Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Bora ya Mbowe aliyekuwa hata na mke kuliko Zitto una watoto 4 wa nje wote kila mmoja na mama yake ....kaa kimya bwana mdogo...we nakukumbuka sana ulivomtuma mhudumu pale double tree aje kuomba namba ya simu ya mke wangu na 300,000/= ukampa...form that day nilikudaharau sana ....

Pole sana! Inamaana ame... mpaka mke wako?
 
Funguka ZZK,funguka,ndio usaliti wako unapoonekana,mbona hayo yote hukuwahi kuyasema?Kwa hiyo mafisadi kama wako CDM unawafumbia macho,mnafiki mkubwa,yako wapi ulivyokuwa unajipambanua unapiga vita rushwa,kumbe umewafuga ndani ya chama;unasubiri wanamwaga mboga unamwaga ugali!!Unajidhalilisha tu Zito,its better u shut up!!Kumbe kweli --------- kwa kuwa wakubwa zako ----------,utateteaje tena mali za Umma Zito kama sio unafiki?!

Mkuu wangu,tukitumia the same principle uliyom judge ZZK ,kama anakihujumu chama tangia 2008 kwanini hawakumtimua intellijensia ya CDM ilikua wapi?
Na hii tuhuma ya magari ya nkono kwanini hawakuitaja muda muafaka inakuja kutajwa muda huu?ukifanya equation na analysis bila kuegema upande wowote utapata jibu
Na kwa majibu ya kitoto ya mbowe aliposema "ccm au kikwete kumpa fedha mtu wa cdm sio vibaya inategemea ana nia gani"
Hapo mkuu huoni kama mbowe ameshakubali kuwa alipewa fedha na hao mafisadi?huu ni uthibitisho wa waraka mkuu kuwa mh mbowe ni too local hawezi kujenga hoja akirushiwa tuhuma kidogo anatetereka sana
Mwisho kabisa namalizia ikiwa kama Mkono alimwambia mbowe kampa magari mawili zzk,mkono huyo huyo haachi kusema series ya fedha alizompa mbowe kwa ajili ya kuihujumu Cdm
 
5.2 Haki za MwanaChama

Kila mwanachama ana haki ya:-

5.2.1 Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwa mujibu wa katiba.
5.2.2 Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi yoyote kwa kuzingatiamasharti yaliyowekwa ya sifa za uongozi.
5.2.3 Kushiriki vikao vya Chama vinavyomhusu na kutoa mawazo yake kwa uhuru kwa kuzingatia taratibu za vikao.
5.2.4 Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa anaposhitakiwa ama kuchukuliwa hatua za kinidhamu kichama.

5.3 Wajibu wa Mwanachama

5.3.1 Kushiriki kikamilifu katika vikao vinavyomhusu na katika shughuli nyingine za Chama kadri atakavyotakiwa
5.3.2 Kuchangia gharama za uendeshaji Chama kwa njia ya ada ya Uanachama ya kila mwaka na kwa michango mingineyo inayoamriwa na vikao vya Chama.
5.3.3 Kutetea na kueneza Itikadi, falsafa na madhumuni ya Chama ndani ya jamii anamoishi.
5.3.4 Kushirikiana na wanachama na viongozi wengine wote katika kutekeleza sera na mipango ya Chama.
5.3.5 Kuwa tayari kupambana na namna yoyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na ubaguzi.
 
Mbowe hakuongwa bali alikuwa akichangisha hela za kampeni.....zitto ana tapata tapata....tu


Haya mambo ya kukusanya hale za kampeni kutoka kwa mafisadi papa yameanza lini?
 
Kakwambia kuchukua pesa CCM wakati unapambana na CCM sio tatizo,hivyo vifaranga wote waache unoko,pesa ni sabuni ya roho haijarishi imetoka kwa nani,ipokee tu...

dah!mzalendo na mwanaharakati wa kweli wewe!!.........maskini Tanzania!!
 
Lazima tuwe so keen ktk kila jambo tunaloliona na kusikia,'mfuata upepo mwisho wa siku hukosa mwelekeo',we should be relying on FACTS and not STORIES.
 
I guess hakuna aliye salama chadema, wote wana uchafu wao ambao haujawekwa wazi tu, its really sad coz me nilikuwa too deep in love with cdm lakini naona muda si mrefu hii love inaweza ikapotelea hewani....hapo inaonekana kama wamemtoa zitto na wakina kitila kama mbuzi wa kafara ili kujenga imani kwa watu, kumbe hata hao wanaojifanya wako safi nao pia wanavimbwanga vyoa, ila anyways tutajua tu as long as wanaendelea kuumbuana!!
 
Mwenyekiti wetu tafadhali sana tunakuomba usijiingize kwenye majibishano haya,hakuna hata mmoja humu ndani anaejua ulikomtoa zitto zaidi yako ww na zitto,mie sishabikii misutano hii kabisa.....
 
