Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
kumbe Lissu ni kifaranga...hiyo nimeipenda!

wako wapi vifaranga wengine maarufu hapa JF waje watetee mama zao!
 
Kiranga
I love this piece of writing that you depicted as per quote below; Going with this regard, now you could easily see what is all about the phenomenon "nidhamu".

"Huku si kukosea tu, useme nilikuwa sijui mlango wa mbele uko wapi nimeingilia mlango wa uani kwa bahati mbaya. This seems to be a deliberate scam with some intricate planning to protect personal interests, how would you let them off the hook that easily if the allegations carry weight?"

Nidhamu my foot!
 
Kwa tuhuma hizi nzito alizozitoa mh. Zitto Kabwe dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Freeman Eikaeli Mbowe, Chadema inabidi ijibu coz its very serious na wakikaa kimya ina maana yanayosemwa na mh. Zitto dhidi ya mh. Mbowe ni ya kweli...basi Chadema haitakuwa na locus standi ya kunyooshea watu kwa tuhuma za ufisadi na michezo michafu...tunamtaka mh. Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.

Hakuna muda wa kujibu MAPOVU!
 
Kaka habari za wizara ya mawasiliano?

Wizara ya mawasiliano imefanyaje tena?

Kama unanichanganya na mtu huko ujue sijawahi kufanya kazi serikalini bongo na kwa mwendo huu sitawahi kufanya huko.

Kama vingine funguka.
 
...........Uwanja wa siasa katika nchi karibu zote za Kiafrika, ni uwanja uliotekwa na majambazi ambao wanafanya wanachotaka, vile wanavyotaka..........Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema Namba 278.
 
Kila mara nimekuwa nikiwaeleza jamaa zangu kwamba wanasiasa hawaaminiki ni wapuuzi na matatizo ya watanzania hayawagusi !! Hakukuwa na sababu kwa Stephen Kebwe kutoa rushwa kubwa kwa wapiga kura wakati Lamadi haina maji na pesa alizotumia zingeweza kusambaza maji robo ya jimbo lake ziwa victoria ni mita mia chache kutoka lamadi na ndoo ya maji pale inauzwa tsh 300 ! Never trust politicians as they are stupid too!

Naona sasa ni hadithi za "ukimwaga ugali,mi namwaga mboga"!

Niliwahi sema na leo narudia "ukifuatilia sana siasa na wanasiasa wa Tanzania,unaweza kuwa mwehu"

Anyway,tutafuka tu japo kwa ghrama kubwa za mali,fedha na maisha ya watu.
 
huu mgogoro katika chadema ulianza kama power struggle yaani watu wachache walijipanga kufanya mapinduzi lakini wakayabatiza mabadiliko. wakati CC ya cdm inajadili ili kuondoa tatizo watu wakagawanyika pade mbili. Tatizo halikuanza kati ya Zito na Mbowe ama mmoja wao dhidi ya chama. wanachama hawakuwa na mgogoro na viongozi wao awe Zito au Mbowe au Slaa. sasa mambo yamebadilika kabisa. umekuwa kama ugomvi wa mke na mume ukikolezwa na wapambe. mke atasema katika wanaume na wewe utajihesabu! Nadhani kuna haja ya kufunika kombe mwanaharamu apite. tuamini kuwa hatimae mambo yatakuwa salama, Alamsiki!
 
......A! Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni (farao) He! yamekua hayo?kweli 2015 tutachukua Nchi?kwa staili hii sijui......??????
 
Wapo wengi utawajua tu! Time will tell! Maana ni mama Mushumbuzi pekee ndiye aliyewahi kuumia kwenye harakati za chama wengine ni yule mama aliyekufa kwenye mlipuko pale Soweto! Sasa mnatuchanganya sana sisi wananchi tunaoachwa na ulemavu wa kudumu na ninyi mnahongwa magari na mamilioni ya shilingi ili mtusaliti sisi wananchi wapenda mabadiliko! viongozi mnapoanza kuropoka ovyo ni nini maana yake? Maana hakuna taasisi isiyokuwa na siri ! Inawezekana Zitto alikisaidia CCM kwa manufaa ya CDM ! Lakini mbona hakuna mahali CDM ilipita bila kupingwa? Open up your mind and think about these brain killer politicians!
 
Tokea Chacha Wangwe Afariki Kamati kuu licha ya Kuwa na Padri na mchungaji na pesa nyingi wanazochangiwa na watu haijawahi kumkumbuka Kamanda Chacha Wangwe hata kwa sala ya dk moja tu ! Sasa Mzimu wake umecharuka lazima Kinuke CDM chezea Mzimu wa Chacha wangwe wewe...
 
Back
Top Bottom