Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
CCM hamuwezi kushinda uchaguzi kwa kutukana kukashifu kuwazushia mabaya wapinzani wenu....tuliwaamini ccm tukawapa muda wa kutosha kutuongoza huu si wakati wa Magufuli kuzidi kutoa ahadi bali ni wakati wa kutuambia mmetufanyia nn kwa kipindi chote hicho tulichowaamini, siasa za maji taka si za kizazi hiki tuanawapotezea tu. INSHALLAH 2015 Lowassa anatosha.

nikuulize ndgu kuna kitu gani lowassa amekisema ambacho hakuweza kukifanya alivokua waziri mkuu?
 
Wewe mama muislam halafu unaleta chuki za kikabilA uchaga upemba uzalamu haya mambo hayafai usitupe misingi yako ya dini kwa mambo ya kidunia acha kufarakanisha watu wape nasaha hata kama mnatofAutiana

Mtume (SAW) amesema;
"Mfano wa Muislam na Muislam katika kupendana kwao na katika kuoneana huruma kwao ni mfano wa mwili mmoja. Kinaposhitaki kiungo kimoja (kinapoumwa), basi mwili wote unashirikiana nacho kiungo hicho katika kupata homa na katika kukesha".

Ha ha yaani huyu zito ni kilaza kwani mbowe anagombea nini mpk aanze kumrukia Rukia. Wameshindwa lowassa sasa kaja na plan za mbowe

kama zitto kilaza kifaranga cha mbowe "lissu" utamuitaje?maana yeye ndo aliyeanza kumrushia maneno zitto,zitto alikua anagombea urais kwan?
 
nikuulize ndgu kuna kitu gani lowassa amekisema ambacho hakuweza kukifanya alivokua waziri mkuu?

Kashindwa kujitetea na kashindwa kutetewa bungeni sakata la Richmond, uwaziri mkuu ukamshinda.

On the contrary, Mizengo Pinda, juzi juzi tuliona katetewa mpaka na wapinzani bungeni sakata la escrow.

Hiyo ndiyo tofauti ya kiongozi na fisadi.
 
Tukianza kuangaliana kimakabila maa tutakua kama Rwanda jihadhari Kuna kaburi mama wape vijana nasaha njema kama umeona wapo upinzani wanapotoka
 
Leo ni nani wa kuyapinga haya:

[h=2]Sunday, January 5, 2014[/h] Zitto Kabwe auanika Ufisadi wa Freeman Mbowe... Adai Tundu Lissu ni kifaranga, hivyo anamtaka mama kifaranga....Amegusia pia kifo cha Chacha Wangwe

Akizungumza katika press conference ya CHADEMA na waandishi wa habari iliyofanyika leo, Mwanasheria mkuu wa Chadema, Mh.Tundu Lisu alisema kuwa mkakati wa kuwachafua viongozi ni wa siku nyingi ambapo Chama kimefanikiwa kunasa mawasiliano ya Zitto tangu mwaka 2009 alipokuwa akiwasiliana na akina Denis Msack wa Mwananchi.

Lissu alisema njama hizi ndio zilizopelekea mpaka mashtaka ya Ugaidi ambapo katika mahojiano yake ya Star Tv akiwa na akina Mwigulu Nchemba Zitto hakukanusha, pia aliandika kwenye mitandao kuwa Chadema imtose Wilfred Lwakatare

Lissu aliongeza kuwa Zitto mpaka sasa ana magari mawili ya Nimrod Mkono na Mkono mwenyewe ndiye amewaambia taarifa hizo. Mkono amewaambia kuwa amempa Zitto hela nyingi sana na Zitto alishiriki moja kwa moja kumzuia mgombea wa Chadema katika Jimbo la Nimrod Mkono .

====Huu ni ujumbe wa Zitto Kabwe kujibu mapigo ya Tundu Lissu===
**
Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini.

Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa.

Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa. Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?

Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.

Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.

They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.

Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili.

Chanzo: Zitto Kabwe auanika Ufisadi wa Freeman Mbowe... Adai Tundu Lissu ni kifaranga, hivyo anamtaka mama kifaranga....Amegusia pia kifo cha Chacha Wangwe | MPEKUZI

Rudi shule wewe au subiri Ukawa ichukue Nchi upate elimu bora.
 
Kashindwa kujitetea na kashindwa kutetewa bungeni sakata la Richmond, uwaziri mkuu ukamshinda.

On the contrary, Mizengo Pinda, juzi juzi tuliona katetewa mpaka na wapinzani bungeni sakata la escrow.

Hiyo ndiyo tofauti ya kiongozi na fisadi.

kwa kuwa mmefka bei na mkawa mazuzu aka matahira endelea
 
Makamanda tuwe wavumilivu ndio siasa hii, tukifunua yaliyonyuma ya viongozi wetu tutakimbiana.

Mbaya zaidi kuna watu wanaamini Mbowe ni malaika.!
 
*BY ZITTO KABWE*
"Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa. Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.
They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili."

Najiuliza vipi deni ilo la NSSF? NYUMBA ya umma pale ilipo club bilcanas ?
Kwanini kufa kwa wangwe kuhusishwe hapa?
 
Wachochezi kama nyie ni wa kukamata na kutoza faini tu..get prepared 7M inabidi iongezwe sasa..
 
ulikuwa umekufa nini kaka hiyo story ina miaka 3
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom