Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Kwa mawazo yako unadhani zitto ni mwepesi kiasi hicho bora jipange tena kumchafua.
Siyo mwepesi kwa ajili ya uchawi na ushirikina anaotambia Eti 'panya hatasalia nyumbani kwao wabaya wake' ngoja tumsikie Dr au Lissu akiumia kwa uchafu anaojivunia huyu kijana!!
 
Ni wakati muafaka kwa wanacdm kujitazama upya, hii vita ni ya mboe na zito sasa hawa wengine wanadandia tuuu.

Kiukweli ninavyoona hapa ni kwamba mbowe ni mafi wa madaraka na ni fisadi na zito huenda alikua tishio kwake na pengine ni kauzibe kiaina fulani katika deals zake, maana wa kabila la mbowe nao kwa deals nawaaminia.

Sasa cdm kama inataka kuleta mabadiliko yenye tija ni wakati muafaka pia mbowe kukaa pembeni, nafasi ya uenyekiti haimfai amekula vya kutosha amefanya biashara nyingi kwa kutumia chama, ametutapeli mno. So zito na mbowe tupisheni tulisongeshe na wewe babu kama unataka kuwa na mbowe nawe tembea, halafu lisu kuwa makini usidandie hofyo utaumbuka maana bado tunakuheshimu.

Mungu ibariki Tanzania
 
Mimi na Juliana ni wanaccm na tunakura pesa ya ccm ila wenzangu mbowe na zitto ni wanachadema na wanakiri kura pesa ya ccm!!! WanaJf Hivi mimi na Juliana na hawa Mbowe na Zitto nani anasaliti mabadiliko!!!!!Kidumu chama cha mapinduzi chama kinachowalea watanzania wote bila kujari itikadi za vyama vyao.
Kumbe ndio kazi ya CCM kuwapa hela watu ili wapindishe demokrasia, sasa nimetambua maana huwa tunasikia tu kwenye vijiwe vya kahawa.
 
majibu ya Mbowe yamemdhalilisha Zitto na Gazeti iliyokurupuka kuandika upumbavu....
 
Mtela huwezi kujenga hoja ikaeleweka mpaka umtaje Juliana?
 
Kwann mbowe amechakachua kifungu cha ukomo wa uongozi?

wewe nani ndani ya cdm...inakuhusu nini msukule wa nape na zzk lazima aende...hata ubinuke tak juu kichwa chini...
 
Hizi tuhuma ni za kweli. kama siyo kweli mbowe atoke hadharani akanushe na aje na ushahidi vinginevyo ajiudhuru na atuachie chama chetu. ukitaka kujua kilichoka ndani ya wanandoa,basi wanandoa hao wspishane kauli utajua kila kitu kilichojificha ndani yao. ni sawa na hizi kauli za ufisadi kwa mbowe, mwenyekiti ameshachafuka akiuzuru. chama kiandae katiba mpya na kifanye uchaguzi wa viongozi wapya. kumbe mbowe naye ni fisadiiii.
 
wafuasi wa chadema wanafurahisha kweli kweli....................tuhuma zozote dhidi ya mbowe watapindisha maneno weeee ili mradi kujitoa tu ufahamu.
kimsingi kosa la zito halina tofauti na kosa la mbowe - ajabu mbowe yeye hataguswa na chama!
wadau wakisema chadema kuna ubaguzi mtajibu ni chuki wakati mazingira ya ubaguzi mmeyaweka wenyewe.
2015 namuona mkoloni mweusi akiendelea kututawala!
 
majibu ya Mbowe yamemdhalilisha Zitto na Gazeti iliyokurupuka kuandika upumbavu....

zzk ni kiumbe cha aina yake duniani sijui alianza kutoka miguu badala ya kichwa.....
 
Duh! kumbe CHADEMA wanafadhiliwa na CCM(KINANA NA MKONO)?!
 
Wassira aliwambia mkabisha kilo wapi,
Mmekufa mioyoni mwa watu.
 
Na tutasikia mengi mno mpaka mwaka 2014,mmhh
 
wewe acha kumtisha zito.ladda atubu mboye na mtei,
 
Back
Top Bottom