hapo ndo umesema nini sasa???? Nenda hapo lumumba wakakupatie unga wa lishe leo kwa kuharibu kiswahili ( li = ri???) naona umevurugwa pia
 

dah, wewe b w e g e unawadhalilisha walimu
 

Umekose akuna mfuasi wa Mbowe wala wa zitto apendwi mtu kinapendwa chama.
 
Kosa moja halitatuliwi kwa kosa lingine (two wrongs do not make right)
 
mwehu tu ndiye anayeweza kusema mali ya mtu ni mali ya chama.

Zitto "Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?"

Ata kusoma hujui?usituaibishe watu wa Tenende...

Anachosema Zitto hapo ni kuwa chama cha Conservative cha Uingereza kilitoa pesa kwa Chadema kuanzisha gazeti la chama lakini Mwenyekiti Mbowe badala ya kuanzisha gazeti la chama pesa hizo akazitumia kuanzisha gazeti la Tanzania Daima na kulifanya la kwake binafsi na sio la chama.Huu ni ufisadi wa kiwango cha juu.
 
Kumbe CCM imewasaidia wengi sana Tanzania....................
Huyu ni M/Kiti wao bado hawa wa ngazi za chini. Hivi ni nani aliye
msafi chadema ambaye anaweza kusimama mbele ya Watanzania.???

Siku zote unatakiwa kua makini na mawazo yako,kwa sababu mawazo huzaa maneno, Maneno hayo huzaa vitendo na vitendo utakavyo fanya vitatufanya sisi kukutafasiri pengine katika mtazamo hasi au chanya.

Yani wewe umeacha maneno yote yaliyo andikwa kuhusiana na hizo kashifa ukaona hayo ndo yamekufurahisha yeye hapo katoa hiyo kauli kama swali na mfano.
 
Wassira aliposema CDM itakufa mwaka huu, sasa namwelewa kumbe alikuwa na mtu wao chadema
 
Zitto is being petty haya ya kuheshimu mke wapi wapi. Private issue siyo jambo la kuanika kwenye jukwaa.
 
Mkuu;


  1. Kwanza jibu langu kwako kwa swali lako ni kuwa; HAKUNA ALIYE MSAFI (MTAKATIFU) CHADEMA KAMA AMBAVYO HAKUNA WA NAMNA HIYO KATIKA VYAMA VINGINE VINGINE VYOTE VYA SIASA HAPA KWETU TANZANIA KWA KUVITAJA CCM,CUF,NCCR,TLP na vingine NA KAMA AMBAVYO HAKUNA ALIYE MSAFI NA MATAKATIFU HAPA DUNIANI NIKIWEMO MIMI NA WEWE!!. Wote tunategemea Neema za mwenyezi Mungu tu!!.
  2. Mimi nafikiri ZITO KABWE amesahau kuwa ni mwanasiasa na hapo alipo anafanya siasa tu kama ambavyo mwenyekiti wake anafanya. Na amesahau kuwa siasa ni MCHEZO WA UJANJA na MCHAFU PIA na wakati huohuo kusahau kabisa kuwa siasa ni mchezo wa kutafuta upenyo unaoweza kukutoa kwa kiingereza wanasema ".......... is a game of chance". Na kwa sababu hiyo ni lazima unapocheza mchezo huu kuzingatia "upenyo wa kutokea ili upige goli" na muhimu kuliko yote "position" na "timing" yako!!
  3. Kwa maoni yangu sasa Zitto ni dhahiri kathibitika kuwa anapambana na mwenyekiti wake Bwana Freeman Mbowe. Na kwa kuzingatia hayo hapo juu ni dhahiri shahiri kwamba Zitto ameshapigwa bao hata kama hayo anayoyasema sasa ataendelea kuyasema kwa kutumia vipaza sauti vyote vya masafa marefu kwa sababu haitamsaidia kuupata ushindi alioutarajia simply because of two reasons;....WRONG POSITION and POOR/WRONG TIMING hata kama ana sababu na hoja dhidi ya anayemwona adui yake. Just look, anapambana na wenzake akiwa mahakamani badala ya kutumia vikao halali vya chama chake na wakati huo huo kumbe maswala kama hayo aliyoyapeleka mahakamani katiba/kanuni za uendeshaji wa chama chao hakiruhusu!......Poor strategy,Poor Zito!!
  4. Atapambanaje na huyu jamaa kwa sababu mwenzie ndiye Mwenyekiti wa Chama anachokipigania na asichotakiwa kwacho na ni kiongozi wa vikao vyote vikubwa muhimu ambavyo anavisimamia kuamua hatima yake, mtu ambaye anatumia resources za taasisi huku yeye akiwa ameshatupwa nje?....Ni wazi kwa mkakati wake huu ZZK hafiki mbali ataishiwa tu na wale wanaomsaidia watachoka, ila atasababisha damage kidogo kwa chama na hili nadhani ndicho ambacho chama kinajaribu kuzuia!
  5. Mwenzake Mbowe (Mwenyekiti) na Dr Slaa (Katibu Mkuu) wamekiongoza chama kwa takribani miaka kumi sasa, kimefanikiwa na kimekubalika kwa kiwango cha kutisha nchi nzima na kinatishia uwepo wa chama tawala CCM ktk kushika hatamu za uongozi wa nchi hii tangu uhuru....ana cha kuonesha na wenye akili timamu CHADEMA wanaona mafanikio ya chama hiki ktk kipindi cha uongozi wa hawa jamaa. Nadhani hii ndiyo hofu ya wale wa upande wa pili, kwamba Mbowe na Slaa wakiendelea kukiongoza chama hiki kwa kipindi cha hata miaka mitatu tu mbele ni hatari kwao na ni kifo kwa chama kikongwe CCM. Ktk hili unaweza kuona kuwa hii ndiyo kazi ya Zitto akishirikiana na CCM. Tatizo lake yeye na kundi lake ni kutokuwa smart ktk kutimiza malengo yao...sasa wamegundulika,wamekatwa vichwa......NA HII NDIYO SIASA!!

Mimi nashauri ZITO KABWE awatafute washauri wa Kina Edward Lowassa,Samwel Sitta, Rostam Aziz na Fredrick Sumaye wanasiasa toka CCM ajifunze njia sahihi ya kukabiliana na misukosuko ya anawaita "wahafidhina" ndani ya chama chake, japo kwa hili it's too late for him; ila kwa sasa yeye anayeweza kumsaidia ni Rostam Aziz na Dr Ibrahimu Msabaha aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini kabla ya Nazir Karamagi na William Ngeleja ajifunze kwao kuishi nje ya siasa za ushindani!
 
Kwa mawazo yako unadhani zitto ni mwepesi kiasi hicho bora jipange tena kumchafua.
 
Naona unatafsiri neni kwa neno, jua kwanba hata mshahara analipwa na serikali ya ccm. Lipu la ajabu hapi?

Kiswahili cha kuandika umeshindwa, vip cha kuongea mkuu???

Sijui kizungu itakuwaje....Hebu rudia kusoma ulichoandika teh teh teh...
 

Mmmh maneno hayoo hata kwenye khanga yapoo asa kwanini wasiyatumie hayo makombora ili kesi iishe
 
Mwampamba hata kiswahili cha kijijini kwenu hakijakutoka, 'kura, kujari' ndio nini sasa, tutolee ushamba wako.
Endeleeni kula mkikumbuka kauli ya mwenyekiti wenu kwamba anaekula sharti aliwe, subiri kuliwa Mwampamba
 

Aiseee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…