Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
nani atambike?
cpo huko nilishakombolewa cfanyi matambiko!

hakuna aliyeshikwa pabaya zaidi yake yy aliyekimbilia mahakamani.
kifupi its too leiiiiiit sio mwanachama tena wa cdm icpokuwa kwa mahakama tuuu

Uwiiiii kadi yake vp mshairudisha ufipa? Nijuze mwana-ukoo.
 
Mkuu ata wachangiaji humu nashindwa kuwaelewa! Kwanini wasihoji au kuchangia juu kifo ch Chacha Wangwe Km ZZK alivyozungumza kupata uhalali Wa tuhuma zote za ZZK dhidi ya Mbowe na Cdm?

Maana kwa kauli ya ZZK juu ya kifo cha Wangwe tumepata pa kuanzia!
Hakuna kitu hapo wewe usiwe kibajaji mkuu,, inshu ya wangwe haiwezi kufanana na ya ulimboka na mvungi mkuu nafikiri yuanze na hizo kwanza,hayo mengine ni kutapatapa tu wewe na zitto wako wote hamna hoja mnhaha tu kutafuta huruma ya wanachama makini wa chadema .
 
MKuu haya ni ya kweli kabisa yametokea. inabidi mwenyekiti nae ajiuzuru nafasi yake. niaamini kuna wabunge wengine ndani ya chama walikiwa wanajua lakini wanaogopa kufukuzwa, bt dogo amemwaga unga na mboga naamini wengine watafuata nyayo za zito hawataogopa kufukuzwa wameshatiwa ujasili wa kusema hadharani maovu ya chama, nafikiri huo ndo ukomavu wa chama.

lete ushahidi , unadhani kutoka mapovu kutakusaidia chochote ? IT IS OVER !
 
AMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............

Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!

vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......

Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!

Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........

Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......

SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..


Mnaweseseka! Poleni sana Chadema. Tunasubiri mvuane chupi wote, tuwaone utupu wenu
 

[h=5]hivi tatizo la zitto ni nini hasa hadi vijana leo mmekua mkimchukia kusema yale ambayo sisi tulikuwa hatuyajui au kwa kuwa anataka kuhamisha ufalme kanda ya kasikazini na kuupeleka kanda ya magharibi au kawagusa miungu watu kwenye liziki zao

siku zote unaambia akili ya kuambiwa ongezea na yako ndio utoe maamuzi kama kweli zitto anatumiwa na ccm mbona matatizo haya yamekuja baada ya kuhoji matumizi ya hela za ruzuku na michango mbalimbali iliyofanya na chama pamoja na hela za wadhamini

je kama kweli ni msaliti mbona ulipotolewa waraka wa siri juu yake vija wote mliamini ila yeye leo katoa ya siri mnaanza mtukana

hili suala la zitto unatakiwa kama kijana kwanza kukaa chini na kutafakari je chadena ni mkombozi wa kweli wa wanyonge au na cdm kama ccm kila mtu anachukua chake mapema ( chukua donge mapema)

kwa hili imedhihilisha chama cha upinzani tanzania na chenye lengo la kumkomboa mtanzania ni cuf[/h]
 
Zigo analjua hilo kuwa mbio zake kisiasa zmeingia doa,tena doa kubwa

linahtaj sabun tena sio ya kusugua

i hate ths jamaa kwa unafk wake
 
kinachomsumbua zitto sio kingine bali wivu dhidi ya mbowe,zitto anatamani sana kuitwa kamanda wa anga.....ila amesahau hayo yote yametokana na ubunifu wa mbowe....kwa yote niliyosikia kuhusu mbowe kamanda wa anga bado nina imani naye kwakuwa kipindi chote cha uongozi wake chama hakijawahi kushuka😛eace:

Kama chama hakijawahi kushuka tangu mbowe awe mwenyekiti basi itakuwa vizuri kama mtamfanya kuwa mwenyekiti wa maisha au mtengeneze cheo cha kifalme. Badala ya kuitwa mwenyekiti aitwe mfalme...duh! Nyie watu akili zenu zimeganda ile mbaya. RIP MANDELA.
 
Issue ya Zitto itawagarimu sana CDM., nadhan wakikamilisha kumfukuza kabisa kabisa uanachama Chadema ili isimame tena itachukua tena kama miaka 10., Nilichojifunza Tanganyika wanachama wa vyama mbali mbali vya siasa hawana msimamo thabit tofauti na CUF kule visiwani., tatizo kubwa ndugu zetu wa Tanganyika wanapenda sana ukabila., udini., au mtu wa mahali Fulani., nadhan CDM itapasuka sana mwaka huu., Kule Zanzibar Hamad Rashid na yeye alianzisha tifu lake kama hivi Zitto kujidai kutoa siri za chama lakin haikuwa pigo kwa CUF watu walielewa mara 1 na hata hamadi aliporudi jimboni kwake wengi wao ata ndugu zake pia waliendelea kumlaani kwa usaliti., sana sana aliweza kuwachukuwa wanachama wa CUF walio mikoa ya Tanganyika kumuunga mkono yeye hamad Rashid., Nasema hivi kwa sababu CDM base yk kubwa ipo kule Tanganyika. Mziki wa Zitto utawagarimu sana
 
