hizi siasa za mitandaoni bana.
kule nanjilinji ht hawajui yote haya.

Hahahaa haaaa

back to topic
zz ulikuwa wapi kusema haya?
au ndo mfa maji?
 

Sasa umeanza mchoma Boss wako ZZK aliyekuwa anakutoa na zile Laki moja moja kila mwezi....... Kweli nimeamini Binadamu ni mnafiki hasa mbele ya pesa yupo radhi kuuza utu wake. safari njema mzee. Ila kisiasa tumeshakusahau umebakiwa na sera za maji taka.
 
Hii sinema aliyehiaribu ni Steven Wasira alifanya kosa kubwa sana kutangaza Chadema ingekufa mwaka 2013. CCM mmeincest pesa nyingi sana kwenye mradi na matokeo yamekuwa siyo wa kubeba lawama ni Wasira.
 
Kinacho msumbua zitto niwivu wakike wamali za Mbowe pamoja nakuonga bado hawezi kumfikia kinacho mpoteza zaidi anajua Mbowe kapatia pesa kwenye siasa bila kujua kuna pesa za hasili.

Hivi na wewe hujui kusoma?uwizi ni tabia haijalishi kama mtu ni tajiri au ni maskini,kama ni mwizi ni mwizi tu, na ndivyo Mbowe anavyoiibia Chadema...


Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa.

. Lissu anajua
kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?

Kwa wasiojua:Gazeti la Tanzania Daima ni gazeti binafsi la Mbowe ambalo Mbowe kalianzisha kwa pesa zilizotolewa na Wafadhiri kwa Chadema,hiki ni kiwango cha juu cha ufisadi.
 
Hahaaaaaa! Kwani lema na lisu ndio uliwaambia hawatishwiii!! Bhaahaaaaaaaaaa! Jibu hoja hapa kima wewe sio kuish kwa kutegemea mifano ya lema na lisu, wewe si ----------- kumtetea huyo hasid mwenzio jibu hoja kibaka wewe si mbwembwe hapa,
Watoto wa nje ya ndoa mnakazi sijui kama unazo zote kichwani.
 
Lip bora kupewa pesa kwa ajili ya

1.kukimaliza chama?

2.kukijenga chama??

Zito kweli n mzigo
 
Mambo ya kuchafuana hayana msingi. Wewe Zitto unatakiwa ujibu hoja. Wewe unajua fika kuwa mwisho wako umefika. Utakosa ubunge, Uenyekiti wa PAC na itabidi uanze moja na itakuchukua miaka mingi kufikia mahali ulipo sasa.
 
ukitaka kuua nyani.............
zitto ni mfa maji........

wenzako wanachukua pesa kujenga chama wewe unachukua kukiua chama.

utahitaji miujiza sisi kukuelewa. na siku zote ulikuwa wapi kuyaeleza hayo mpaka umeumbuliwa wewe kwanza?!!
halafu kigezo cha mkono kuwa ni mzee wako na ulishawahi kufanya mazoezi ya mafunzo ya masomo yako ktk ofisi yake ndo vigezo na sababu zilizokufanya uweke hujuma ikiwa ni pamoja na kuhongwa magari mawili ktk kipindi cha uchaguzi mkuu 2010?!!

kweli wewe ni janga.
tena wewe ni shetani ktk chama .

cdm mfutilieni mbali huyo nyoka mkubwa na msimtizame machoni.
 
Mwenyekiti kanitia aibu yaani sijui nitaficha wapi uso wangu kwa jinsi nilivyokuwa najidai na CHADEMA yangu!

Nimefadhaika sana!

Chadema haina mjinga kama wewe acha kujivalisha ngozi ya kondoo wewe.
 
hizi siasa za mitandaoni bana.
kule nanjilinji ht hawajui yote haya.

Hahahaa haaaa

back to topic
zz ulikuwa wapi kusema haya?
au ndo mfa maji?
Kwani lisu alikuwa wapi kusema haya dogo kawashika pabaya lazima mtambike kama kawaida yenu.
 
Siku zote kuna watu wengine wana muona Sumaye ni mtu mwadilifu! Ni fisadi tu nae
 
Kinacho msumbua zitto niwivu wakike wamali za Mbowe pamoja nakuonga bado hawezi kumfikia kinacho mpoteza zaidi anajua Mbowe kapatia pesa kwenye siasa bila kujua kuna pesa za hasili.

basi kazi anayo
 
Hahaaaaaa! Kwani lema na lisu ndio uliwaambia hawatishwiii!! Bhaahaaaaaaaaaa! Jibu hoja hapa kima wewe sio kuish kwa kutegemea mifano ya lema na lisu, wewe si ----------- kumtetea huyo hasid mwenzio jibu hoja kibaka wewe si mbwembwe hapa,
Nilidhani wewe ni binadamu kumbe ni mtu tu eti chausiku hasara iliyoje kwa ndugu na rafiki zako waliyoipata kwa kuwa wewe chausiku.
 
