Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Hivi Zitto huna washauri????!!!!Silence is a good weapon bro.Jipange,usitake kuonesha misuri,wengi wanakupotosha kwa kudhani unaungwa mkono na wengi,lakini wanaishia kukupotosha tu.Dont seek public mercy.Bahati mbaya sana,hakuna binadamu yeyote duniani aliyejaliwa kusahau kama mtanganyika(hii ni kwa hisani ya katiba mpya).Bado unazo ndoto nyingi,bado ni kijana tena mwenye akili nzuri,haya yoooooooooote,unayazungumza,lakini hata mwenyewe unasihia kujituhumu,ni kwa faida ya nani????!!!.Mimi ningekuelewa kama ungewaita waandishi wa habari na kuwaleleza kwamba unaomba msamaha ya kwamba ulishirikinana na Mwenyekiti wako kuchukua mafungu kwa Mkono,na wewe ukafaidi magari.That would have sounded well.Think green Bro!

Wasauri wake si ndo hao wanao shinda humu kuleta udaku unafikiri watamshauri nini zaidi ya udaku tu, ndio mana hawajitambui.
 
Duuu kwaiyo kimsingi hapa mbowe anakubali kwamba alipewa hela tena na wale ambao cdm wanawaitwa mafisadi kama akina rostam.hapa kuna mengi yamejificha na kuna mchezo mchafu sana.bora niwe na chama changu ccm chama kilicho nielea nimesoma ktk utawala wake na kupata kazi hawa wengine ni wanafiki wakubwa wanazunguka mbuyu bila haya
 
Zito nakuhurumia.umaarufu wako wote kwishinei.ungejibu hoja n i kweli ulipewa hela na fisadi mkono?hadi kusababisha wana musoma vijijini kukosa mbunge wao.na ulaaniwe kabisa.
 
Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later.

Original post:

Revised Post:


Kutoka Gazeti la Raia Tanzania

Hatimaye msemaji mkuu wa kina Juliana Shonza, na Mwampamba arudia maneno waliyosema kina hao madogo pindi walivyofukuzwa so sishangai ZZk atalalama mwisho wake huo ni upepo utapita kwani alikuwepo wapi siku zote asiseme huu ni unafiki wa wasaliti mwache abwabwanye akichoka atasaaulika kama JULIANA na Mwampamba.
 
Zzk hana amerukwa na akili ukifikiria vizuri, kwa sabb he cant cheat us kuwa anafichua mafisadi kumbe kawaficha ndugu zake,,,
Leo hii ugali umemwagwa unatapatapa,,,

POle sana umechelewa coz watzzz tumeshafunguka macho usituchezee kabisaaaaa.

RİP ZZK
 
hizi ni siasa za kijungujiko, yaani kula kulana, ujanja kuwahi, zzk wafuate tu shonza co. ltd utumiwe kama ndom
 
Shame on u zitto kama unajifanya mtetezi wa wanyonge kumbe huna tofauti na mafisadi wa maccm.ulikuwa wapi ck zote usiyaseme haya?naanza kuamini usemi wa jaji mkuu aliousema bunge la juzi kuwa"Zzt ni mzito kweli kweli".kama kweli una uchungu na sisi wanyonge umethubutuje kukaa na mambo haya miaka yote hiyo?mnafiki na mzandiki mkubwa wee.tena mwanaizaya we na una haki ya kufukuza cdm.hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
 
Dah MBOWE noma sana kumbe wewe naye unakula na ROSTAM, Tundu Lissu acha wehu mbowe si mtu utakuja kuumbuka asubuhi
 
Lisemwalo lipo hata kama si 100%,watu wanaweza tia chumvi kunogesha kashfa but ndg.Mkono unasubiri nini kujivua GAMBA kama ROSTAM? au ufanye Press Conference ufafanue huu mgao wa pesa kwa Mbowe na ZZK ulikuwa wa nini?

Je ,anafaa kuendelea kuwa mwana CCM?

Nawakilisha !
 
Ukiona adui anakupongeza jua kuna mahali ume chemka.
 
Si atoke tu, kwani CHADEMA Baba yake na Mama yake?
 
ukipita makaburini ukakuta wachawi wanagombana ni uzuzu kushabikia mmoja wapo!!!!
 
Back
Top Bottom