Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Ana magari mawili Freelander na carina tu,hizo gari alizopewa na nkono ni propaganda tu

Kwa nini hajasema hivyo? Na unajuaje kwamba hakupewa magari na kuyauza au kuyatoa kwa watu wake?

The fact kwamba ana magari mawili tu haimaanishi kwamba hajapewa magari na Mkono.

Nilitegemea kama hajapewa magari na Mkono, aseme "sijawahi kupewa magari na Mkono, kama una uthibitisho uweke wazi". Hii ndiyo kauli mtu mwenye uhakika kwamba hajawahi kupewa magari na Mkono anatakiwa kuitoa.

Sijaona kauli kama hii kutoka kwa Zitto, kama umeiona naomba utusaidie hapa.

La, kwa kutoweka wazi habari hii ya kupewa magari na Mkono, wengine tunaona anakwepa kujibu suala kwa sababu alipewa kweli.

Walatini wanasema "Qui tacit consentire", that means "silence implies consent".

Ukishutumiwa, usipojibu shutuma ila na wewe kuanza kutoa shutuma dhidi ya aliyekushutumu, wasomi wa mambo haya wanaojua tricks of the game wanapata nafasi ya kuamini kwamba zile shutuma ulizoshutumiwa awali, maadam hazijajibiwa, ni za kweli.

Na labda hazijajibiwa kwa sababu ni za kweli, hazina jibu zaidi ya kukubali hatia.

Na Zitto kaona bora kutojibu kuliko kukubali hatia.
 
jamani lazima tufahamu kuwa ukimfadhiri binadamu utahambulia matusi ,ni bora ukamfadhiri mbuzi utakula nyama utapata mbolea .utapata ngozi.binadamu ni mzito sana.haya ya kabwa ni marudio ya matukio mengi yaliyowahi kutokea hapo nyuma simnakumbuka ya mzee kolimba ?kuna tofauti nahaya ya kijana zitto? kuwatukana baba zake waliomlea kwenye chama ,leo hii anamtukana mwenyekiti wake ,anawaita viongozi wake vifaranga ,anataja kashfa siku zote alikua wapi? namshauri kijana wangu zitto aachane na siasa zimemshind aache kueleza upuuzi kama kwamba chacha wangwe aliuliwa na chadema its foolish language to zitto,acha ujinga wako.usitake urahisi kwa nguvu,nasikia unataka kuanzisha chama nakinakafulila
nibora ukafanya hivyo kuliko kuondoka nakashfa.tulia anza upya mambo yako.ach ujinga wako.
 
sasa ndo mwisho wa chadema kuaminika na waTz,kwa maana wanataka kujenga chama na kusahau watanzania?
siasa si vita mkuu!labda maneno ya siasa ni vita wanatumia wanasiasa uchwara,
maana ya siasa kama mwanasiasa aliyekomaa ni
Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika taifa, mji au hata dunia nzima (siasa ya kimatatifa). Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali wenye nguvu au mamlaka.

Pole sn! Endelea na msimamo wako huo huo!

Rejea maneno ya Mbunge Wa ccm Mafia aliyoyatoa akichangia ripoti ya Ya tume ya Lembeli!

Adui Wa ccm sio wapinzani Bali ni watendaji Wa serikali yenyewe!

Sasa Km unaelekeza nguvu kuiua Cdm unapotea njia. Adui ni wewe mwenyewe! Kwahiyo kusema Cdm inaelekea kufa wakati adui ni wewe mwenyewe Na hauwajibiki mbele ya wananchi ni kujidanganya kabisa!

Ccm hamkubaliki ktk Jamii ni nguvu tu ndio inayowafanya muendelee kutawala!
 
Mada kuu ni ZZK kusaliti chama chake, hayo ambayo amepost kwenye ukurasa wake ni kama kujikosha machoni mwa wanachadema. Amekuwa pale muda wote asiyaseme mpaka yalipomkuta. Chadema hawamtaki ajiunge na CCM ili agombee ubunge au awe anaende kwenye msafara kama Shonza na Mwampamba.
 
Mbowe ni mwizi tu,
Tena wizi ameanzia bot.

Angalia hata midomo yake imekaa kilaghai laghai tu.

Nawashangaa huu ujasiri wa kuwafukuza wenzie kwenye chama
anaupata wapi.


