Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Hivi Zitto huna washauri????!!!!Silence is a good weapon bro.Jipange,usitake kuonesha misuri,wengi wanakupotosha kwa kudhani unaungwa mkono na wengi,lakini wanaishia kukupotosha tu.Dont seek public mercy.Bahati mbaya sana,hakuna binadamu yeyote duniani aliyejaliwa kusahau kama mtanganyika(hii ni kwa hisani ya katiba mpya).Bado unazo ndoto nyingi,bado ni kijana tena mwenye akili nzuri,haya yoooooooooote,unayazungumza,lakini hata mwenyewe unasihia kujituhumu,ni kwa faida ya nani????!!!.Mimi ningekuelewa kama ungewaita waandishi wa habari na kuwaleleza kwamba unaomba msamaha ya kwamba ulishirikinana na Mwenyekiti wako kuchukua mafungu kwa Mkono,na wewe ukafaidi magari.That would have sounded well.Think green Bro!
 
Huu unafki sio kabisa...mambo yakishaharibika ndo unaanza kutuambia vyote. Tangu 2005 hadi leo alikua anasubiri nini kutuambia?...KITIMOTO ITAJIKAANGA KWA WESE LAKE YENYEWE!
 
Unajua nimefuatilia hii ishu ya zito kwa muda mrefu sasa sijapata jibu sahihi ,
1-ulianza kutoka waraka wa siri wa zito kabwe unaomuhusisha kupokea pesa nyingi sana kutoka ccm (pesa za walipa kodi more than 3bn inasemekana alipewa zito) ili kukivuruga chadema na kuunda mtandao ndani ya chadema hii ikapita

2-ukaja waraka wa mabadiliko/mapinduzi huu ndio chadema wakaukomalia na kuwafukuza

3-zikasambaa e-mail kumuhusisha lukuvi, nchemba pamoja na zito wakipanga mikakati ya kuivuruga chadema (hackers walifanya yao hapa)

4-tena hii mpya kaitoa lissu eti kahongwa gari 2 za kifahari na nkono na pesa kibao

my intake
tuelewe lipi hapa ni kweli kutaka kugombea uenyekiti ndio sababu ya kuvuliwa au tamaa ya pesa na ufisadi ndo sababu haswa ila tunafichwa kitu hapa

mi siamini km tatizo ni uenyekiti sababu katiba ya chadema inatamka wazi ukomo wa mwenyekiti
...ishu apa ni bwana mdogo anatumia mwavuli wa uenyekiti kuvuruga chama..tuhuma zote za ufisadi wa mbowe kwa nn hakulalamika kwenye kamati za chama ama kwenda takukuru...au zaidi kwa nn hakujotoa chadema kisha aanike hayo madudu ya mbowe na dr slaa..anatoa shutuma sasa hv ili jamii imuonee huruma sio!?
 
Inaonesha ni jinsi gani, hufikirii kujibu kilicho andikwa na badala yake unakimbilia kushambulia mtu. Kwa mtindo huu hakuna kinacho jengwa.

Mkuu nauliza tu!Wewe sasa ndiyo unajaza namba iliyo achwa na Ozil au?Just utani tu ndugu yangu usini mind kaka/dada!

Ahahahahahaha JF siku hizi inanifurahisha sana kwa hizi kambi za CCM na CHADEMA kushindana kuandikisha ID mpya hapa lkn mtu ni yule yule ili kila upande wakati wa kujadili mada uonekane unaungwa mkono zaidi!
 
Nimekuelewa. Sina tabia ya ushabiki na wala sishabikii mambo amabayo kila mtu anajiona ana haki. Najua mwisho wa siku kuna watao umia na watao furahia.

Mkuu nauliza tu!Wewe sasa ndiyo unajaza namba iliyo achwa na Ozil au?Just utani tu ndugu yangu usini mind kaka/dada!

