Sirm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 560
- 370
Akisema Chacha kafa! Anamaanisha Chacha gani aliekufa?
Chacha mbona wapo wengi au wewe unamjua mmoja tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisema Chacha kafa! Anamaanisha Chacha gani aliekufa?
Mchuzi wa mbwa unanywewa ukiwa ungali moto, alikuwa wapi siku zote, ni sawa unavamiwa leo na majambazi au vibaka unapiga kimya mpaka unapata fununu ya mwizi wako ndio unakwenda kuripoti
Hivi unadhani yanayosemwa sasa hayatakuwa na madhara kwa chadema?
kama wewe unaielewa propaganda basi uelewe kuwa haya yanayosemwa sasa ndio yatatumika 2015 kama njia ya kushinda uchaguzi mkuu,unaweza kuyachukulia kimzaha mzaha lakini subiri utaona madhara yake pale bwana mwiguru atakapoanza kupita kila kona na kuanza kuwaaminisha wananchi.
sio kila jambo mnalichukulia juu,labda tu mkubali kushindwa na kuwa tayari kushindana kwa ajili ya ruzuku na si kuingia ikulu.
nisingependa kuyaona haya yakisemwa kwani ni mtaji wa kisasa kwa ccm.
AMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............
Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!
vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......
Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!
Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........
Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......
SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..
hata kama tuhuma hizi ni za kweli, issue ni nani kazitoa kwa wakati gani. Sasa hivi kila atakalo sema zitto kuhusu chadema na viongozi wake lazima tuone ni upuuzi tu. Its too little too late. Alikuwa wapi siku zote kama alikuwa anazijua hizi tuhuma?
Kifaranga Lissu mama yake ni nani?
Acha bangi wewe!... Tenende hakuna wehu wewee!!!!!......Ni mtaji kiasi gani unaohitajika kuanzisha gazeti? Mbona mbona mtu mzima unaendesha na akili za kuazimwa?... Gazeti? ambalo hata wewe mjinga mjinga unaweza kusajili gazeti na kuliweka mtaani?!!!Zitto "Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?"
Ata kusoma hujui?usituaibishe watu wa Tenende...
Anachosema Zitto hapo ni kuwa chama cha Conservative cha Uingereza kilitoa pesa kwa Chadema kuanzisha gazeti la chama lakini Mwenyekiti Mbowe badala ya kuanzisha gazeti la chama pesa hizo akazitumia kuanzisha gazeti la Tanzania Daima na kulifanya la kwake binafsi na sio la chama.Huu ni ufisadi wa kiwango cha juu.
Ben saanane
shardcole
Molemo
Yericko Nyerere
et al
mko wapi, njooni mnisaidie jamani
ila huwa nawaambia, usiweke moyo wako kwa wanasiasa
they must disappoint you
Na mbowe aliuza ticket ya uraisi kwa JK-mwenyewe amekiri kupokea fedha
Umeolewa?!!!Ben saanane
shardcole
Molemo
Yericko Nyerere
et al
mko wapi, njooni mnisaidie jamani
ila huwa nawaambia, usiweke moyo wako kwa wanasiasa
they must disappoint you
Mkuu....MTU intellectual kama wewe cdm huwezi dumu,ulichokisema 100% kiko sawa kabisa
Hakuna rangi hatutoiona.
Kumbe kweli bora thithiemu wana adabu na wakubwa wao.
Sikurupuki kama wewe unae suburi vipande vya fedha ili uaminishe watu uongo ilimradi umepata chochote, tumia akili yako basi tuhuma zinajibiwa sio kutafutiwa tuhuma za uongo ili kuficha tuhuma zanazo takiwa kujibiwa huo ni uchanga sana kwenye siasa huyo alitakiwa awe Monitress kiluvya huko chadema walikosea sana kumpa cheo huyo mbwiga mwenzio.
Chadema haina mjinga kama wewe acha kujivalisha ngozi ya kondoo wewe.
Chacha mbona wapo wengi au wewe unamjua mmoja tu?