Nelson noe
Senior Member
- Dec 28, 2013
- 119
- 8
Mkuu, nimeuliza nani ni msafi ndani ya chadema wewe unaanza kuleta porojo
WE hujielew dunianzima hakuna msafi ila wametofautiana viwango vya uchafu pole ka ume2mwa leo hakuna 7000 haina mana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nimeuliza nani ni msafi ndani ya chadema wewe unaanza kuleta porojo
Kuleta tuhuma mpya na kuhalalisha kuwa zako ni za kweli ni kukiri hufai kabisa na kwamba hutaki kuondolewa peke yako which is the fact, you must go! Pia umethibitisha Mbowe alipokea hela ikatumiwa na chama we umepokea kwa ajili ya kuisaliti CDM na watz na kuanza kujijenga kwa maslahi yako sasa kimenuka be wise otherwise unaendelea kujimaliza kaka!
Alikuwa wapi siku zote.
Its toooooooooo late...
Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani? alihoji Mbowe
kuchunguza ufisadi sio maelekezo ya wahuni,tunataka viongozi safi.Kwann w hutaki wachunguzwe?
Kama ni kweli kuwa amepokea fedha zaidi ya mamilioni kutoka kwa vyanzo tata nje ya chama na utaratibu ulio wazi wa kukusanya fedha za kampeni...
Ili kulinda heshima yako, ya chama, kujenga imani ya watanzania walioko nyuma yenu, unatakiwa kujiuzulu uenyekiti wa chadema mapema.
Hili nalo likipita bila kulipa uzito ile kauli ya chadema kua chama cha kibabaishaji itasimama.
Mbowe wala hahitaji kuchukua pesa ndogo ya chama kwani pesa anayo na ndio imejenga chama hadi sasa mnatamani kuwa viongozi. Nendeni mkaanzishe vyama vyenu mvijenge ili watu wavitamani. Kwahili imekekula kwenu.
- Kaka umesoma vizuri between the lines majibu ya Mwenyekiti wako au unakurupuka tu, soma vizuri uone anachokubali na asichokubali!1
Le Mutuz
Kamanda! Kama suala la kutokuwa na mke mbona Chadema viongozi wake hawajawahi kufunga ndoa? labda tufahamishe lini John Mnyika alifunga ndoa? Lini Dr.Slaa alifunga ndoa? Acheni siasa za makengeza.Bora ya Mbowe aliyekuwa hata na mke kuliko Zitto una watoto 4 wa nje wote kila mmoja na mama yake ....kaa kimya bwana mdogo...we nakukumbuka sana ulivomtuma mhudumu pale double tree aje kuomba namba ya simu ya mke wangu na 300,000/= ukampa...form that day nilikudaharau sana ....
Kwisha habari yako... Tafuta taaluma nyingine!"Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani? alihoji Mbowe.
"Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani?" alihoji MboweMwambieni Zito atulie ili Akili zimrudi naona kichwa kimebaki kinavuma kama debe tupu.