Hii kauli yako ya mwisho (bottom line) haina mashiko, ni kauli ya kibaguzi na ubinafsi ya; "Ulimwaga ugali jana na mimi leo namwaga mboga".
Unatakiwa uangalie maslahi mapana ya opposition in this time around, you need to bury the dagger.
Jaribu siku moja uwaambie Republicans wa kule kwa Trump waungane na Demcrats, au Chama cha JoBo kule Uingereza wakubali kuungana na Labor.Kwenye politics hakuna kitu permanent hakuna sera permanent hakuna misimamo permanent
Ukielewa hii kitu utaacha kuteseka ovyo ovyo
Zitto ni unfaithful, ambitious political opportunist mwenye lengo la kujitafutia RUZUKU kwa njia yoyote ile, HARAMU NA HALALI kupitia katika uchaguzi ujao hatimaye Bungeni. Zitto anataka kumtumia Membe, the so called jasusi aliyeiba fedha za chenji ya Radar na fedha kutoka Libya ya Gadaffi, eti ajipatie Ubunge na wabunge wa ACT - Wananchi (siyo Wazalendo, unadhani kuwa Mzalendo ni rahisi rahisi kihivyo!). Zitto kapiga hesabu na kuona siyo yeye wala mwanachama mwingine yoyote anayo nafasi ya kupata ubunge this time; hivyo kama walivyo jaribu UKAWA na yeye anataka this time amtumie Membe. Kwa kweli huku ni kutapata tu kwa MFA MAJI, yuko tayari ashike hata NYOKA humo majini akidhani ataweza kujiokoa through huyo NYOKA. Hiki ndicho kitu anachofanya Zitto. Amini usiamini hawana lolote; hawa ni wachumia tumbo tu. Utasema mengi kuhusu andiko hili na wengine, kwa kukosa hoja mtaleta matusi, vihoja na vioja on serious national issues kama hizi. turumbane kwa hoja. Sitaki kusema lolote kumhusu Membe, kwa sababu ni NON - ISSUE!Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu kabisa, na hakutaka hata kushirikiana nasi. By that time chama chake hakikutaka kabisa kumpigia kampeni Mgombea wa CHADEMA aliyeviwakilisha vyama vya Upinzani chini ya UKAWA ndugu yetu Lowassa, na badala yake ACT-Wazalendo walisimmamisha mgombea wao Mama Anna Mghwira na kuzigawa kura za Upinzani. Aidha ACT-Wazalendo walisimamisha wagombea wao wa Ubunge na Udiwani na kuzigawa kura majimboni na kwenye Kata
Kwa kipindi chote cha 2016-2017 Zitto alikuwa totally kinyume na movements ambazo Wabunge wa UKAWA walizichukua wakiwa Bungeni; wakitoka nje, yeye alibaki ndani na hata kuwaponda mara nyingine
This time around ACT-Wazalendo wanataka Mgombea wanayemsimamisha wao, Ndugu Bernard Membe, aungwe mkono na vyama vingine vyote vya Upinzani. Wanataka kukiimarisha chama chao kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa mgongo wa Mgombea wao mmoja kwenye Uchaguzi Mkuu. Wanajua fika wakiungwa mkono na vyama vingine wanaweza ongeza idadi ya Wabunge kwani katika Bunge la 11 alikuwa Zitto peke yake, na hivyo kuongeza kiasi cha fedha wanachopokea kama ruzuku
Nitashangaa sana, CHADEMA iliyokuwa na Wabunge na Madiwani wengi ikiingia kwenye mtego uliotegeshwa na ACT-Wazalendo yenye Mbunge Mmoja na Madiwani kiduchu. That will be the offical death of Opposition in Tanzania.
MGOMBEA ANATAKIWA ATOKEE CHADEMA KWA KUWA NDIYO CHAMA KIKUU CHA UPINZANIZitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu kabisa, na hakutaka hata kushirikiana nasi. By that time chama chake hakikutaka kabisa kumpigia kampeni Mgombea wa CHADEMA aliyeviwakilisha vyama vya Upinzani chini ya UKAWA ndugu yetu Lowassa, na badala yake ACT-Wazalendo walisimmamisha mgombea wao Mama Anna Mghwira na kuzigawa kura za Upinzani. Aidha ACT-Wazalendo walisimamisha wagombea wao wa Ubunge na Udiwani na kuzigawa kura majimboni na kwenye Kata
Kwa kipindi chote cha 2016-2017 Zitto alikuwa totally kinyume na movements ambazo Wabunge wa UKAWA walizichukua wakiwa Bungeni; wakitoka nje, yeye alibaki ndani na hata kuwaponda mara nyingine
This time around ACT-Wazalendo wanataka Mgombea wanayemsimamisha wao, Ndugu Bernard Membe, aungwe mkono na vyama vingine vyote vya Upinzani. Wanataka kukiimarisha chama chao kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa mgongo wa Mgombea wao mmoja kwenye Uchaguzi Mkuu. Wanajua fika wakiungwa mkono na vyama vingine wanaweza ongeza idadi ya Wabunge kwani katika Bunge la 11 alikuwa Zitto peke yake, na hivyo kuongeza kiasi cha fedha wanachopokea kama ruzuku
Nitashangaa sana, CHADEMA iliyokuwa na Wabunge na Madiwani wengi ikiingia kwenye mtego uliotegeshwa na ACT-Wazalendo yenye Mbunge Mmoja na Madiwani kiduchu. That will be the offical death of Opposition in Tanzania.
