mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,970
Hivi Zitto huna washauri????!!!!Silence is a good weapon bro.Jipange,usitake kuonesha misuri,wengi wanakupotosha kwa kudhani unaungwa mkono na wengi,lakini wanaishia kukupotosha tu.Dont seek public mercy.Bahati mbaya sana,hakuna binadamu yeyote duniani aliyejaliwa kusahau kama mtanganyika(hii ni kwa hisani ya katiba mpya).Bado unazo ndoto nyingi,bado ni kijana tena mwenye akili nzuri,haya yoooooooooote,unayazungumza,lakini hata mwenyewe unasihia kujituhumu,ni kwa faida ya nani????!!!.Mimi ningekuelewa kama ungewaita waandishi wa habari na kuwaleleza kwamba unaomba msamaha ya kwamba ulishirikinana na Mwenyekiti wako kuchukua mafungu kwa Mkono,na wewe ukafaidi magari.That would have sounded well.Think green Bro!