Zitambue Mila za ajabu za kabila la Kayan

Zitambue Mila za ajabu za kabila la Kayan

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Hawa watu hupatikana katika nchi ya Myanmar zamani Burma,wanawake wa kikayan huanza huzivaa bangili za shingoni,wakiwa bado wadogo sana

Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba wakizivua kichwa huangukia begani na kuwasababishia kifo.

Mpaka sasa hakuna mtu amaejua utamaduni huu ulianza lini na kwasanabu gani.

Wanaume wa Kikayan wao hawaoi mwanamke asiye na bangili shingoni.
IMG_7150.jpg

Mwanamke wa Kikayan akiwa amevalia bangi za shingoni
 
Mtumeee, jamani ni kutesena tu walahi!
 
stock-photo-inle-myanmar-sep-unidentified-padaung-karen-or-kayan-lahwi-woman-wearing-the-tradi...jpg

Shingo ikifikia urefu huu huwa misuli yake inalegea kabisa.
 
23844721593_980791e708_b-1.jpg

Huyu msichana ndio kwanza ameanza na bangili chache lakini kadiri anavyokuwa ndio pingili mpya huongezwa.
 
Nimependa tshirt zao,ila swali kwa mleta mada,inamaana na pingili za shingo hung'oka???au maana nazo zina kazi yake katika kukifanya kichwa kisimame!!!
 
cf8013e9b809a87d3233bdef5a5dc4d8.jpg

Hawa wanawake wameweza kuzitoa bangili kwa msaada wa madaktari.
 
Back
Top Bottom