Kwa bhata mbaya,,,ni kama amechelewa,lakin najiuliza haya mambo yana tija kwetu???wananch wa kawaida kabisa
 
Mipasho waachieni Znz modern taarabu. Tamaa zenu za mali na uongozi hazitusaidii wananchi.
Watanzania tunaugulia gharama kubwa za maisha kama mfumuko wa bei, bidhaa bandia, gharama kubwa za umeme ambao nao tunaupata kwa mgao, kodi kubwa ya mapato, ukosefu wa miundombinu mashuleni na hospitalini, hali duni ya maisha. Hayo na mengineyo yanayofanana na hayo ndicho kilio chetu.
Hiyo mipasho yenu ni kama mwenye shibe amburudishe mwenye njaa tena kwa kumchezea ngoma.
 
From Albert Msando Facebook

In 2004 I was doing my last year at the university of Dar es Salaam. It was during my time there when I created the strongest bonds of friendship and loyalty. Friendships that have made me and seen me to where I am today.

It all started like this. I found myself involved in University politics very early on. And I met Zitto Zuberi Kabwe. My friend and brother. He single handedly inspired me among others. We fought battles together. We schemed boycotts. We plastered walls with announcements urging fellows to boycott classes for more than one reason.

It is through Zitto that I joined Chadema. And he right away introduced me to Freeman Mbowe. The latter took me (and others) on. He had a vision. That it is the youth who will bring change. He encouraged us to take part in politics. I remember the meetings we had and the encouragement he was giving us. When I was rusticated for nine months for taking part in a boycott I went to work at the headquarters of Chadema and was appointed a Director of Constitution and Legal Affairs....I wasn't even 25 years old! (Later my rustication was uplifted and went back to finish my degree).

Then Freeman Mbowe (and Grace Kiwelu) introduced me to Dudley Mawalla. An architect. He became more of a father and friend. He allowed me to see a different world. The two (Freeman and Dudley) taught me special lessons by just being around them. I could see in them a friendship which has lasted decades. (Freeman named his firstborn Dudley).

Then in mid 2004 I assisted Dudley Mawalla in a legal problem that he had. He allowed me use his office at YMCA building in Dar. I decided to do the work with my best friend Lemmy Bartholomew. We wrote letters and acted 'lawyers' for Dudley Mawalla (we still hadn't finished university)

I had met Lemmy in 1997 when I joined Ilboru Secondary School. We have remained on each others side ever since.

While doing Dudley's work it happened that he had informed Nyaga Mawalla about it. He also informed him that we are helping him with preparing a defence. Nyaga decided that he wants to meet me.

An appointment was casually made and Nyaga came to Dar. We met at YMCA then went for lunch somewhere in town near the former Ilala RMs Court. We spoke about me joining him. I remember that I did refuse. I was still bitter for not been able to intern Mkono Advocates and my decision to intern in Court was out of disappointment. So I hated law firms.

But Nyaga insisted and we agreed to talk more some other time. One thing struck me during that meeting. He was talking to me like an equal and he was offering to work with me not for him.

At the end I agreed and made my trip to Arusha. But the understanding was I visit his law firm as a friend and talk a bit more. I stayed with him for three days.

Within those three days I got a brother and friend. I made up my mind.

I went back to Dar and parked. I got in my old beaten up BMW which I had bought for 1million and started my journey to Arusha.

Nyaga received me as a brother and friend. I had never worked in a law firm and was very new as a lawyer! But he made me an associate the very first day I arrived.

He taught me. He inspired me. He moulded me. He made me believe in myself. He opened the potential in me. He gave me a freedom to make mistakes and learn. He was there as a brother and friend.

We worked so hard to see Mawalla Advocates grow. We steadily succeeded. And all this time our bond grew stronger.

Me and Nyaga never signed anything as a contract. Never. He never asked for my CV or results!! He has never seen my University Certificate.

Along the way I didn't seem happy without Lemmy. We hatched a plan to lure Lemmy from the University of Dar where he was teaching. We worked hard and at the end Lemmy joined us. A team was formed. Friendship was sealed.

I have never experienced so much love and respect in my life as I did from Nyaga. He assisted me to be who I am as a lawyer and person. With all my weaknesses he supported me without any reservations. Bad things were said about us but we protected each other!

Now he has passed on. his lessons remain. He has taught me the deeper meaning of friendship and loyalty. Uberrimae Fidei...outmost good faith....His favorite saying!

When I look back I see a pattern. I see the role friendship has played a part in my life.

The people who have entered into my life and added value unto it are many. And most of them are reading this now. Everyone has played a part. I am grateful and feel blessed.

Nyaga's life was a blessing. May our good Lord grant him eternal peace. May he forgive him his sins and give him a seat in his Kingdom.

I will always strive to keep his dreams alive. His legacy must survive his passing on.

I will forever love you brother Nyaga. Wherever you are I will always remember you. The tears I am shading are a symbol of fluidity of life but the resolution in me solidifies a friendship that will never be forgotten. Rest in peace my brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…