Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
Hatutaki wasaliti kwenye chama. Zuberi ni kiongozi mzuri lakini ni mwepesi kununulika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changanya chadema wote, hawafikii robo ya uadilifu wa Mzee Wa Tembo wetu mhishimiwa Kinana, A.
tehetehetehe, mkuu, yawezekana ndo maana wameshinda kujenga ofisi pengine wanatafuta location ambayo itaendana na shughuli zao. Utakuwa umewasaidia sana. Natumai utawapa msaada wa kuwatafutia kiwanja mahala hapo
kumbe mzee Nimrod Mkono ni mchafu kwa rushwa kiasi hiki?, inawezekana kweli Mbowe alipewa mkwanja lakini je alikidhuru chama?
Lakini ni dhahiri Bwana mdogo wa Kigoma kaskazini amekitenda chama hata kama asingepokea mulungula.
Kitendo cha kupokea fedha na kukidhalilisha chama na vionozi ni dhahiri lengo ni kukiua chama hata kama ulishiriki kukiasisi.
UCHI WA AKILI NI MBAYA KULIKO UCHI WA MWILI.
kama kuna ushahidi basi angeshtakiwa. hawa waliofukuzwa kuna ushahidi kwamba wamenda kinyume na katiba ya chama
Na kanunulika kweli!!b3 c mchezo mazeeeHatutaki wasaliti kwenye chama. Zuberi ni kiongozi mzuri lakini ni mwepesi kununulika.
Ndani ya chama kunakitu kimekosekana, nacho ni kuheshimu katiba ya chama, na haya ndio matokeo yake.
Mkuu imekaa hivi, Mbowe alichukua mkwanja kwa nimrod Mkono. Yeye mbowe akatumia pesa hizo kukikopesha chadema na kurejeshewa na riba ya asilimia 18. Hapo huoni kwamba Mbowe amektenda chama zaidi ya Zitto?
Payment of 40,000.00 TSH to TANESCO. Voucher 54478938973469692623.
Energy Received: 89.10 KWHR. Metre No:
Badala ya kujadili mambo muhimu kama haya ya Kudhurumiwa na Tannesco mnaleta Hoja zisizo na Tija kwetu, Kutoka Unity 131 kwa Tsh 40,000/= hadi unity 89.10.
Hizo kajadili wewe na kahaba wako,au anzisha uzi wako mwenyewe.
hii ni vita ya madaraka tu, cdm wametuangusha sana wananchi kwa hili. Tumaini la kuona mabadiliko ya kisiasa nadhani hamna tena! Sbb hakuna tena chama cha kuitoa ccm madarakani. The best way to regain credibility for cdm among citizen is for Mbowe and Slaa to step down relinquish power to others, otherwise Zitto's exit is due power greedy for these top leaders of cdm. We need change and democratic transition of power from the parties to the national level. Sio mnakuwa kama CUF miaka nenda miaka rudi ni Lipumba na Sharrif!!
Tena hakuna mbaya kama kusafirisha twiga wanne wazimaAhsate sana Mkuu japo sijapenda hilo jina ulilomwita