John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,028
Very sad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kuna ushahidi basi angeshtakiwa. hawa waliofukuzwa kuna ushahidi kwamba wamenda kinyume na katiba ya chama
Naona pamoja na wajumbe kufungwa macho na fisadi Mbowe, sasa nadhani watafunguka na kumjadili kwa pesa ambazo amekuwa akipokea toka CCM, pia Dr. Slaa ambaye hata kadi ya CCM hajarudisha. Tulishasema hawa ndo wasaliti wana wasingizia wengine, mengi tu yatakuja hapa. Hivi inakuwaje unamwomba Baba yako akupe hela umpelekee Mama yako halafu unamwambia Mama nakukopesha pesa hii na kweli Mama yako bila kujua anatafuta huku na kule anakulipa. Jamani Mbowe uwe na hofu ya Mungu, utakufa vibaya sana. Pesa za Mkono kapewa yeye anakuja kuwakopesha CHADEMA, kwani alipewa zake binafsi au alipewa za Chama?hivi hiki chama kina akaunti kweli au inatumika ya Mbowe?
Jana nilikuwa naongea na kijana wangu mmoja ambaye alikuwa anasoma na Zitto UDSM na amenifumbua macho kuhusu huyu kijana mpaka nimeshangaa. Kumbe hizi tabia zake za ujanja ujanja wa kugeuza maneno hajaanza leo, anazo toka chuoni. Tena habebeki maana yeyote atakaye mpa promo anahakikisha baadae anamchafua ili asiweze ku compete naye.
My take; may be family aliyokulia Zito inaweza kuwa sababu ya tabia chafu za Kijana huyu,refers to statements za hovyo hovyo za mama.
Muulize na mabilioni ya uswis vipi?
Kama alikua na uwezo wa kujibu ya nn amekimbilia mahakamani? Umaarufu wake umeishia hapa, unapofikia hatua ya kuonwa kama choo kwa wananchi waliokuona shujaa ni jambo la kuhurumiwa sana. Tunavuna tupandacho, lets wait and see
thibitisheni malalamiko yenu..toeni ushahdi na takwimu ziwe wazi zaidi ya hapo mtakuwa mnaexpress feelings zenu ambazo hatuzipi support coz no evidence...kwani lini mmewah kumjadili kinana kwa tuhma za ujangili? au zungu kwa tuhma za madawa ya kulevya? au mulongo kwakufoji vyeti? tafakari...hatakama unamaslah na ccm leta hoja za kiueledi sio hizi zinazowafanya wanaccm wenzenu wawashangae..
Ushahidi upi tena unaoutaka
thibitisheni malalamiko yenu..toeni ushahdi na takwimu ziwe wazi zaidi ya hapo mtakuwa mnaexpress feelings zenu ambazo hatuzipi support coz no evidence...kwani lini mmewah kumjadili kinana kwa tuhma za ujangili? au zungu kwa tuhma za madawa ya kulevya? au mulongo kwakufoji vyeti? tafakari...hatakama unamaslah na ccm leta hoja za kiueledi sio hizi zinazowafanya wanaccm wenzenu wawashangae..
Muelekeze huyo asifuate upepo kwani ZZK fedha wanazosema amechukua CCM wa na ushahidi?