Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sayansi naona hawaielewi, acha wasuburi October.ACT wanaweza kupata wabunge toka visiwani ambako ndiyo kuna mizizi ya chama. Na visiwani wananchi wanajua namna ya kudai haki zao kwa kupiga kura na kuzilinda. Pamoja na kwamba kuna Jecha no.2 lkn bado watapambana.
Chadema ngome yake kuu ni bara. Bara wananchi wapo doro. Ukichanganya na figisu zilizoandaliwa mambo yanakua mabya zaidi.
"Chadema hii ikipata wabunge 3 sijui" ----Ndugai.
Ha ha ha ha ha, Kachero Mbobezi amekuwa wa kawaida Tena kwakuwa this tym yuko aganisnt Nyinyi ha ha ha ha.Zitto hajawashika Chadema popote, Chadema wana watu wenye sifa kabisa za kugombea Urais, sifa zaidi ya Membe, mkianza kumvimbisha kichwa mapema ndio mtamuharibia mapema sana.
Achana na Ndungai hata Wassira alishawahi kusema kabla ya mwaka 2015 Chadema itakua imeshakufa.ACT wanaweza kupata wabunge toka visiwani ambako ndiyo kuna mizizi ya chama. Na visiwani wananchi wanajua namna ya kudai haki zao kwa kupiga kura na kuzilinda. Pamoja na kwamba kuna Jecha no.2 lkn bado watapambana.
Chadema ngome yake kuu ni bara. Bara wananchi wapo doro. Ukichanganya na figisu zilizoandaliwa mambo yanakua mabya zaidi.
"Chadema hii ikipata wabunge 3 sijui" ----Ndugai.
Hakuna Sayansi kama hio.Hii sayansi naona hawaielewi, acha wasuburi October.
Kwa wapiga kura wa Mwandiga labdaNa kwa upepo wa sasa ACT wanaenda kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni japo ni habari chungu kwa Chadema...Ni swala la muda tu ja
Umezaliwa lini mku? 2005 - 2010 CUF waliongoza Kambi ya upinzani Bungeni chini ya Hamad Rashid.Achana na Ndungai hata Wassira alishawahi kusema kabla ya mwaka 2015 Chadema itakua imeshakufa.
Miaka yote Zenji imekua ni ngome ya CUF na kua na wabunge wengi,je hio iliifanya CUF kua kambi rasmi ya upinzani bungeni huku bara?maana kule zenji sijui hata kama Chadema ina mbunge hata mmoja.
Haiwezekani tumia akili. Lazima awe Membe ili anogeshe uchaguzi.Siasa ndivyo ilivyo, japo Zitto nae haaminiki kutokana na aliyowahi kuyafanya siku za nyuma, binafsi naamini hata kama patakuwa na coalition kati ya Chadema na ACT but mgombea Urais wa Tanzania Bara lazima awe mpinzani, alielelewa upinzani.
"Na 2010-2015 pia CUF waliongoza pia kambi ya upinzani bungeni maana walikua na wabunge wengi kutoka Zanzibar."Umezaliwa lini mku? 2005 - 2010 CUF waliongoza Kambi ya upinzani Bungeni chini ya Hamad Rashid.
Acha kusogeza goli basi, ushajibiwa CUF walishawahi kuongoza full stop, hukuwa unajua Sasa umejua thank me for that."Na 2010-2015 pia CUF waliongoza pia kambi ya upinzani bungeni maana walikua na wabunge wengi kutoka Zanzibar."
Nashukuru sana mzee,na 2015-2020 pia CUF imeongoza kambi rasmi bungeni kwa kua na wabunge wengi kutoka Zanzibara.Acha kusogeza goli basi, ushajibiwa CUF walishawahi kuongoza full stop, hukuwa unajua Sasa umejua thank me for that.
CHADEMA walifanya kosa kutomsajili Maalimu Seif. Wangefanya hivyo sasa hivi CHADEMA ingekuwa chama cha Muungano tofauti na sasa ambapo ni CHAMA Cha BARANi wazi kwamba ACT Wazalendo wamedhamiria kumsimamisha Bernard Membe kugombea Urais wa Tanzania na kuzigawa kura za upinzani bara za Lissu au Nyalandu.
Hivyo basi nashauri CHADEMA nao waweke mgombea Urais Zanzibar na wagombea uwakilishi na udiwani katika kila eneo huko visiwani Zanzibar ili kila mtu ashinde mechi zake.
Nakusoma hata sikuelewi naona unacheka cheka tu, hivi kati ya Membe wa sasa na Lowassa wa 2015 yupi alikuwa na nguvu zaidi?Ha ha ha ha ha, Kachero Mbobezi amekuwa wa kawaida Tena kwakuwa this tym yuko aganisnt Nyinyi ha ha ha ha.
Kuna kitu hukioni mkuu, labda nikufumbue macho. Membe na Zitto wako serious na Membe hatanii, Wanaingia na miguu yote, Membe na Zitto rasmi wameamua kutengeneza opposition against CCM na this October Membe hagombei ili ashinde, Membe anagombea kutengeneza mtaji wa 2025 ambapo ataingia fully. Na kiukweli hapo wa 10 it obvious it's Act against CCM, huu ukweli hamuwezi kuubali, ukweli Mchungu Buda.
Yani we kibuyu unaniambia mimi nitumie akili wakati wewe ndio unatakiwa utumie akili, unazungumzia kunogesha uchaguzi wakati wenzio tunataka ushindi.Haiwezekani tumia akili. Lazima awe Membe ili anogeshe uchaguzi.
Ushindi wa nini? Chadema ipate ushindi wa urais? Kweli akili zako ni mgando.Yani we kibuyu unaniambia mimi nitumie akili wakati wewe ndio unatakiwa utumie akili, unazungumzia kunogesha uchaguzi wakati wenzio tunataka ushindi.
CHADEMA itaingia Zanzibar kwa juhudi zake yenyeweCHADEMA walifanya kosa kutomsajili Maalimu Seif. Wangefanya hivyo sasa hivi CHADEMA ingekuwa chama cha Muungano tofauti na sasa ambapo ni CHAMA Cha BARA