Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Mchuzi wa mbwa unanywewa ukiwa ungali moto, alikuwa wapi siku zote, ni sawa unavamiwa leo na majambazi au vibaka unapiga kimya mpaka unapata fununu ya mwizi wako ndio unakwenda kuripoti

Kaka siri ya ndoa siku zote inatoka nje pale ndoa inapoyumba hivyo si kitu cha ajabu siri za viongozi wa Chadema kutoka nje sasa maana ndoa ya Zitto na Chadema iko katika hati hati.

Hapa swala la alikuwa wapi siku zote halina maana yoyote tunachotakiwa kujua kama wanayosema ni kweli au si kweli. Tunaojua tumeshajua kuwa wote ni wakweli. Kazi kwenu CDM bora yangu niliyeamua kubaki CCM pamoja na kuwa kimevamiwa na mafisadi lakini bado kina misingi imara na nina imani siku moja tutapata kiongozi wa kufukuza mafisadi wote.
 
Hivi unadhani yanayosemwa sasa hayatakuwa na madhara kwa chadema?
kama wewe unaielewa propaganda basi uelewe kuwa haya yanayosemwa sasa ndio yatatumika 2015 kama njia ya kushinda uchaguzi mkuu,unaweza kuyachukulia kimzaha mzaha lakini subiri utaona madhara yake pale bwana mwiguru atakapoanza kupita kila kona na kuanza kuwaaminisha wananchi.
sio kila jambo mnalichukulia juu,labda tu mkubali kushindwa na kuwa tayari kushindana kwa ajili ya ruzuku na si kuingia ikulu.
nisingependa kuyaona haya yakisemwa kwani ni mtaji wa kisasa kwa ccm.

Mkuu....MTU intellectual kama wewe cdm huwezi dumu,ulichokisema 100% kiko sawa kabisa
 
ole unakubaliana na haya ya mbowe? je unakubali mbowe kupewa ml 20 na mkono kwa ajili ya kampeni tarime halafu baadaye mbowe anakigeuka chama kuwa amekikopesha na akalipwa? hebu toka nje ya boksi ufikirie hii issue. au bado unatumika kama ulivyokuwa ukitumiwa na lowassa. shituka na chukua tahadhari mkuu.

AMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............

Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!

vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......

Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!

Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........

Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......

SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..
 
hata kama tuhuma hizi ni za kweli, issue ni nani kazitoa kwa wakati gani. Sasa hivi kila atakalo sema zitto kuhusu chadema na viongozi wake lazima tuone ni upuuzi tu. Its too little too late. Alikuwa wapi siku zote kama alikuwa anazijua hizi tuhuma?

ukipenda chongo utaona kama ni kengeza tu na wala sio chongo
 
""kama kingekuwepo chama kingine imara ningekipa nchi nikainyang'anya ccm lakini sasa sioni chama cha kukipa nchi yangu herikubaki tu na ccm mpaka pale vyama vingine vitakapokuwa IMARA"" ni mtazamo tu! NAPITA....
 
Ben saanane
shardcole
Molemo
Yericko Nyerere
et al

mko wapi, njooni mnisaidie jamani

ila huwa nawaambia, usiweke moyo wako kwa wanasiasa

they must disappoint you
 
Zitto "Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?"

Ata kusoma hujui?usituaibishe watu wa Tenende...

Anachosema Zitto hapo ni kuwa chama cha Conservative cha Uingereza kilitoa pesa kwa Chadema kuanzisha gazeti la chama lakini Mwenyekiti Mbowe badala ya kuanzisha gazeti la chama pesa hizo akazitumia kuanzisha gazeti la Tanzania Daima na kulifanya la kwake binafsi na sio la chama.Huu ni ufisadi wa kiwango cha juu.
Acha bangi wewe!... Tenende hakuna wehu wewee!!!!!......Ni mtaji kiasi gani unaohitajika kuanzisha gazeti? Mbona mbona mtu mzima unaendesha na akili za kuazimwa?... Gazeti? ambalo hata wewe mjinga mjinga unaweza kusajili gazeti na kuliweka mtaani?!!!
 
Nasikitika sana kuona kijana kama huyu anapiga taarabu tulia uambiwe ukweli jua kuwa yote unayoongea sasa wa tz hatukuelewi ulikuwa wap? Au umeshaona upo ICU? Wewe ni msaliti; mhujumu chama na mhaini toka kitambo
 
Ben saanane
shardcole
Molemo
Yericko Nyerere
et al

mko wapi, njooni mnisaidie jamani

ila huwa nawaambia, usiweke moyo wako kwa wanasiasa

they must disappoint you

Hahahah wamejifungia ufipa,Zitto sol never walk alone never!!!
 
Jibu kwanza swali. Alikuwa wapi siku zote asiseme? Wenzake wana ushahidi akipokea magari, Zitto je?

Jamaa kabwabwaja jana na Wanasheria wakampigia simu afute Pumba zake FB, kazifuta. Kaogopa nini sasa Bwana wenu?
Na mbowe aliuza ticket ya uraisi kwa JK-mwenyewe amekiri kupokea fedha
 
Mkuu....MTU intellectual kama wewe cdm huwezi dumu,ulichokisema 100% kiko sawa kabisa

Endeleeni kumpiga chura mateke mkidhami mnamkomoa kumpe mnamsaidia afike hara safari yake.
 
Sikurupuki kama wewe unae suburi vipande vya fedha ili uaminishe watu uongo ilimradi umepata chochote, tumia akili yako basi tuhuma zinajibiwa sio kutafutiwa tuhuma za uongo ili kuficha tuhuma zanazo takiwa kujibiwa huo ni uchanga sana kwenye siasa huyo alitakiwa awe Monitress kiluvya huko chadema walikosea sana kumpa cheo huyo mbwiga mwenzio.

Wewe naona unaongea tu! Rudi usome tena post zangu ndio utoe hayo maneno yako!
 
Naona tumeshahama sasa, ilikuwa Chama sasa imekuwa personal issues.Huu ndio uzuri wa Tanzania na siasa zetu. Vichwa vya habari kwenye magazeti..........Watu wanajianika wenyewe.

Watu wameshapoteza ''control'' ya lipi waseme lipi wasiseme. Wanachama walioko nyuma ya Chama na hawa viongozi sijui wanajisikiaje.

Focus inahama kwenye mambo ya msingi ya nchi na maendeleo mnaanza kujadili mambo binafsi, mara huyu alipewa hela, huyu kapewa gari.....
 
Back
Top Bottom