Eti sababu ya kupewa pesa na Kikwete na CCM ni kwaajili ya kwenda kukikopesha chama
Shame on him
Sabodo ni mwanaCCM mzuri sana na ametoa pesa mara nyingi tena hadharani kuunga mkono harakati za CHADEMA.
Kwangu mimi hili ni jambo la kawaida sana.
Kwa hiyo zzk amekiri kiaina kula za Mkono na ku-justify kwa upigaji wa Mbowe! Zzk sasa anaaminika kwa kauli zake? Naona hata kama asemayo ni kweli 'timing' inamwangusha!Naona sasa ni hadithi za "ukimwaga ugali,mi namwaga mboga"! Niliwahi sema na leo narudia "ukifuatilia sana siasa na wanasiasa wa Tanzania,unaweza kuwa mwehu" Anyway,tutafuka tu japo kwa ghrama kubwa za mali,fedha na maisha ya watu.
Mbona kama Mashairi hivi
wao wanapokea halafu wanakwambia wewe usipokee , kura uwape wao, umeona wapi kitu kama hicho??
Sabodo anatoa hela Mbowe anaenda kuzikopesha kwa chama kwa jina lake
Katika mahojiano aliyoyafanya M/Kiti wa chadema na gazeti la Raia
Tanzania ametoa hiyo kauli. Na hii ni baada ya Zitto kumtuhumu ya
kuwa alipewa Fedha na waheshimiwa/vigogo wa CCM.
Kumbe CCM imewasaidia wengi sana Tanzania....................
Huyu ni M/Kiti wao bado hawa wa ngazi za chini. Hivi ni nani aliye
msafi chadema ambaye anaweza kusimama mbele ya Watanzania.???
haha mkuu saccos chali hakuna kitu pale
Majibu ya MboweKatika mahojiano aliyoyafanya M/Kiti wa chadema na gazeti la Raia
Tanzania ametoa hiyo kauli. Na hii ni baada ya Zitto kumtuhumu ya
kuwa alipewa Fedha na waheshimiwa/vigogo wa CCM.
Kumbe CCM imewasaidia wengi sana Tanzania....................
Huyu ni M/Kiti wao bado hawa wa ngazi za chini. Hivi ni nani aliye
msafi chadema ambaye anaweza kusimama mbele ya Watanzania.???
Baba wa taifa mwalimu Nyerere katika moja ya hutuba zake alitolea mfano waziri mdogo kule Uingereza alivyokosa uwaziri baada ya kubainika ana mahusiano nje ya ndoa yake. mwalimu alienda mbali na kueleza ukiwa kiongozi lazima ujiheshimu na hautakiwi kufanya mambo ya hovyo hovyo,kupiga kila dada unayekutana naye,hivyo katika uongozi hakuna kinachoitwa maisha binafsi,kinachotakiwa ni uadilifu ili uwe mfano kwa kundi kubwa unaloliongoza.Katika hili si vyema kuacha kujadili mabaya anayofanya kiongozi kwa kuwa ni maisha binafsi tutakuwa wrong.
Katika mahojiano aliyoyafanya M/Kiti wa chadema na gazeti la Raia
Tanzania ametoa hiyo kauli. Na hii ni baada ya Zitto kumtuhumu ya
kuwa alipewa Fedha na waheshimiwa/vigogo wa CCM.
Kumbe CCM imewasaidia wengi sana Tanzania....................
Huyu ni M/Kiti wao bado hawa wa ngazi za chini. Hivi ni nani aliye
msafi chadema ambaye anaweza kusimama mbele ya Watanzania.???
Siasa za bongo huwa zinanichosha sana hapa ndo najua kila mtu kafuata maslah binafsi yeye na maisha na famila yake lkn si kwa mtanzania anayeteseka GGM.Mtanzania mwenzangu Zitto Kabwe, umekuwa very reactive. Be cautious and control your emotions. Unaanza kuexpose your weakest side.
Unarejea matukio ya 2005 leo 2014, ulikuwa wapi? Unatuaminisha umenyamazia mangapi ktk taifa hili? On every action theres equal and opposite reaction. DID U?
WAMEMWAGA UGALI? Unamwaga mboga wakati wenzio weshashiba??!!
U must be a jobless