Acha kuongea kama taahira, ulisikia kawaita nyumbani kwake akawafukuza au ni ktk vikao vya chama????
 
Katika maandishi yake na matamshi yake kijana ZZK amekiri kupokea magari mawili kutoka kwa mwanasheria nguli hapa nchini Mkono ili kuuza chama na kukisambaratisha katika chaguzi. Hayo ameyakiri yeye mwenyewe ZZK na kuzifanya tuhuma zote anazotuhumiwa kuhusu kikuhujumu chama kuanza kujianaika zenyewe.

ZZK badala ya kutetea amekiri na kuanza kurusha makombora kwa mwenyekiti wa Taifa ikiwa ni mikakati mahususi tangia pm7, mabadiliko 2013 na majukwaa yote ZZK na kundi lake wamekuwa wakiyatumia. Nia yao ni kumchafua mwenyekititi wa cdm taifa na katibu mkuu kwani wao ndio mihimili ya chama.

Katika tuhuma zake kwa mwenyekiti anakiri kujua michango ya mwenyekiti ambayo amepokea kwa niaba ya chama na kukiwezesha chama. Wapo wengi kutoka CCM wamechangia CDM na hawakutaka majina yao ya tajwe, na kmichango yao imewasilishwa ndani ya chama kwa nia nzuri, ni mzee Sabodo aliyekubali high risk kujitambulisha na michango yake.

Tatizo kwa ZZK ambalo yeye anashindwa kulijua ni nia ya michango na misaada aliyopokea kama yeye binafsi ili kukiangamiza chama. ZZK hana tena weledi wa kusema yeye sio fisadi. Anakiri wazi alipokea magari ya Mkono eti kwasababu alifanya mazoezi ya vitendo kwenye law firm yake. Wakati ZZK anatuhumiwa kuwa ni mnafiki kwa kusema hapokei posho kumbe mlango wa nyuma anauza chama kwa kupokea bahasha za magari na mengine mengi.

Kwasababu ZZK ameamua kuingia msituni na kufungulia bomba la maji chafu, ni wakati wa kumpuuza yeye na kundi lake kwani nia yao kubwa ni kuona CDM inasambaratika. Lazima wajue CDM sio watu wanne au watano na hawezi kutishia uhai wa chama kwasababu ya tamaa yake binafsi ya madaraka, fedha, utukufu na kujikweza.

Ninaamini kabisa ZZK ahajui uongozi, hana hekima, busara, utulivu wala maono. Hajui maana ya chama cha siasa zaidi ya kuamini yeye ana akili sana. Wanapiga sana kelele ila wanashindwa kuwa viongozi. Kama CDM imesimamiwa na ikawa chama imara cha upinzani ambapo sasa kila mtanzania alipo anayejitambua anaweza kutetea masilahi ya sehemu yake kwa jukwaa la cdm. CDM imejengeka kitaifa na kumfanya kila mwenye nia njema kuweza kuwatetea wananchi wake walipo bila kuingiliwa.

ZZK pamoja na kuwa Mbunge wa KK kwa muda wa miaka 7 sasa na naibu katibu mkuu ameshindwa kujenga chama ndani ya jimbo lake la uchaguzi na kuambulia nafasi chache sana za madiwani kama sio moja. Kiongozi anapimwa kwa matokeo ya uongozi wake na mafanikio. Ndio ZZK ni maarufu na kila mtu anamjua, hata JK ni maarufu kama ilivyo kwa babu Seya nk Ila kujulikana na kila mtu sio tija, na hapa ndipo Watz huwa tunakosea, mtu kujulikana sana lazima iendani na utendaji wake. Unapotaka kujipambanua kuwa kiongozi wa chama cha siasa lazima utendaji wako wa kisiasa ndani ya chama uwe bayana, zaidi ya kulalamika kila siku hana la kuonyesha.

Ameshindwa kuunganisha nguvu na wabunge wenzake na siku zote amekuwa na chembe za usaliti. Ndio kesi iko mahakamani, vyovyote vile itakavyoamuliwa kwani sasa ni dhahiri inapikwa kwa msemo inaandaliwa inaandikwa.

Namtakia kila kheri huko aendako ila akumbuke tu uongozi ni busara.

