Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli muathirika hivi unafikiri mbowe ni sawa na papuchi mwenzio zito? Nani anamda wa kujitu hekaya kama hizi?yaani zitto anatabia kama za watoto ukimuudhi anaaza kudai alicho kupa, huo ni utoto na umama wa huyo mwenzenu,,na ccm mlivo majinga ya kufikiri utakuta mnaona kama hii bonge ya hoja!wakati wenzenu wanajua ni mafa maji tu huyo anatapatapaKwa tuhuma hizi nzito alizozitoa mh. Zitto Kabwe dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Freeman Eikaeli Mbowe, Chadema inabidi ijibu coz its very serious na wakikaa kimya ina maana yanayosemwa na mh. Zitto dhidi ya mh. Mbowe ni ya kweli...basi Chadema haitakuwa na locus standi ya kunyooshea watu kwa tuhuma za ufisadi na michezo michafu...tunamtaka mh. Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.
We kweli muathirika hivi unafikiri mbowe ni sawa na papuchi mwenzio zito? Nani anamda wa kujitu hekaya kama hizi?yaani zitto anatabia kama za watoto ukimuudhi anaaza kudai alicho kupa, huo ni utoto na umama wa huyo mwenzenu,,na ccm mlivo majinga ya kufikiri utakuta mnaona kama hii bonge ya hoja!wakati wenzenu wanajua ni mafa maji tu huyo anatapatapa
Ndo kishasema hivyo, wewe bwatuka watu waunganishe dots...........Kabla sijachangia kwa mapana naomba kwanza Zitto aje atuhakikishie maneno haya
Hayo ndo maneno!!mpaka sasa,hakuna mbadala wa ccm,vyama hivi ni vyama vya ruzuku tu
We kweli muathirika hivi unafikiri mbowe ni sawa na papuchi mwenzio zito? Nani anamda wa kujitu hekaya kama hizi?yaani zitto anatabia kama za watoto ukimuudhi anaaza kudai alicho kupa, huo ni utoto na umama wa huyo mwenzenu,,na ccm mlivo majinga ya kufikiri utakuta mnaona kama hii bonge ya hoja!wakati wenzenu wanajua ni mafa maji tu huyo anatapatapa
Kwa tuhuma hizi nzito alizozitoa mh. Zitto Kabwe dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Freeman Eikaeli Mbowe, Chadema inabidi ijibu coz its very serious na wakikaa kimya ina maana yanayosemwa na mh. Zitto dhidi ya mh. Mbowe ni ya kweli...basi Chadema haitakuwa na locus standi ya kunyooshea watu kwa tuhuma za ufisadi na michezo michafu...tunamtaka mh. Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.
Taratibu na mdomo wako huo wa kunywea gongo mama mdogo . Mmeshikwa pabaya mlidhani zitto ni akili ndogo ? Chadema ndio inapasuka hivyo........
hvi waweza amini tuhuma bila ushahdi?