Yalipofikia ni siasa za kuanza kurushiana matusiii na kuchafuanaa.. hiki ni kiwango cha mwisho cha upuuziii..

Mimi kwangu ZITOO NI SHIDAAA TENA SHIDA KUBWA MNOOO ANATUMIA NGUVU NYINGI KUBOMOA NYUMBA ALIYOSHIRIKI KUIJENGA, HANA TOFAUTI NA TOFAUTI NI MPENZI ANAYEVUNJA NA KUHARIBU MALI WALIYOCHUMA NA MWENZI WAKE ILI WOTE WAKOSE...
MBOWE NAE NI SHIDA NYINGINE YEYE KAMA KIONGOZI MKUUU ANAFANYA NINI WAKATIII KAMA HUU CHAMA KIMEGEUKA UKUMBI WA BAR YA GONGOOO NA ALIKUWA WAPI KUHAKIKISHA MABO HAYAFIKI HAPA YALIPOOOO?!!!

Mengine yote zito kachukua rushwa au mbowe alipewa milioni mia moja ni mambo ya kitoto na katika context yana lengo la kuchafuana na kuthalilishanaa tuuu....

CHADEMA HAVE SINK TO LOW
 

Nikweli .yaani zito akitubu naaelezee skendo yote .hakiki itakuwa mwisho wa ccm .na wapenda mabadiliko tutamsamehee kwa moyo moja .tutachukulia kama alikuwa undercover agent wetu ccm .na shujaa wetu wa all round wa mwanzoni wa karne hii ya 21 .
 
Zitto naona amekosea stepu. Anachofanya sasa ni kutaka kuuchonganisha uongozi wa CHADEMA na wanachama wake. Kwa suala Mbowe au Dr Slaa kupokea michango kutoka kwa watu walio wanachama wa vyama vingine au itikadi tofauti na CHADEMA haina maana ya usaliti. Michango ya kichama au kampeni za uchaguzi inakuwa 'regulated and accounted for the cause for it'.

Zitto ametaja pesa za Mkono na Rostam tu. Nashangaa kama yeye ni mkweli mbona hakutaja pesa za ponjoro Mzee Sobodo ambaye pia ni mdhamini (Trustee) wa CCM. Naamanisha zile millioni 100 (alizotoa kwa CHADEMA mara x 2 au 3 vile?)?

Ukweli ni kuwa kuna watu wengi wameichangia na wanaendelea kuichangia Chadema kama taasisi wanayoiamini kuleta mageuzi ya kweli. Wachangaji wengine ni wana CCM wazito na wengi hawapendi majina yao kuwekwa hadharani wala michango yao ku enlisted (legal) kwa kutotaka kuhujumiwa bishara zao na CCM/TISS et all. Hivyo mbinu za kiana lazima zitumike katika ku account michango ya aina hii. Namfahamu Mbowe na uwezo wake kifedha, naweza kusema hana njaa ya millioni 20 wala 40 ya mchango wa Chama. Kuna watu wanachangia CHADEMA hundred of millions na ndio mpaka leo Chadema inaendelea kupeta na kujiendesha. Na wanafanya hivi kwa mapenzi mema tu hata kama ni ma CCM wakubwa.
 
Alikuwa wapi siku zote.
Angezitoa kabla ya kuvuliwa uongozi ndo angeonekana wa maana na si katika kipindi hiki.
 

...Wewe kweli bumunda na bahati mbaya bado ata haujafunguka kiakili...

Ngoja nikifundishe kidogo...Wizi ni tabia na haujalishi hali ya mtu ya kipato, kama ingelikuwa utajiri ni kigezo cha uadilifu basi leo hii tusingemwita mtu kama Rostam kuwa ni fisadi...Sasa kama Rostam anayempa hizo mil 100 Mbowe ni fisadi utashangaa nini kwa Mbowe kuifisadi Chadema?funguka!!

Zitto "Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?"

Ata kusoma hujui?usituaibishe watu wa Tenende...

Anachosema Zitto hapo ni kuwa chama cha Conservative cha Uingereza kilitoa pesa kwa Chadema kuanzisha gazeti la chama lakini Mwenyekiti Mbowe badala ya kuanzisha gazeti la chama pesa hizo akazitumia kuanzisha gazeti la Tanzania Daima na kulifanya la kwake binafsi na sio la chama.Huu ni ufisadi wa kiwango cha juu.
 
pole zzk utaota chunisi mpaka kwenye kope madhara ya mtu maskini kuona mwanga anahisi yeye ni wa kwanza pole zzk mbona wenzio wametulia hela ya ccm itakutokea puani na damu za watu waliofia cdm nawe unasaliti watoto walioko kiunoni mwako hawatatoka na wakitoka mwanga hawatauona
 

Sijisikii kueleza sn Mkuu lkn Zaidi unavyotoa hoja ndio Zaidi unavyochemsha!

