TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Zitto hajajibu mashtaka kwake kuhusu magari aliyopewa na Mkono. Two wrongs do not make a right.
Kabla ya ku deflect mashtaka kwa kuibua uozo wa mpinzani wako, jibu mashtaka kukuhusu wewe. Hata kama ni kwa kukubali tu.This deflection is one of the oldest tricks in the playbook.
Kwa wazoefu wa habari hizi, usipojibu tuhuma maana yake umekubali ni kweli. Kwa hiyo Zitto kakubali kwamba ni kweli kapewa magari na mkono, lakini anasema wanaomtuhumu nao wana yao kama hayo.
Hili saga linathibitisha yale niliyokuwa naandika hapa kitambo.
Hakuna Zitto wala uongozi wa CHADEMA, wote ni wale wale tu.
Nyinyi Wafuasi wa Mbowe mnashangaza sana kwakweli,Hivi mara hii mshasahau kuwa Zitto alianza kutuhumiwa kwanza na Lissu na yeye ikambidi ajibu mapigo?Nani asiyejua kuwa Mbowe yupo nyuma ya yote haya yanayomtokea Zitto akiwatumia vibaraka wake?Kwahiyo msichukie sana jiandaeni kusikia uozo mwingi kuhusu huyo Mungu wenu na safari asiposimama Mahakamani sijui!
