Hii nchi inaumiza sanaaaaaa basi tu, Unakuta NSSF Sio bank yakukopesha ila wanakopesha wanasiasa Kwa Shughuli zao binafsi alafu walio changia Kila kukicha wanasumbuliwa kulipwa stahiki zao Uzao Wa MWAFRIKA UMELANIWA MPKA MWISHO WA DUNIA
Kwani mkataba ulisha ujua kwamba ulikia wa kupeana mkopo au una hisi tu.
 
Hii nchi inaumiza sanaaaaaa basi tu, Unakuta NSSF Sio bank yakukopesha ila wanakopesha wanasiasa Kwa Shughuli zao binafsi alafu walio changia Kila kukicha wanasumbuliwa kulipwa stahiki zao Uzao Wa MWAFRIKA UMELANIWA MPKA MWISHO WA DUNIA
Hii haijakaa poa
 
Mbowe kawahadaa muda mrefu wanachadema akijifanya mpinzani kumbe muhuni tu.
Muda umefika sasa kila kitu kimejulikana.
Anakitumia chama kujinufaisha.
Alitakiwa kupumzishwa toka enzi za Chacha Wangwe na leo hii chama huenda kingekuwa ikulu
 
Alituhadaa sana tukamtetea kumbe fisadi tu anayetumia mwamvuli wa chama kujineemesha
 
Sasa mmeanza kufukua makaburi aisee...

Haya mambo ya mwaka 2014/2015 yanajirudia tena mwaka 2024/2025 after ten good years..

Tuhuma zilezile za miaka yote, safari hii zinakuja kivingine kabisa na kushikiwa bango na mtu mwingine very radical Tundu Lissu...

Inasikitisha sana kuona kuwa Freeman Mbowe amekosa BUSARA na HEKIMA ya kuzisoma alama za nyakati Ili zimsaidie kufanya maamuzi sahihi...
 
Hii nchi inaumiza sanaaaaaa basi tu, Unakuta NSSF Sio bank yakukopesha ila wanakopesha wanasiasa Kwa Shughuli zao binafsi alafu walio changia Kila kukicha wanasumbuliwa kulipwa stahiki zao Uzao Wa MWAFRIKA UMELANIWA MPKA MWISHO WA DUNIA
Duh
 
Teknolojia inaendelea kutufunulia tabia ya Mwenyekiti,
 
Attachments

  • IMG-20250106-WA0382.jpg
    148.3 KB · Views: 3
Reactions: RNA
Ndiomana kumbe FAM anang'a ngania uwenyekiti aisee. Tunaendelea kujua mengi. Naelewa sasa kwanini Lissu anasema anataka uenyekiti ili ajenge chama alafu FAM akakataa nafasi ya kugombea urais 2025.
 
Kila mwenye ushawishi anayeutaka Uenyekiti wa CDM anaonekana katumwa na CCM isipokuwa Sultan mwenyewe Mbowe. Mbowe ajitokeze atangaze hadharani kwamba kile ni chama chake basi aache kusumbua watu kwa maslahi yake.
 
Mama wa kifaranga.
Watu wanaipenda chadema ila kwasababu ya zidumu fikra za mwenyekiti wakaona wachomoe betri waende wakaanze upya. Mbowe hafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…