Kumbuka maneno ya Mh Sumaye juu ya viongozi wanaoingia madarakani kwa kutumia fwedha ndio hao watakua wakiwazuia wapinzani kwa mtutu Wa BUNDUKI,! Haya maneno Leo unayageuza kwa wapinzani? Umechemsha Mkuu!

Swala la CAG ni agenda ya ZZK na Ccm kuikuta Cdm na hatia Kwani wamekua wanafanya propaganda nyingi kuidhohofisha Cdm lkn wameshindwa sasa wakaona ni vema watumie hiyo! Sasa cha kushangaza si Cdm peke Yake tu hawajalaguliwa ata ccm pia! Iweje Leo ndio iwe agenda ya kuishambulia Cdm wakati hawa wenye billion Zaidi ya 50 hesabu zao hazijakaguliwa pia?
 

We ni mjinga wa kufikiri. Kwani hayo anayoyasema zzk ndio yaliyosababisha kupanga mkakati wa kuondoa uongozi wa juu. Hakutaka hayo yajulikane kwa sababu ni mambo ya ndani ya chama. So mpango wote wa kumuondoa mbowe kwenye uenyekiti wa chama ni pamoja na kusafisha chama ili kuleta utendaji wa haki. Sasa kama wakina mbowe wameamua kutoa siri za chama kwanini yeye asizitoe? Na kwa taarifa yako hizo ni baadhi tu kuna nyingi ambazo zitazidi kufichuka. Hivyo zzk yuko sawa kwani waswahili husema NYANI HAONI KUNDULE. Wamesahau hela walizopewa wao.
 
Naona mnaendeleza umaskini kujadili watu badala ya Sera!!!!!! Lini mtaacha huu upuzi wa Zito, Mbowe na sijui nani wakati tunaendeelea kuwa maskini wakati tuna kila sababu ya kupata maendeleo.
Huu ni ujinga mtupu.
 
Mbowe by now kama kweli ni mwadilifu angekuwa amesha resign nafasi ya uenyekiti na kiongozi kambi ya upinzani bungeni kwa kupokea 360 m kutoka kwa wanaowaita mafisadi mkono + rostam
 
Huyu ndiye watanzania wengi walizani ni NURU mpya TZ wakataka awe rais 2015! Kwa kutaja maovu ya Mbowe, Zito personally inamsaidia nn? Ona sasa vijana wadogo wanavyodadavua "Wao wamemwaga ugali ww unamwaga mboga" Hii inakufanya kuwa innocent? Au mnashindana ni shetani mkuu?. Sasa naanza kuamini umri iwesifa mojawapo ya mgombea wa urais. "Mtoto akipigwa kwa kosa fulani na dada yake au kaka yake ataanza kutaja makosa yaliyofanywa na dada yake hata mwaka umeisha.
 

Umeona chunusi za zito tu? Mbona makengeza ya viongozi wa chadema mbowe, slaa na ndesambulo hujaandika? Ama kwel akili yako inafanyia kazi mku..ndu..ni kama kufuli za viro.
 

Ukiwa na akili timamu huwezi kuweweseka kama Zitto. Zitto anaonekana amepanic, sasa analeta mambo ya tufe wote! Mi nasema hakuna anayekufa na mwingine. Atakufa peke yake!

Hadithi kama hizo anazozitoa alizificha wapi siku zote hizo? Nawaomba CDM wamshughulikie tu hadi mwisho. Hayo ya Mbowe ni yake na mkewe, na washirika wake wa biashara na marafiki zake. Na hayo yasingemfanya Zitto awe african hunting dog.

Kwa uelewa wangu Zitto hana sifa ya ku-analyse mambo ya ndoa na kuyalinganisha na uongozi wa chama. Yeye mwenyewe hajawahi kuoa! Hajawahi kupigwa makofi na mkewe maana hana! hajui hata huo uaminifu maana yake ni nini.

Sijui akiutafuta ataupata kwa nani huko CCM. Rais je?

Zitto lazima aheshimu misingi ya chama chake. Alijiunga akielewa maana ya CDM. Kama ni wauwaji, alielewa tangu zamani na alipenda tabia hiyo. Kwa nini sasa anataka kuwa msafi baada ya kumbana?

Pole Zitto na bahati mbaya huna uzoefu wa kazi nyingine zaidi ya mijadala ya bunge. Karibu mtaani utapata kazi nyingine na uanze kutafuta uzoefu upya. Yaonekana huamini kwamba umaarufu umekwisha. Ni bahati mbaya sana kwamba utaporomoka toka juu sana hadi chini. By newtonian Law, angalia sana maumivu hayo!
 
hayo magari alopewa na mkono mbona nao hawayakuyasema sikuzote angalau hata wangeyaweka kwenye makosa 11 wameyazusha jana..alichofanya zitto wao wamemwaga ugali ye kamwaga mboga wote zito na mbowe ni wapiga dil tu. kumbuka kufanya kazi kwa bidii ndio ukombozi wako
 

Mtumishi siasa waijua ha ha haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…