Endeleeni tu kupigana madongo yasiyo na tija, ni hivi.. wenzenu wamejiandaa kutangaza wagombea wao kama washindi, kura zipigwe zisipigwe hawajali, kwa hiyo mnapolumbana na kuitana majina muwe na hilo kichwani maana mnaongea tu utadhani mnaenda kwenye uchaguzi wa kawaida.Zitto ni unfaithful, ambitious political opportunist mwenye lengo la kujitafutia RUZUKU kwa njia yoyote ile, HARAMU NA HALALI kupitia katika uchaguzi ujao hatimaye Bungeni. Zitto anataka kumtumia Membe, the so called jasusi aliyeiba fedha za chenji ya Radar na fedha kutoka Libya ya Gadaffi, eti ajipatie Ubunge na wabunge wa ACT - Wananchi (siyo Wazalendo, unadhani kuwa Mzalendo ni rahisi rahisi kihivyo!). Zitto kapiga hesabu na kuona siyo yeye wala mwanachama mwingine yoyote anayo nafasi ya kupata ubunge this time; hivyo kama walivyo jaribu UKAWA na yeye anataka this time amtumie Membe. Kwa kweli huku ni kutapata tu kwa MFA MAJI, yuko tayari ashike hata NYOKA humo majini akidhani ataweza kujiokoa through huyo NYOKA. Hiki ndicho kitu anachofanya Zitto. Amini usiamini hawana lolote; hawa ni wachumia tumbo tu. Utasema mengi kuhusu andiko hili na wengine, kwa kukosa hoja mtaleta matusi, vihoja na vioja on serious national issues kama hizi. turumbane kwa hoja. Sitaki kusema lolote kumhusu Membe, kwa sababu ni NON - ISSUE!
Zitto ni unfaithful, ambitious political opportunist mwenye lengo la kujitafutia RUZUKU kwa njia yoyote ile, HARAMU NA HALALI kupitia katika uchaguzi ujao hatimaye Bungeni. Zitto anataka kumtumia Membe, the so called jasusi aliyeiba fedha za chenji ya Radar na fedha kutoka Libya ya Gadaffi, eti ajipatie Ubunge na wabunge wa ACT - Wananchi (siyo Wazalendo, unadhani kuwa Mzalendo ni rahisi rahisi kihivyo!). Zitto kapiga hesabu na kuona siyo yeye wala mwanachama mwingine yoyote anayo nafasi ya kupata ubunge this time; hivyo kama walivyo jaribu UKAWA na yeye anataka this time amtumie Membe. Kwa kweli huku ni kutapata tu kwa MFA MAJI, yuko tayari ashike hata NYOKA humo majini akidhani ataweza kujiokoa through huyo NYOKA. Hiki ndicho kitu anachofanya Zitto. Amini usiamini hawana lolote; hawa ni wachumia tumbo tu. Utasema mengi kuhusu andiko hili na wengine, kwa kukosa hoja mtaleta matusi, vihoja na vioja on serious national issues kama hizi. turumbane kwa hoja. Sitaki kusema lolote kumhusu Membe, kwa sababu ni NON - ISSUE!
