imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hawa watu hupatikana katika nchi ya Myanmar zamani Burma,wanawake wa kikayan huanza huzivaa bangili za shingoni,wakiwa bado wadogo sana
Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba wakizivua kichwa huangukia begani na kuwasababishia kifo.
Mpaka sasa hakuna mtu amaejua utamaduni huu ulianza lini na kwasanabu gani.
Wanaume wa Kikayan wao hawaoi mwanamke asiye na bangili shingoni.
Mwanamke wa Kikayan akiwa amevalia bangi za shingoni