Ahahahahahaha JF siku hizi inanifurahisha sana kwa hizi kambi za CCM na CHADEMA kushindana kuandikisha ID mpya hapa lkn mtu ni yule yule ili kila upande wakati wa kujadili mada uonekane unaungwa mkono zaidi!
 
Vijana wa CCM ni hasara kwa TAIFA....utafiti upi na wakatii hazi hekaya za zito zimejaa facebook...achene ujinga bana
wewe ni janga la dunia kwasababu hata lugha yako tu uanshindwa kuandika vizuri
 
Hapo ndio unapogundua kuwa,,"everybody has got a price,hata kama haipo in monetery form" Jamaa alikua na dhiki kapigwa mpunga kasaliti chama,,----- yule...CHADEMA tuconcetrate na vitu vya msingi,,wanataka kutupotezea malengo,,tusianguke kwenye mtego wao wa panya
 
Kama kweli tuna vyombo vya usalama vilivyo madhubuti na vyenye weredi kwa nini wasimkamate ZITTO na kumuhoji ni nani alimuua Chacha wangwe? kwani inaonyesha anajua vizuri juu ya mauaji yale tofauti na hapo tutajua tamko hili la ZITTO ni miongoni mwa Propaganda za CCM kuichafua CDM
 
Mbona hakutoa tuhuma hizo kabla? Hiyo inatuonesha kuwa ZZK ana malengo mabaya na Chadema
 
kwa maelezo ya mbowe hapo mwiso katika gazeti la raia mwema ina maana kakubali ni mpiga dili..
 
eeh! Mbowe anasema sio dhambi kuchukua hela kutoka kwa CCM?, hasa yeye akiwa kama mwenyekiti wa CDM?!!


Siasa bhana!
 
Nimekuelewa. Sina tabia ya ushabiki na wala sishabikii mambo amabayo kila mtu anajiona ana haki. Najua mwisho wa siku kuna watao umia na watao furahia.

Poa mwana JF mwenzangu!Acha mm niende Tanesco-Kinondoni nikaongee nao maana asubuhi nilinunua LUKU ya 10,000 hata saa 8 haijafika imekwisha!

Maisha magumu sana kwangu na ongezeko hili la umeme
 
This is what we call divide and rule......cdm knocked out.wanahitaji kujipanga upya ..may be 10 yrs to come.2015 cdm haina lake
 
Nakushukuru sana mkuu. Hakika chama makini hakiwezi kuwa na viongozi wa aina ya dr slaa ambao wanafikia hata kuhalalisha gongo

Chama kipi mkuu? Au ndo kile cha wazee wa ubakaji na wauza unga?be specific mkuu si utaje ccm!
 
siku zote humu tunasema tunaonekana waongo, haya sasa kufeni na saccos yenu
 
Haya maneno ndiyo yanaoyozidi kudhihirisha udhaifu wa Zito. Angekuwa mtu thabiti, asingenyamaza na madhamabi ya namna hii siku zote, ithabiti ni ama kujiuzulu, au kumpinga anayefanya makosa hadharani, siyo ukumbwe na kashafa ndiyo ujitetee kuwa wengine pia wanazo. Siku za nyuma kidogo alianadika kuwa amekuwa munge kwa miaka mingi na aliwahi kuwa kwenye kamati mbalimbali, ndiyo m,aana ana uwezo mkubwa wa kipesa, lao hii anaanza kukiri kuwa pesa hiyo huwa anapata kwa njia za hongo. Watu wa namna hiyo huwezi kuwaamini kuwa viongozi wa taifa.
 
"Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani?" alihoji Mbowe.

Mmmmmmmhhhhhhh!!!! Hapo ina maana kweli Mbowe alichangiwa pesa na akina Mkono na Rostam.

kwanini hakuitisha waandishi wa habari kuzitangaza kama zile za Sabodo?

Huku mnamuita mtu fisadi, upande mwingine mnapokea michango yake? Hawa wanasiasa wetu maadili zero kabisa.
 
Back
Top Bottom