Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 758
....Ni heri Mbowe angeishia kuhongwa tu lakini hili la kuiba pesa za chama ndio baya zaidi,kamata mwizi!!....
Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa.
. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?