Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Maswali yako hayo yote majibu anayo Nape,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1: Kuhusu mke wa Emmanuel Muhimbo(Josephine musumbushi ambaye leo unaishi naye kama Mchumba wako)
2: Kuhusu kupanga nyumba ya Abla apertment pale kijito nyama huku ukilipa shilingi laki 2.5
3: Kuhusu kulazimisha chama chako kikulipe stahiki zote za mbunge kwa kujitoa kwako kugombea Ubunge na kupeperusha bendera ya urais
4. Elimu yako iliyojaa utata kutoka cheti hadi shahada ya uzamivu
5: Safari yako ya Nchi za Ulaya na mahusiano ya misaada uliyopata kuelekea uchaguzi mkuu
6: Kuhusu kadi ya CCM unayoimiliki na kuilipia mpaka sasa ilihali za wale wanaojiunga na chadema unazichoma moto. Kuna mantiki gani hapa?
Maswali yako hayo yote majibu anayo Nape,
Maswali yako hayo yote majibu anayo Nape,
Huyu ni SALITI maarufu sana. Alisaliti upadre, akasaliti CCM. Ni rahc kuwasaliti watanzania kama aliisaliti kazi ya Mungu.
Hayo maswali matano ni muhimu kuyajibu lakini ili la kupanga Apartment kwa laki 2.5 namtetea Dr.Slaa siyo gharama ni bei za kawaida au ni milioni 2.5?1: Kuhusu mke wa Emmanuel Muhimbo(Josephine musumbushi ambaye leo unaishi naye kama Mchumba wako)
2: Kuhusu kupanga nyumba ya Abla apertment pale kijito nyama huku ukilipa shilingi laki 2.5
3: Kuhusu kulazimisha chama chako kikulipe stahiki zote za mbunge kwa kujitoa kwako kugombea Ubunge na kupeperusha bendera ya urais
4. Elimu yako iliyojaa utata kutoka cheti hadi shahada ya uzamivu
5: Safari yako ya Nchi za Ulaya na mahusiano ya misaada uliyopata kuelekea uchaguzi mkuu
6: Kuhusu kadi ya CCM unayoimiliki na kuilipia mpaka sasa ilihali za wale wanaojiunga na chadema unazichoma moto. Kuna mantiki gani hapa?
Tuhuma za kipuuzi hazstahili kujibiwa ata kdogo coz hazna maslah kwa taifa..et mke,kad ya ccm,kupanga nyumbaa..nk ivyo vina maslai gan kwa taifa letu sasa..watu wengne bana
Mkuu jaribu kuandika vizuri JF kuna great thinkers huu uandishi wako wa Facebook hauna nafasi JF.Tuhuma za kipuuzi hazstahili kujibiwa ata kdogo coz hazna maslah kwa taifa..et mke,kad ya ccm,kupanga nyumbaa..nk ivyo vina maslai gan kwa taifa letu sasa..watu wengne bana
Hivi waijua maana ya ulichokileta jukwaani? Hilo la kumtafuta na kujaribu kumchafua Dr.Slaa kwa vijutuhuma vya kitoto umeshashindwa kabla ya october.1: Kuhusu mke wa Emmanuel Muhimbo(Josephine musumbushi ambaye leo unaishi naye kama Mchumba wako)
2: Kuhusu kupanga nyumba ya Abla apertment pale kijito nyama huku ukilipa shilingi laki 2.5
3: Kuhusu kulazimisha chama chako kikulipe stahiki zote za mbunge kwa kujitoa kwako kugombea Ubunge na kupeperusha bendera ya urais
4. Elimu yako iliyojaa utata kutoka cheti hadi shahada ya uzamivu
5: Safari yako ya Nchi za Ulaya na mahusiano ya misaada uliyopata kuelekea uchaguzi mkuu
6: Kuhusu kadi ya CCM unayoimiliki na kuilipia mpaka sasa ilihali za wale wanaojiunga na chadema unazichoma moto. Kuna mantiki gani hapa?
Hivi jina Rutashoborwa limekuathiri?(eibala libi lita nyinalyo)Teh Teh...kutoka cheti akaenda Phd...
Bavicha hakika hawana pakuficha sura zao! Kuhusu hilo la mke wa mtu case itatajwa tare 10 october...!
Mke wa mtu ni sumu!