siasa ni biashara nzuri.....ila kuna faida na hasara kama zilivyo biashara nyingine......
 
Kwa hiyo mtu akikutuhumu tu bila kutoa ushahidi basi mtu ajiuzuru tu,basi hii itakuwa nchi ya wajinga!
 
Nyie mnaonekana mnapambania sana buku saba ila mtaambulia buku 300 mmejitahd ila kmekula kwen mmechelewa zto hana lake ktk siasa amuangalie mrema bye bye zzk
 
Kwa anaemjua hili lijamaa litoto la Mzee Malecela hana haja ya kujadili alichokiweka humu ndani.

Pole sana mzee wetu Malecela ila kitanda hakizai harama, laiti ungelijua toto litakalo zaliwa ungeacha usiku ule upite japo kwa Masturbation tu.
 
mkuu jamii inataka nini na wewe unasema nini hapa, ni sahihi kutumia fedha chafu katika jambo halali??? mpaka hapo credibility ya mwenyekiti ipo hoi
 

amejibu Kaka tembelea acc. yake ya FB
 
Mbowe anapewa pesa na CCM alafu anasema sio tatizo,huku upande wa pili wanamtukana Zitto na kusema anatumika na CCM bila ushahidi

Alafu badala ya kupeleka kwenye chama kama "msaada" toka CCM,yeye anaenda kukopesha Chama!!huyu hafai kuwa kiongozi

Sitashangaa kusikia hizo pesa ndo zilizotumika kufanya starehe Dubai na Joyce Mukya!
 
kwa maelezo ya mbowe hapo mwiso katika gazeti la raia mwema ina maana kakubali ni mpiga dili..

Unauliza kanzu kwa shekhe?Mbowe ni mfanyabiashara na wakati wote yeye anawaza kuvuna pesa tu..

Umesahau ile kuiuzia Chadema fuso tatu kwa Million 540?chezea Mbowe wewe!!
 
Nyambafu..... Kojoa ukalale ukue kwanza.
 
amen shoga angu, kabla hata maombi hayajaanza, naomba kusema tena amennnnnnnnn!
 
Kamanda! Kama suala la kutokuwa na mke mbona Chadema viongozi wake hawajawahi kufunga ndoa? labda tufahamishe lini John Mnyika alifunga ndoa? Lini Dr.Slaa alifunga ndoa? Acheni siasa za makengeza.

Kwa mujibu wa dini ya kiislamu Zitto ni mzinzi na amezaa mtoto kwa uzinzi na anaendelea kuzini kuoa hataki. Huyu siyo bure iko tatizo.
 
Last edited by a moderator:
kwa maelezo ya mbowe hapo mwiso katika gazeti la raia mwema ina maana kakubali ni mpiga dili..

Unauliza kanzu kwa shekhe?Mbowe ni mfanyabiashara na wakati wewe yeye anawaza kuvuna pesa tu..

Umesahau ile ya kuiuzia Chadema fuso tatu kwa Million 540?chezea Mbowe wewe!!
 
wasomi wetu hao....aiseeee nchi hiii huwezi amini ni kama mtu asiesoma mhhhhhh wacha wazungu wachukuwe dhahabu zetu tutazifuata baadae kama lile limjusi
 
Kumbukeni huo ni mwanzo na yanamhusu mwenyekiti pekee na ni nusu ya theruthi ya dhambi zake. Bado hatujamzungumza aliemfundisha Zitto USHIRIKINA aka Uchawi ambaye ni Dr.W.Slaa na vifaranga wengine.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…