ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,335
Huko mbali mnombona chadema kinakufa 2015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mbali mnombona chadema kinakufa 2015
Siyo mwepesi kwa ajili ya uchawi na ushirikina anaotambia Eti 'panya hatasalia nyumbani kwao wabaya wake' ngoja tumsikie Dr au Lissu akiumia kwa uchafu anaojivunia huyu kijana!!Kwa mawazo yako unadhani zitto ni mwepesi kiasi hicho bora jipange tena kumchafua.
Kumbe ndio kazi ya CCM kuwapa hela watu ili wapindishe demokrasia, sasa nimetambua maana huwa tunasikia tu kwenye vijiwe vya kahawa.Mimi na Juliana ni wanaccm na tunakura pesa ya ccm ila wenzangu mbowe na zitto ni wanachadema na wanakiri kura pesa ya ccm!!! WanaJf Hivi mimi na Juliana na hawa Mbowe na Zitto nani anasaliti mabadiliko!!!!!Kidumu chama cha mapinduzi chama kinachowalea watanzania wote bila kujari itikadi za vyama vyao.
Mbowe ni kweli ulihongwa?
Kwann mbowe amechakachua kifungu cha ukomo wa uongozi?
majibu ya Mbowe yamemdhalilisha Zitto na Gazeti iliyokurupuka kuandika upumbavu....
Ben saambovu na yericko mko wapi Leo mwenyekiti anapewa vitasa huku