #9 Mtawaua wa mymar
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 Thread starter #10 kabiriga said: kumbe bangili zinaongeza urefu wa shingo? Click to expand... Mwili wa binadamu unaweza kufanyiwa modifications bila wasiwasi.angalia kama masikio ya masai yanavyorefushwa
kabiriga said: kumbe bangili zinaongeza urefu wa shingo? Click to expand... Mwili wa binadamu unaweza kufanyiwa modifications bila wasiwasi.angalia kama masikio ya masai yanavyorefushwa
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Sep 9, 2018 #11 :sipati picha hizo shingo zilivokua na kutu
Makosa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 1,183 Reaction score 2,622 Sep 9, 2018 #12 Tamaduni zingine kutesana tu.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 Thread starter #13 Makosa said: Tamaduni zingine kutesana tu. Click to expand... Wenyewe wanaona ndio urembo.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 Thread starter #14
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 Thread starter #15 Mabinti vigoli wakiwa na bangili zao shingoni tayari kwa kuolewa.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 Thread starter #16 Shingo ikifikia urefu huu huwa misuli yake inalegea kabisa.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 Thread starter #17 Huyu msichana ndio kwanza ameanza na bangili chache lakini kadiri anavyokuwa ndio pingili mpya huongezwa.
Huyu msichana ndio kwanza ameanza na bangili chache lakini kadiri anavyokuwa ndio pingili mpya huongezwa.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Sep 9, 2018 #18 kabiriga said: kumbe bangili zinaongeza urefu wa shingo? Click to expand... Hujawaona wale wa kiafrica ambao vichwa vinafungwa wangali wadogo mpaka chogo linarefuka halafu unaambiwa ndio urembo
kabiriga said: kumbe bangili zinaongeza urefu wa shingo? Click to expand... Hujawaona wale wa kiafrica ambao vichwa vinafungwa wangali wadogo mpaka chogo linarefuka halafu unaambiwa ndio urembo
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Sep 9, 2018 #19 Nimependa tshirt zao,ila swali kwa mleta mada,inamaana na pingili za shingo hung'oka???au maana nazo zina kazi yake katika kukifanya kichwa kisimame!!!
Nimependa tshirt zao,ila swali kwa mleta mada,inamaana na pingili za shingo hung'oka???au maana nazo zina kazi yake katika kukifanya kichwa kisimame!!!
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 9, 2018 Thread starter #20 Hawa wanawake wameweza kuzitoa bangili kwa msaada wa madaktari.