miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
divide and rule ... mtanzania shtuka hakuana jipya hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaka huu mtafufua hadi wafu
Mama unazeeka vibaya.
apo ndipo unazidi kuniaminisha kuwa CCM ni chama bora.
Huyo Lowassa wanamjuwa na anaijuwa CCM vizuri sana kwa miaka mingi sana lakini kashindwa kuinunuwa, hakukidhi vigezo na fedha zake zote, katemwa.
Wajanja, fedha zake wamekula na kumtema wamemtema, lakini kwa uchu wake wa madaraka hajakoma! Sasa analiwa tena huko na Ikulu atsikia kwenye redio tu.
Mbowe ni mchagga na mchagga aziachie pesa zimpite? Si atachekwa.
Mbowe anajuwa wazi chadema haiwezi kutowa Rais, lakini Urais waukose na pesa wazikose? Na zimejileta zenyewe? Hata kama ni mimi ningemwambia "ahlan wasahlan".
Nnaowasikitikia ni wale "wapumbavu na malofa" wanaofikiri kuwa watashinda.
Slaa nae masikini ya mungu, wachagga mshiko hawajampa kakasirika anabwabwaja hovyp, lakini ni safi kwetu, wacha watafunane wenyewe kwa wenyewe. Vita vya panzi...
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Zitto ndio nani?
Mama unazeeka vibaya.
CCM hamuwezi kushinda uchaguzi kwa kutukana kukashifu kuwazushia mabaya wapinzani wenu....tuliwaamini ccm tukawapa muda wa kutosha kutuongoza huu si wakati wa Magufuli kuzidi kutoa ahadi bali ni wakati wa kutuambia mmetufanyia nn kwa kipindi chote hicho tulichowaamini, siasa za maji taka si za kizazi hiki tuanawapotezea tu. INSHALLAH 2015 Lowassa anatosha.
Mabadilikooooooooo.........!!?
divide and rule ... mtanzania shtuka hakuana jipya hapa
This is too low. Kumwokota kunahalalisha kupokea mapesa yanayotajwa toka kwa hao tulioambiwa ndio maadui wa nchi? Mama kifaranga alitakiwa atupatie majibu ya tuhuma hizi nzito. Subirini uchaguzi umalizike mtatueleza.Mbowe ndiye aliyemwokota na kumpandisha kisiasa yaani tunaita Godfather,hizo ni dalili za kukata tamaa na utovu wa nidhamu na kukosa shukrani