Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milya wewe ni bora ukae kimya kwakua wewe kwa ZZK ni mdogo sanaaaa kuliko kifaranga cha kuku,
Mtu hawezi kuonewa kisha akawachekea,tatizo lako umeshikiwa akil.... na hao madhalimu,yapo mengi yanakuja dhidi ya hawa matapeli kwa raia masikini wa tz,matapeli wanaojivisha ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu wakali,kwa sasa ukimya hautokuepo tena na ni lazima watz wafunguliwe masikio.
mbona hata wale rafiki zake masalia ndio kila siku wanaandika huo upuuzi, hili lnadhihirisha tuu kuwa kumbe ni kweli Zitto na akina Shonza, Mwampamba, Mchange, and the likes walikuwa na special mission, but wamefair!
Lakini inasikitisha, pesa itakuwa wamepata but, they are youth, inasikitisha saana, how on earth watu wazima wawatumie vijana na kuangamiza future zao kabisa? Zitto atubu tuu, usaliti hauishiagi hapo, laazima kuna malipo!
Acha bangi wewe!... Tenende hakuna wehu wewee!!!!!......Ni mtaji kiasi gani unaohitajika kuanzisha gazeti? Mbona mbona mtu mzima unaendesha na akili za kuazimwa?... Gazeti? ambalo hata wewe mjinga mjinga unaweza kusajili gazeti na kuliweka mtaani?!!!
Cdm hawawezi kuongoza,wanaweza kuwa chama cha upinzani cha kudumu,
WaTz sio matahira wawape cdm nchi,ni sawa na kumkabidhi fisi bucha,
mkipata nchi mtaanza kuwaua viongozi wa upinzani wanapotaka madaraka kwa njia ya demokrasia,
mtafuta kitengo cha CAG ili pesa zisikaguliwe,,,,,,
Funguka ZZK,funguka,ndio usaliti wako unapoonekana,mbona hayo yote hukuwahi kuyasema?Kwa hiyo mafisadi kama wako CDM unawafumbia macho,mnafiki mkubwa,yako wapi ulivyokuwa unajipambanua unapiga vita rushwa,kumbe umewafuga ndani ya chama;unasubiri wanamwaga mboga unamwaga ugali!!Unajidhalilisha tu Zito,its better u shut up!!Kumbe kweli --------- kwa kuwa wakubwa zako ----------,utateteaje tena mali za Umma Zito kama sio unafiki?!
Mkuu Kiranga,jaribu kuwa na huruma kwetu akina Div5!
pole zzk utaota chunisi mpaka kwenye kope madhara ya mtu maskini kuona mwanga anahisi yeye ni wa kwanza pole zzk mbona wenzio wametulia hela ya ccm itakutokea puani na damu za watu waliofia cdm nawe unasaliti watoto walioko kiunoni mwako hawatatoka na wakitoka mwanga hawatauona
Kwa tuhuma hizi nzito alizozitoa mh. Zitto Kabwe dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Freeman Eikaeli Mbowe, Chadema inabidi ijibu coz its very serious na wakikaa kimya ina maana yanayosemwa na mh. Zitto dhidi ya mh. Mbowe ni ya kweli...basi Chadema haitakuwa na locus standi ya kunyooshea watu kwa tuhuma za ufisadi na michezo michafu...tunamtaka mh. Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.
hayo magari alopewa na mkono mbona nao hawayakuyasema sikuzote angalau hata wangeyaweka kwenye makosa 11 wameyazusha jana..alichofanya zitto wao wamemwaga ugali ye kamwaga mboga wote zito na mbowe ni wapiga dil tu. kumbuka kufanya kazi kwa bidii ndio ukombozi wakonataka niwaombeni cc tunaojiita greate thinkers tijaribu sana kufikiri kwa kina. Why zzk atoke sasa na tuhuma hizo, why aseme sasa uhhusu club bills, je kuna ukweli wowote? Kwanini kama alikuwa anajua hayo hakuyatoa kwenye uchaguzi wa chama 2009? Kama yy alikuwa anayajua hayo why hakuwahi kuyasema. Mie nawezakujiridhisha kuwa zzk ana nia mbaya ndani ya chama.
Nashindwa kukuelewa pale unaposema Cdm Hawawezi kongoza wakati ccm hawapati usingizi Na kubidi kutumia mbinu nyingi kukabiliana na Cdm?
Mfumo Wa Cdm kila kitu umekaa vizuri ndo maana wameweza kukabiliana na changamoto nyingi sn na vikwazo vingi! Uongozi uko thabiti na wanafanya kazi! Ndio wamewafundisha Siasa ata ccm Leo unawaona Akina Kinana hawakai na wao wanazunguka kujenga chama na kuelezea maendeleo ya serikali kupitia chama ccm!
Ukija ktk swala kwamba Cdm ukiwapa nchi eti watauza nchi! Nakuomba uitafakari hiyo kauli yako na uipime Kati ya ccm na Cdm nani anauza nchi?