Bora ya Mbowe aliyekuwa hata na mke kuliko Zitto una watoto 4 wa nje wote kila mmoja na mama yake ....kaa kimya bwana mdogo...we nakukumbuka sana ulivomtuma mhudumu pale double tree aje kuomba namba ya simu ya mke wangu na 300,000/= ukampa...form that day nilikudaharau sana ....
inaonekana mke wako mzuri sana..weka picha.
 
- Kaka umesoma vizuri between the lines majibu ya Mwenyekiti wako au unakurupuka tu, soma vizuri uone anachokubali na asichokubali!1

Le Mutuz
Mkuu, kuna watu humu wanakurupuka tu kuchangia. Hii ni misukule ya pale bavicha
 
Nimeamini maneno ya CDM kuwa saccos ya baadhi ya watu.... kimenuka..

SACCOS ipo CCM alikokuwa anapata mgawo wa kila mwezi ZZK na kuzitakatisha kwa kuzipeleka Ujerumani kwanza na kisha kuzirudisha na kuwagawia kilo unusu... kilo unusu akina Mkumbo, Shonza, Mchange, Mtela etc

Na Saccos nyingine ni ile ya kwenu na mleta mada hii ya daily buku7
 
ni mahakama tu inaweza kukusafisha. william hebu muulize mwenzio zitto kwanini kule fb alipost baadaye akaedit kama kweli alikuwa na uhakika?

akibanwa atajitetea kuna mtu ali hack fb account yake.haku-post yeye.lol
 
- Kaka umesoma vizuri between the lines majibu ya Mwenyekiti wako au unakurupuka tu, soma vizuri uone anachokubali na asichokubali!1

Le Mutuz

mbowe ameweka wazi unachangiwa hela kwa ajili ya nini hilo ndiyo muhimu.
 
huyu bwana ZZK anaonekana ana mambo mengi ameyakalia,kama yalikuwepo siku zote iweje leo yatoke!kama kusingekuwa na hii issue ndani ya chadema angeendelea kuyakalia siyo!!!??siku ikitokea ameambiwa si mtanzania atasema mengi zaidi!!
 
Wote wamesomeshwa na CCM Bure wakaandaliwa kuja kutuhadaa Watz na Wanakula kodi zetu leo bila hata kuvuja jasho kesi wanaendesha kwa Ruzuku zetu kwa kulipa makampuni ya Uwakili ambayo ni ya kina Mkono na Wenzake Jamani Kama moto upo Wanasiasa mtachomeka Vibaya muache ubabaishaji muwaonee huruma Watz japo kwa sekunde tuna mambo mengi ya kujadili juu ya Nchi yetu si kesi kama hizi. SUALA ZITO NI VIPI ZITARUDI FEDHA ZA USWISI KWA SEKESEKE HILI NAJUA MNAHAMISHA KUJA KUWEKA KTK BENKI ZENU ZA BONGO MLIZOZIJENGA HAKUNA JINGINE HAWANA UGOMVI HAWA JAMAA.
 
inaonekana mke wako mzuri sana..weka picha.
Hahahahahaaaaa. Yaani unaona ufahari kuwatangazia watanzania kuwa Mke wako alifanya deal na Zitto! Pole sana. Unajuaje kama hilo deal halikukamilika maana hujatueleza kama mwisho wa siku hali ilikuwaje. Jiangalie mkuu isije ukawa unakula makombo kila siku
 
Naona pamoja na wajumbe kufungwa macho na fisadi Mbowe, sasa nadhani watafunguka na kumjadili kwa pesa ambazo amekuwa akipokea toka CCM, pia Dr. Slaa ambaye hata kadi ya CCM hajarudisha.

Tulishasema hawa ndo wasaliti wana wasingizia wengine, mengi tu yatakuja hapa. Hivi inakuwaje unamwomba Baba yako akupe hela umpelekee Mama yako halafu unamwambia Mama nakukopesha pesa hii na kweli Mama yako bila kujua anatafuta huku na kule anakulipa.

Jamani Mbowe uwe na hofu ya Mungu, utakufa vibaya sana. Pesa za Mkono kapewa yeye anakuja kuwakopesha CHADEMA, kwani alipewa zake binafsi au alipewa za Chama?

Hivi hiki chama kina akaunti kweli au inatumika ya Mbowe?

Aiseeh nimekudharau mbaya
 
huyu bwana ZZK anaonekana ana mambo mengi ameyakalia,kama yalikuwepo siku zote iweje leo yatoke!kama kusingekuwa na hii issue ndani ya chadema angeendelea kuyakalia siyo!!!??siku ikitokea ameambiwa si mtanzania atasema mengi zaidi!!
Alikuwa anawafichia aibu wazinzi wenzake. Ndo maana nilianzisha mada ya kuuliza nani msafi ndanimya CHADEMA. wote ni wachafu tu. mara ufisadi, mara mini kabang............
 
Back
Top Bottom