Punguka mihemko.... wamemwaga mboga naye kamwaga ugali.. tatizo liko wapi? Pipooooooz!!! GONGO FC UFIPA.

arola;
sijui kwa nini huwa hamjifichi. Yaani Maccm hayana uwezo wa kujificha kabisa. We huyu Mhaini anakuja na zake za kuleta hapa ati Mh. Mbowe kapewa fedha za kampeini, nilidhani atasema alizipewa ili ampinge Dr. Slaa kumbe anasema akazitumia kumpigia kampeini.
ZZK ameambiwa alipewa fedha ili azuie mgombea wa CDM asigombee. Unalisikia hilo weye nanihino? ZZK katuhumiwa makosa ya uhaini. Ingekuwa enzi za Mwl huyu tungempoteza kama Kambona lakini basi tu yaishe.
Mh. Mbowe, Mh. Dr Slaa, msiogope angalieni mbele. Angalieni uchaguzi ujao. This February, tunataka tushinde kwa kishindo kweli kweli. Mambo ya Zitto tukienda nayo ni kama kumpandisha chart tu. Huyo ni inzi tu kaanguka kwenye supu ya moto. Hatuimwagi tunamtoa na kutupa kelee
 
Huu ndo ukweli,kwanza katika hali ya kawaida utoe Rushwa halafu unawezaje kusema hadharani?
TL mbowe kakupoteza na hiwezi siasa
ZZK siku akianza mipasho mtakimbiana CDM kwa sababu anazijua issue zenu kuanzia A to Z
Hamjachoka tu?
 
Haha haha technically na yeye amechukua magari mawili haha big show ccm ni whatsup sana...huenda dogo naye kataka uenyekiti apige haha uzalendo ma s a bu ri yao!

Nakuona wajichekesha
easygoing_3.png
 
Pole sana Mheshimiwa Mbowe, kumbuka USAFI ni hazina kuu ya mwanasiasa
 
Nilidhani wewe ni binadamu kumbe ni mtu tu eti chausiku hasara iliyoje kwa ndugu na rafiki zako waliyoipata kwa kuwa wewe chausiku.

Jibu hoja hayo unayo yaingiza huku hujaulizwa ,,au ndio kale kaugonjwa ka zitto ka kuacha kujibu hoja na kuanza kutunga tuhuma za magumashi?jibu hoja habari za jina langu azishia mada nyingine ,,ila hapa unatakiwa kujibu ulicho ilizwa tuuu basi.
 
Zito amekubali kuwa alihongwa magari na Mkono, sasa anatafuta wengine aliohongwa nao! Ajabu hana mshauri amekwisha amejimaliza
 
Uwe fair ndugu, zitto hajakosea kujibu maana kama kuanzisha mambo haya wameanza akina lisu ya kusema eti kapewa magari mawili, ivyo alichofanya zitto ni safe defense maana nae amedhihirisha anajua mengi ila kwa ukomavu wake wa kisiasa alikaaa kimya ampaka walipomchokoza ndipo kawatoa kamasi kwa kumwaga makubwa, tena inabidi aendelee kuleta zaidi maana inawezekana yako mengi mabaya kabisa na ya kushtua
 
Huyu Nimrod Mkono alikuwemo katika list ya mafisadi iliyowekwa hadharani na Dr Slaa pale mwembechai. Hivi huyu Mkono kama angekuwa ana ushahidi wa kuonyesha undumilakuwili dhidi ya Dr Slaa na Mbowe kweli angeshindwa kufanya hivyo miaka yote hii!? Kwanini hiki Kirus kama kulijua uchafu huu miaka yote hii kikae kimya hadi kilivyoadhirika ndio kianze kubwabwaja!? Mkono ni lawyer aliyebobea kama ana ushahidi wa kina kuthibitisha maneno ya mhaini kuhusu hizo milioni 40, milioni 200 za kutoka kwa Mkono na milioni 100 za kutoka kwa Rostam basi auweke hadharani.

Mkuu kupenda ni blindness,lissu aliposema kahongwa magari mawili na mkono mbna tulishangilia?au ushahidi ulikuwepo?
 
Kwa tuhuma hizi nzito alizozitoa mh. Zitto Kabwe dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Freeman Eikaeli Mbowe, Chadema inabidi ijibu coz its very serious na wakikaa kimya ina maana yanayosemwa na mh. Zitto dhidi ya mh. Mbowe ni ya kweli...basi Chadema haitakuwa na locus standi ya kunyooshea watu kwa tuhuma za ufisadi na michezo michafu...tunamtaka mh. Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.

Hata kama tuhuma hizi ni za kweli, issue ni nani kazitoa kwa wakati gani. Sasa hivi kila atakalo sema Zitto kuhusu Chadema na Viongozi wake lazima tuone ni upuuzi tu. Its too little too late. Alikuwa wapi siku zote kama alikuwa anazijua hizi tuhuma?
 
Back
Top Bottom