Kimetah
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 1,049
- 189
[h=5]Zitto Kabwe[/h]Yesterday via mobile · EditedWaandishi wa habari wanataka Maelezo yangu kufuatia tuhuma lukuki dhidi yangu walizozirejea tena Leo kama kasuku baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Jibu langu ni jepesi sana, tuhuma hizo hazipo katika mashtaka dhidi yangu waliyoniandikia wao wenyewe na kunitaka nijibu mbele ya kamati kuu. Kama wanaona tuhuma hizo zina uzito waandike nitoe Maelezo yangu kama mashtaka mapya. Waitishe Baraza Kuu la chama ili lisikie rufaa yangu vinginevyo wakae kimya maana uzushi na kubwabwaja hautawasaidia.
Malicious people are simply manipulative and survive of short term basis. Inspiring people look long term.[/QUOTE]