Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Angeandika Chacha was Killed, ..... kusema hatokufa ni Uongo!
Ametumia tafsida ila ujumbe ulifika vizuri.. Angesema Chacha direct Chacha was killed alafu akafunguliwa mashtaka angeweza kuprove hilo??
 
Kumekucha na bado

Wapenda kufata mkumbo endeleeni, mnamaliza pumzi zenu kwenye siasa wakati wenzenu hao.. matumbo kwanza. Mfatage mioyo yenu, muwe na amani na furaha bila kutaka kupasua vichwa vyenu.

Mtamuelewa tu Raisi wetu siku moja na kumshukuru kwa kazi yake, inavyosaidia kupunguza mauchungu mengi ya wananchi.
 
*BY ZITTO KABWE*

"Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa.

Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa. Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.

Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.

They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili."
I am not sure if really this comes from Zitto because it is too low to come from someone who has been in the parliament for more than 10 years with postgraduate level education.
 
Zitto alionekana mnafiki na muongo na mzandiki pale alipogusia ufisadi wa Mbowe.

Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

Unaweza kusoma taarifa yote hapo juu kwenye hiyo link.

Lakini pia nitumie muda huu kuiomba serikali,wachunguze tuhuma za Zitto juu ya NSSF.Ili kama na yeye alifisadi kwa njia moja au nyingine ijulikane.

Tunatambua tuhuma za Magufuli juu ya uuzwaji wa nyumba za serikali,MV magogoni.Tunaomba vyombo vya usalama vitusaidie ili kuwajua wakwepa kodi,mafisadi,wahongaji nyumba za uma.Ili kila kitu kiwe wazi.

Muda siku zote ni mwalimu mzuri,tuendelee vuta subira kila kitu kitakuwa wazi muda utakapofika
 
Zitto Kabwe

Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono.

Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia

pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40 m
ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani
alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa.

Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party? Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.

Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote.

Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze alingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.

They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.

Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili.

d621dbf0-6df4-4b0a-a3c8-82493d6c3bf8.jpeg
 
Zitto Kabwe

Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono.

Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia

pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40 m
ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani
alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa. Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party? Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.

Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote.

Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze alingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo
Club Bilicanas.

They must know I am not a push over. Chacha died, I

won't.

Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili.View attachment 3194144
Hata zito ni mpigaji
Siasa za kiafrika ngumu sana zimejaa uhuni na haya ni matokeo ya uwepo wa katiba mbovu

Katiba zingekua nzuri haya mambo yasingekuwepo
 
Zitto Kabwe

Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono.

Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia

pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40 m
ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani
alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa.

Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party? Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.

Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote.

Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze alingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.

They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.

Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili.

View attachment 3194144
Kwahiyo jamani ndo tuna ingia part ll ya film bila kuambizana? kama part I imeisha.
 
Hata zito ni mpigaji
Siasa za kiafrika ngumu sana zimejaa uhuni na haya ni matokeo ya uwepo wa katiba mbovu

Katiba zingekua nzuri haya mambo yasingekuwepo
Hii nchi inaumiza sanaaaaaa basi tu, Unakuta NSSF Sio bank yakukopesha ila wanakopesha wanasiasa Kwa Shughuli zao binafsi alafu walio changia Kila kukicha wanasumbuliwa kulipwa stahiki zao Uzao Wa MWAFRIKA UMELANIWA MPKA MWISHO WA DUNIA
 
Zitto Kabwe

Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono.

Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia

pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40 m
ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani
alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa.

Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party? Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.

Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote.

Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze alingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.

They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.

Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili.

View attachment 3194144
Nakodisha vifaru na panga😅
 
Agenda zinapikwa ba makaburi yanafukuliwa...

Tupo hapa kuona historia inavyoenda kuwanyoosha watu
 
Watu wamemgeuka baada ya kulamba Asali na kuanza kujipendekeza kwa mama
 
Back
Top Bottom