Mnamtukana akijibu mnalia! Nyambaff! Ndio maana Arusha ya Wamasai inaongozwa na watu wakuja!
 
Wadau, kutokana na hali ya kutoelewana baina ya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao, imejitokeza hali ambayo ni ishara mbaya kwa chama hicho. Yapo mengi yaliyoelezwa kuhusu hawa wanasiasa maarufu ndani ya CHADEMA. Zitto Kabwe anafahamika miongoni mwa Watanzania wengi kuwa ni kiongozi jasiri, mcheshi, mzalendo na mchapa kazi. Hata hivyo zimeibuliwa tuhuma dhidi yake kuwa ni msaliti, fisadi na mnafiki. Haya yote mwanzoni niliyaona kama ni mchezo wa kuigiza tu na hayana ukweli ndani yake

Hata hivyo, baada ya Lissu kuibua kashfa jana kuwa Zitto Kabwe amehongwa magari na Nimrod Mkono, Zitto Kabwe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Tuhuma hizo zinahusu ufisadi ambao kwa hakika unamweka pabaya sana Mbowe na hata kauli zake kuwa yeye ni mzalendo na msafi zinatia shaka. Imeelezwa kuwa Mbowe amehonga mamilioni ya shilingi na Mkono, amepewa magari na mambo mengine chungu nzima ukiachilia mbali tuhuma zake za uzinzi na uasherati.

Kutokana na hali hiyo, nimetafakari sana na ndipo nilipoleta hoja hii mbele ya wana JF ili tulijadili kwa kina. Tunapaswa kujua kama ndani ya CHADEMA kuna wanasiasa wasafi ambao hawana chembe ya rushwa. Kama hakuna hata mmoja mwenye sifa hiyo, ni wazi kuwa chama hiki hakifai na kama Watanzania watafanya makosa ya kukiunga mkono, wataliingiza taifa hili kwenye umaskini mkubwa.

Nawasilisha
 
Ole Millya kwa nini haya matamko yanakuwepo akina Mbowe wakiguswa tu? Kwa nini Zitto alipokuwa akitukanwa na kama ambavyo anaendelea kutukanwa haya matamko hatuyaoni? Acha double standard treatments.

Binafsi sifurahishwi hata kidogo na kinachoendelea ndani ya chama. Inauma viongozi wanapohamasisha watu wakajiunga kwenye vyama watu wenyewe wakawa serious halafu viongozi wakashindwa kuwa serious.

Wito wangu ni kwamba tuwe tayari kukemea kila tuonapo tatizo bila kujali makundi yanayoendekezwa kwenye chama. Kila tuhuma ifanyiwe kazi kama zinavyofanyiwa za Zitto bila kujali ni ya mwenyekiti, katibu au mtu mwingine yeyote yule.

Kilichopo hivi sasa ni kwamba tuhuma za Zitto ni za kweli za Mbowe si za kweli, na bado hatuko tayari kujishughulisha katika kashughulikia mambo haya. Kwa kinachofanyika hivi sasa, anayepewa advantage hapa ni CCM. Hii ni mbaya sana. The party has surely lost its focus. Tujisahihishe
 
kusema kweli ukiwa chadema utaitwa msaliti au unatukana
 
1.Zitto ana mtoto aliyezaa nje ya ndoa!
2.Kuhongwa kwa Mbowe HAKUMHALALISHII yy pia kuhongwa
3. Kama madai ya Lissu ni ya uzushi aende Mahakamani
mkuu tuwe fair,mbona madai ya zitto mbowe hajakanusha?
 
kweli bwana milya huyu ndio tunaona udhaifu wake umpe nchi huyu si atatuuza wote kanafiki sana haka kabwana mdogo nenda ukalime mawese huko
 

Milya wewe ni bora ukae kimya kwakua wewe kwa ZZK ni mdogo sanaaaa kuliko kifaranga cha kuku,
Mtu hawezi kuonewa kisha akawachekea,tatizo lako umeshikiwa akil.... na hao madhalimu,yapo mengi yanakuja dhidi ya hawa matapeli kwa raia masikini wa tz,matapeli wanaojivisha ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu wakali,kwa sasa ukimya hautokuepo tena na ni lazima watz wafunguliwe masikio.
 
Zitto mwisho wake CDM umefika....anatapatapa mtu! angekuwA na akili angeondoka kwa amani! so kwa ujinga huu!
 
Mbowe hakuongwa bali alikuwa akichangisha hela za kampeni.....zitto ana tapata tapata....tu
 
matusi ya zitto ni yapi kusema kwamba hao viongozi wake waliongwa au kumsema mbowe amueshimu mkewe..leo mkuki kwa nguruwe eeeh anavyotukanwa kikwete matusi ya nguoni hayaonekani..hao leo waloamua kumwaga ugali mwenzao kamwaga mboga imekua matusi duuh

tatizo la zitto ni malezi! mtu aliyepata malezi ya ovyo ovyo kama zitto kabwe hakawii kumwambia baba kama angechelewa kumzaa na yeye angemzaa!
cc:pasco
 
dogo kajisahau na kiburi cha pesa za ccm kaona haitoshi kaamuwa kutukana paka viongozi wake wa ngazi ya juu alinichefua sana alipo msema mbunge wangu wa arusha mjini
 
1.Zitto ana mtoto aliyezaa nje ya ndoa!
2.Kuhongwa kwa Mbowe HAKUMHALALISHII yy pia kuhongwa
3. Kama madai ya Lissu ni ya uzushi aende Mahakamani
aaahaaaa mbowe alozaa na mbunge wake ni wa ndani..wote ni wapiga dili tu ..sio akanushe zitto tu hata uyo mbowe nae akanushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…