Hakuna maslahi mapana ya upinzani hapo zaidi ya ubinafsi uliotawala. Tulitakiwa kufanya better 2015 wakati wananchi walikuwa na mwamko mkubwa wa Mabadiliko na si sasa. My voters are heartbroken kutokana na situation ya 2015
Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu kabisa, na hakutaka hata kushirikiana nasi. By that time chama chake hakikutaka kabisa kumpigia kampeni Mgombea wa CHADEMA aliyeviwakilisha vyama vya Upinzani chini ya UKAWA ndugu yetu Lowassa, na badala yake ACT-Wazalendo walisimmamisha mgombea wao Mama Anna Mghwira na kuzigawa kura za Upinzani. Aidha ACT-Wazalendo walisimamisha wagombea wao wa Ubunge na Udiwani na kuzigawa kura majimboni na kwenye Kata
Kwa kipindi chote cha 2016-2017 Zitto alikuwa totally kinyume na movements ambazo Wabunge wa UKAWA walizichukua wakiwa Bungeni; wakitoka nje, yeye alibaki ndani na hata kuwaponda mara nyingine
This time around ACT-Wazalendo wanataka Mgombea wanayemsimamisha wao, Ndugu Bernard Membe, aungwe mkono na vyama vingine vyote vya Upinzani. Wanataka kukiimarisha chama chao kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa mgongo wa Mgombea wao mmoja kwenye Uchaguzi Mkuu. Wanajua fika wakiungwa mkono na vyama vingine wanaweza ongeza idadi ya Wabunge kwani katika Bunge la 11 alikuwa Zitto peke yake, na hivyo kuongeza kiasi cha fedha wanachopokea kama ruzuku
Nitashangaa sana, CHADEMA iliyokuwa na Wabunge na Madiwani wengi ikiingia kwenye mtego uliotegeshwa na ACT-Wazalendo yenye Mbunge Mmoja na Madiwani kiduchu. That will be the offical death of Opposition in Tanzania.
Ngoja tusubiri tuone uhalisia wa NDOTO HII YA MCHANA. We have only four months of waiting!Na kwa upepo wa sasa ACT wanaenda kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni japo ni habari chungu kwa Chadema...Ni swala la muda tu ja
Ndio Mkuu muda utaongea.Ngoja tusubiri tuone uhalisia wa NDOTO HII YA MCHANA. We have only four months of waiting!
Kwani aliyesaidia kuunda Act wazalendo nini nina kama siyo Mhe Membe wakati ule wa 2014/2015 Ndiyo maana Act hawakujiunga na UKAWA! lengo kiwe chama kikuu cha upinzani. Lakini kuchukuwa madaraka labda 2095 A.D.
ACT waliomba kujiunga UKAWA tena kwa maandishi, hawakukubaliwa. Walisema lowassa ndio aliunda act, alipoenda chadema wakaufyata kwa aibu. Sasa mnageuza maneno ati membe ndio alianzisha ACT.Kwani aliyesaidia kuunda Act wazalendo nini nina kama siyo Mhe Membe wakati ule wa 2014/2015 Ndiyo maana Act hawakujiunga na UKAWA! lengo kiwe chama kikuu cha upinzani. Lakini kuchukuwa madaraka labda 2095 A.D.
Kumbe Zitto alifukuzwa CDM kama mbwa koko, tena akaenda hadi mahakamani kupinga? Kumbe ACT waliomba kuingia UKAWA wakakataliwa?Mlikataliwa kwa sababu mlikuwa Wabinafsi. Na ndiyo maana Chadema waliwaona nyie ni adui namba moja. Mwaka 2019 ndipo uliporuhisiwa kujiunga na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni baada ya kuanza kujiandaa kwa Movie hii tunayoiona sasa, na kumbuka wakati Mbatia akielezea kuruhusiwa kwako alisema sasa utapaswa kufuata taratibu zao tofauti na awali ambapo ulikuwa ujafanya kama unavyotaka. Na mostly ulitusaliti wapinzani wenzako kwenye movements kibao Bungeni. Chonde Chonde CHADEMA msiingie mtego huu mtanasa vibaya sana.
Zitto hakukataa muungano,aliomba kuingia wakakataa, walijiona wamelamba bahati ya mtende ambayo hawakutaka kushea na "msaliti" ambae walimfukuza kama mbwa kwenye chama chaoKama Zirto alimkataa Lowasa basi alikuwa sahihi lakini kama aliukataa muungano kama muungano hilo ni jambo jingine.
Sisi tuliyempigia Lowasa alhali tulijua ni fisadi tuliongozwa na unafiki.
Zimesaidia kutufahamisha kwamba haki, uhuru na usawa vimeota mabawa, na kutuonyesha walioviotesha mabawa ni kina nani.Hivi zile movements za upinzani bungeni zimesaidia nini kwa wapiga kura?
Naona Mwami umefufua ID yako kuja kujiteteaZitto hakukataa muungano,aliomba kuingia wakakataa, walijiona wamelamba bahati ya mtende ambayo hawakutaka kushea na "msaliti" ambae walimfukuza kama mbwa kwenye chama chao
Kama alisaliti alistahili kukataliwa.Zitto hakukataa muungano,aliomba kuingia wakakataa, walijiona wamelamba bahati ya mtende ambayo hawakutaka kushea na "msaliti" ambae walimfukuza kama mbwa kwenye chama chao
utopolo..😱ACT wanamtaka Membe jomba, na ndio maana Zitto anapigana kwa nguvu zote kuwa na coalition ili mgombea wao aungwe mkono na wengine.