Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu cdm wanajua kuchagiza tu,hawajui kuongoza na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi,
ni maamuzi machache sana yanakuwa sahihi,sasa tukiwapa nchi si wataiuza?
Ndg it takes only a brink of of time kwa mtu mwadilifu kusema maovu.waiting till the cat is out of the backet haikubariki hata kdogo.sizitaki mbichi style.Ulitaka hayo maovu zito, akaya semee wapi? Si bado angesomeka msaliti Kama ilivyo sasa? Go go zito kabwe...
kinachomsumbua zitto sio kingine bali wivu dhidi ya mbowe,zitto anatamani sana kuitwa kamanda wa anga.....ila amesahau hayo yote yametokana na ubunifu wa mbowe....kwa yote niliyosikia kuhusu mbowe kamanda wa anga bado nina imani naye kwakuwa kipindi chote cha uongozi wake chama hakijawahi kushuka😛eace:
Lazima ifikie hatua tujue kamwe watu.hawawezi kuongozwa na malaika. Watu wataongozwa na watu na katika hao watu hakuna mkamilifu hata mmioja wote tunayo madhaifu yetu lakini, inapoonekana mmoja miongoni amevuka udhaifu wa kawaida wa kuweza kuchukuliana naye, haina jinsi inabidi kumwondoa. Naamini Mbowe ana personal weakness hata za chumbani anaweza kuwa nazo, kwasasa anachukulika na anao uwezo wa kuongoza watu wa namna mbalimbali kwa elimu zao, dini zao, kabila zao, ideology zao bila kuwabagua, haina maana kwamba ZZK hawezi, huenda anaweza pengine kuliko Mbowe maana hajapata huo mwanya, lakini kwa jaribu hili lililompata ZZK limemwonyesha kama mtu aliyejaa UNAFIKI mwingi ambaye anasubiri yatokee ndio alete hoja, SIKU ZOTE UKITAKA kujua mwanasiasa #MCHOVU aliyefilisika kisiasa basi ni yule mwenye kudhani kwamba siasa za Chumbani zinaweza kufanya kazi kwenye majukwaa. Mwanasiasa wa hivi kafilisika hata kama angelikuwa na uwezo wa namna gani hafai kuongoza watu wenye ideology tofauti maana yeye anadhani anaongoza malaika,ZITTO alikuwa mzuri kuongoza na kuongozwa lakini kwa sasa hawezi tena kuongozwa wala kuongoza na anachokifanya si kwamba hajui matokeo anajua tu ila anafanya makusudi, CHADEMA mmefanya kazi nzuri hadi hapa tulipo,tunaelekea kupata katiba mpya kwasababu ya MBOWE na wenzake waliokuwa radhi kuonekana ajinga mbele ya Raisi bungeni, kuliko Zitto ili tu katiba yenye utaifa wa Tanzania ipatikane, hapo hakukuhitajika siasa za chumbani kufikikisha ujumbe kwa wahusika, ZZK akajiona muungwana na kukaa kando wenzake wakaenya, ni dhahiri kwamba kijana huyu aliyejijengea heshima kwa utendaji wake hapo nyuma heshima yake ameiharibu mwenyewe hata kabla hajafika kilele cha ndoto zake
Ndg it takes only a brink of of time kwa mtu mwadilifu kusema maovu.waiting till the cat is out of the backet haikubariki hata kdogo.sizitaki mbichi style.
I suspect the real condition is even worse. The laws of such engagements necessitates witholding the worst attacks for the last battles, as a sort of insurance.
So whatever is coming to light right now is just the tip of the iceberg, the inner innuendos of the cajoling cabal that is CHADEMA and that anti-pope apogee aspirant are deeper than the Mariana Trench.
