Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Majungu yameanza dhidi ya ZZK, Walitulia kidoogo wakati wa mchakato wa CCM kumpata mgombea, Sasa kama kawaida mashambulizi dhidi ya ZZK yameanzishwa upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini upinzani kwa upinzani?kuna namna hapo sio bure maana hata hizo gari za mkono zitto hazikanushi ...ooooh tanzania yetu na vyama vyetu ni balaa
Jikumbushe ujibu kama unaweza.
Zitto ni member humu, ni wakati muafaka mkamuweka kiti moto. Au unaogopa?
Mwizi ni mwizi tu. Angalia alivyo iuza chadema kwa bei cheeeee. Miaka 20 umekijenga chama unakuja kukiua kwa kuuza kwa bei cheeee.
Kama Mbowe alikiuza chama kwa Edo alifanya la maana kwa sababu hawa masikini wenzetu kina Muhogo mchungu walikuwa na tamaa kwa hiyo kusingekuwa na mabadiliko bila kupata jitu lisilonunulika kama EDLOW.Ndio maana walionunulika wote wapo hadharani mpaka sasa.