Leo mbowe mwenyewe kakiri kuwa alipokea milioni 20 na badae 200m lakini hakua na lengo la kusaliti chama wewe unazunguka sanaaaa una hangaika na Zitto tu
 
Mada kuu ni ZZK kusaliti chama chake, hayo ambayo amepost kwenye ukurasa wake ni kama kujikosha machoni mwa wanachadema. Amekuwa pale muda wote asiyaseme mpaka yalipomkuta. Chadema hawamtaki ajiunge na CCM ili agombee ubunge au awe anaende kwenye msafara kama Shonza na Mwampamba.

Utanataka tusimwamini Zitto ila tumwamini Mbowe!? Mbona wote wamepewa hela na fisadi Mkono!
 
Tukisema chadema ni chama ndugu moja na mafisadi na wauaji twaonekana ooh nyie buku 7 oh njaa n.k . Ila taratibu mwenye njaa atajulikana muda si mrefu kama ambavyo tumeshaanza kuona huyu jambazi mkabaji Mbowe alivyodhalilika na atakavyodhalilika. Ni muda tu. Anayedhani Zitto atashuka simple simple ni m.------- kwani huyu hakutaka tu uenyekiti bali alishaona chama kinaongozwa na mafisadi kama alivyo fisadi na mhujumu nchi Edward Lowasa.
 
Haka kajamaa kajinga sana kalidhan kataendelea kufanya ujinga wake bila kujulikana, sasa ujanja kushnei na bado kukatema kabisa, pumbav kabisa
 
Jamani hii ni kali, siku zote ukiona mtu anahama kwenye mada na kushambulia mtu uje mambo ni mazito kwake.
Mambo mengi mh zzk ameongea, ni vema akitupasha kuhusu kifo cha marehemu Wangwe naona kama anakitu vile!
Tutayapata mengi sijui ndo mfa maji au vp... Tusubiri tutafahamu punde.
 
amejibu Kaka tembelea acc. yake ya FB

Unajuaje kama nina Facebook? Unajuaje kama hata nikiwa na Facebook Zitto ni mmoja wa watu walio katika network yangu?

Kama una access na majibu weka vitu hapa, wengine hatufagilii Facebook.

Mimi nina subscribe WallStreetJournal.com, kamwe siwezi kukujibu kwamba "habari hii utaipata WallStreetJournal.com huko" ambako kunahitaji subscription, kwa sababu sijui kama una access na subscription ya WSJ.

Naomba uweke majibu kwa faida ya wote na rekodi kwa jamii hapa.
 
The show is just begining..!! Watu walizani zzk ataondoka kimya kimya kama kina kitila..!! By the way hizi tuhuma mpya hazipo kwenye tuhuma alizoandikiwa azijibu so ni mipasho tu na mipasho hujibiwa kwa mipasho na sio vinginevyo..!!! Usitegemee mtu aje kujibu mipasho with scientific facts...!!! so for me its soo fine..!!

Na 2015 rostam na mkono watawapa tena hela za compaign cdm sio...??? hehehehehehehehee hivi umeona wapi duniani mtu anakupa sumu ukamnyweshe ngombe wake ambaye ndo anamtegemea kwa maziwa..!!!!! kweli siasa ya bongo ni uchafu mtupu..!!!
 
Dhambi ya ubaguzi haitawaacha salama Chadema baada ya kuwafukuza kina Kitila, Zitto, Mwigamba, sasa mtageukiana wenyewe.

Mtaanza kubaguana tena wa Kibosho, Marangu, Machame, Rombo, Mwika, Kishumundu.

Daima mtaendelea kuteseka.
 
“Mimi ni mbunge, bungeni
nimekuwa nikichangia watu
mbalimbali mimi kama Freeman,
si ajabu watu wengine
kunichangia. Hapa jambo la msingi
ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa
pesa na Kikwete au CCM si tatizo
lakini unapewa pesa kwa sababu
zipi, kwa malengo gani?” alihoji
Mbowe.
 
This is so juvenile!


I suspect the real condition is even worse. The laws of such engagements necessitates witholding the worst attacks for the last battles, as a sort of insurance.

So whatever is coming to light right now is just the tip of the iceberg, the inner innuendos of the cajoling cabal that is CHADEMA and that anti-pope apogee aspirant are deeper than the Mariana Trench.
 
Back
Top Bottom