Lazima ifikie hatua tujue kamwe watu.hawawezi kuongozwa na malaika. Watu wataongozwa na watu na katika hao watu hakuna mkamilifu hata mmoja wote tunayo madhaifu yetu lakini, inapoonekana mmoja miongoni amevuka udhaifu wa kawaida wa kuweza kuchukuliana naye, haina jinsi inabidi kumwondoa. Naamini Mbowe ana personal weakness hata za chumbani anaweza kuwa nazo, kwasasa anachukulika na anao uwezo wa kuongoza watu wa namna mbalimbali kwa elimu zao, dini zao, kabila zao, ideology zao bila kuwabagua, haina maana kwamba ZZK hawezi, huenda anaweza pengine kuliko Mbowe maana hajapata huo mwanya, lakini kwa jaribu hili lililompata ZZK limemwonyesha kama mtu aliyejaa UNAFIKI mwingi ambaye anasubiri yatokee ndio alete hoja, SIKU ZOTE UKITAKA kujua mwanasiasa #MCHOVU aliyefilisika kisiasa basi ni yule mwenye kudhani kwamba siasa za Chumbani zinaweza kufanya kazi kwenye majukwaa. Mwanasiasa wa hivi kafilisika hata kama angelikuwa na uwezo wa namna gani hafai kuongoza watu wenye ideology tofauti maana yeye anadhani anaongoza malaika,ZITTO alikuwa mzuri kuongoza na kuongozwa lakini kwa sasa hawezi tena kuongozwa wala kuongoza na anachokifanya si kwamba hajui matokeo anajua tu ila anafanya makusudi, CHADEMA mmefanya kazi nzuri hadi hapa tulipo,tunaelekea kupata katiba mpya kwasababu ya MBOWE na wenzake waliokuwa radhi kuonekana ajinga mbele ya Raisi bungeni, kuliko Zitto ili tu katiba yenye utaifa wa Tanzania ipatikane, hapo hakukuhitajika siasa za chumbani kufikikisha ujumbe kwa wahusika, ZZK akajiona muungwana na kukaa kando wenzake wakaenya, ni dhahiri kwamba kijana huyu aliyejijengea heshima kwa utendaji wake hapo nyuma heshima yake ameiharibu mwenyewe hata kabla hajafika kilele cha ndoto zake
Mkuu Kiranga,jaribu kuwa na huruma kwetu akina Div5!
Cdm hawawezi kuongoza,wanaweza kuwa chama cha upinzani cha kudumu,Nashindwa kukuelewa pale unaposema Cdm Hawawezi kongoza wakati ccm hawapati usingizi Na kubidi kutumia mbinu nyingi kukabiliana na Cdm?
Mfumo Wa Cdm kila kitu umekaa vizuri ndo maana wameweza kukabiliana na changamoto nyingi sn na vikwazo vingi! Uongozi uko thabiti na wanafanya kazi! Ndio wamewafundisha Siasa ata ccm Leo unawaona Akina Kinana hawakai na wao wanazunguka kujenga chama na kuelezea maendeleo ya serikali kupitia chama ccm!
Ukija ktk swala kwamba Cdm ukiwapa nchi eti watauza nchi! Nakuomba uitafakari hiyo kauli yako na uipime Kati ya ccm na Cdm nani anauza nchi?
Wanaukumbi.
Kumbe Gazeti letu pendwa la Tanzanzia Daima limeanzishwa na fedha za chama cha kutoka Consevative Party cha Uingereza.
Hizi habari zimekuja kama tetesi lakini bado naendelea na uchunguzi nitawajuza zaidi.
mkuki kwa nguruwe sio??
Mwenyekiti chadema anatia aibu,aje akanushe tuhuma zake sasa na yeye
tundu lisu anacheza ngoma ambayo haijui,wanamtanguliza tu kichwa kichwa yeye hajui kama anajidhalilisha!
Ni ujinga mtu mwenye elimu kama ya tundu kupelekwa pelekwa na kujazwa uongo na mbowe...
Mbowe atoke atuachie chama chetu alishashindwa kabla hajaanza
na dr slaa ajiangalie naona anapotea taratibu
Huu ndo ukweli,kwanza katika hali ya kawaida utoe Rushwa halafu unawezaje kusema hadharani?
TL mbowe kakupoteza na hiwezi siasa
ZZK siku akianza mipasho mtakimbiana CDM kwa sababu anazijua issue zenu kuanzia A to Z